Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Urusi yajiandaa na Vita ya Tatu ya Dunia (WW3)

Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
RUSSIA, KOREA KASK, IRAN, VENEZUELA, CUBA, CHINA, PAKISTAN, AFGHANISTAN vs ..............
 
Hivi hayo mabomu wakipigana urusi na marekani yanaweza kufika hata huku kijijini kwetu?haiwezekani nakataa!!
 
Hali iliyopo ni mbaya.

Russia ameandaa basements na kambi za kuweka wananchi wake katika threats za nucleur, na jana amefundisha wananchi Million 40 jinsi ya kujihami na nuclear. Ameandaa basements za kuweka watu wake na anajihani kulinda watu wake.
 
Russia have the ability to destroy New York in 18 minutes

But NATO and the Pentagon are actually terrified to fight Russia, since they are aware of the “tremendous heavy metal Russia may unleash” if Putin is provoked, according to Escobar. So what’s so terrifying about Russia’s military capabilities?

Let’s take Russia’s SS-18, for starters. The Pentagon has already named the missile ‘Satan’, because it is capable of destroying an area the size of the New York state. The SS-18 missile carries 10 warheads, each having a force ranging from 750 to 1000 kiloton, while some of these missiles have a single ‘secret’ deadly 20,000 kiloton warhead. And that’s 1333 times Hiroshima.

Russia’s Topol M ICBM is the world’s fastest missile at 21 Mach (16,000 miles an hour), and NATO has no defense against it. If launched from Moscow, the missile hits New York City in 18 minutes, and Los Angeles in 22.8 minutes, according to Escobar.

Meanwhile, Russia’s S-500 anti-missile system

is capable of not letting enemy’s ICBMs and cruise missiles from striking Russia’s forces. While Russia officially admits that the S-500s will be rolled out in 2016, Escobar suspects that the anti-missile systems may be already operational due to the fact that the S-400s are set to be delivered to China soon.

“The S-500 makes the Patriot missile look like a V-2 from WWII,” according to Escobar.

NATO, do you still wanna go to war with Russia?
And then there’s Russia’s supersonic bomber fleet of Tupolev Tu-160s, which can be deployed from any part of Russia, fly over the North Pole, fire nuclear-equipped cruise missiles from safe distances over the Atlantic, return back to Russia and watch the whole show on TV.

Escobar claims that Russia can cripple pretty much every forward NATO base with tactical and battlefield small-yield nuclear weapons. And given the fact that Russia has tested NATO response times on multiple occasions over the past few months, Moscow is fully prepared for such a scenario.

But in order to get to the S-400s – or, worse, S-500s – NATO would first had to destroy Russia’s Iskander missiles, which travel at seven times the speed of sound with a range of 400 km, the author notes, warning that Russia is capable of arranging defense zones in “nearly every conceivable theater of war.”

Whatsupic - World War 3: Russia Is Officially Ready and Can Destroy New York In 18 Minutes
 
Hivi mkuu Elungata a.k.a chapombe ikipigika vita ya tatu ya dunia hivi kuna kitu kitakacho kuwepo kweli?
Na kama ikitokea basi ndio itakuwa mwisho wa dunia hakuna kitakachobaki


Hapana! Vita ya 3 ya dunia haitoathiri maeneo mengine, kama vile Africa,South America,North amerika. Na hata nchi za ulaya nazo zisipoingilia zitasalimika. Isipokua economy itadorora sana kutokana na vita hii ya Russia na marekani.
 
nenda kasome vizuri huko google mmarekani na yeye muda alishajenga mitambo ya kuzuia makombora kutoka urusi katikati ya bara la urope kuna kannchi kapo mwinukoni amejenga hayo madude
Wewe ndio usome vizuri kabisa, unahis nyuklia ni mkuki? Vita hizi ni mbaya. Wanaotengeneza defence missiles Hao Hao wanatengeneza ant defence missiles.... Technologia ni ya ajabu sana. Watu wanacheza nayo kama wanavyotaka.
 
Naunga mkono WW3 mia kwa mia. Rais Magufuli alisema kuwa kuna watu walijimilikisha bandari ya Dar Es salaam na kujiona kama mali yao na kusahau kuwa ni mali ya serikali. Hivyo hivyo yako mataifa humu duniani yamejimilikisha dunia kama kujiona kuwa mali yao na kusahau kuwa ni mali ya watu wote na mataifa yote. YAKO MATIFA AMBAYO yanaamini wao ndio wanaopaswa kuishi vizuri na wenye haki zote za kufanya wapendavyo bila kuhojiwa na mtu yeyote duniani. Mtu wao mmoja akifa wanaua kijiji kizima, maana wao ni bora mara 1000 kuliko wengine. KWA UCHUNGU, Ni bora dunia ianze upya na watu wapya watakaoheshimu utu wa watu wote bila kujali rangi, bara, dini na aina ya teknologia waliyokuwa nayo.
mhhh....
CCM mmeshindwa LUGUMI, sasa hvi mnaanza kuingilia mambo ya wanaume huko Duniani
 
Hapana! Vita ya 3 ya dunia haitoathiri maeneo mengine, kama vile Africa,South America,North amerika. Na hata nchi za ulaya nazo zisipoingilia zitasalimika. Isipokua economy itadorora sana kutokana na vita hii ya Russia na marekani.

Europe nayo itakuwa mhanga kwa sababu ni vita vinavyo shirikisha NATO.
 
vITA YA WW3 NI YA KITEKNOLOJIA ZAIDI. VITU ALIVYOVIOSHESHA PUTIN PALE SYRIA VILIUOGOPESHA ULIMWENGU AKIWEMO BWANA MKUBWA. NA ANASEMA HIYO NI 0.009 YA VITU ALIVYONAVYO
cha kujiiliza ni kuwa mrusi anataka nini Syria? na mmarekani anataka nini Syria?
 
cha kujiiliza ni kuwa mrusi anataka nini Syria? na mmarekani anataka nini Syria?
mafuta ya Iran, Iran ni chimbo kuu la Russia, bora vita ipiganwe Syria kuliko Iran kwenyewe. Marekani inataka kuwanyima China, Russia, India mafuta ambayo ndiyo nguzo kuu ya kuibuia uchumi wa nchi hizo.
 
Back
Top Bottom