North Korea walipokuwa wanapasha mliwaona majuha.Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
It is written in BibleHuko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Nani mleta mada au mwingine?Wee ni mchochezi yapaswa ukamatwe
Ahahahahahaha na bora wasiweke kambi Tanzania, yale ma ss-18 sijui mabulava huwa yanatoka Russia moja kwa moja mpaka hapa. Hatari sana aiseee.Watamalizana wao huko..... Tatizo marekani kaweka kambi Eritrea na Mali . Hapo ndio kazi ipo kwa Mali & Eritrea kwa Africa. Mrusi akirusha ma SS Satan au Samarta watatafutana.
Unamaanisha hata lile pangaboi letu halitaweza kupita???Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Itakuweje kamba balance ya nguvu za kijeshi kati ya US na Russia/China/Korea Kask itatoweka kabisa duniani?Huko Moscow kwa sasa ni ful mandalizi ya WW3 na muda si mrefu jamaa atakinukisha hivyo tujiandae kwa janga kubwa sana la kibinadamu kwa sababu wakati wa vita kama hii hakuna kusafiri make huko juu ndo huwa njia ya Makombola kupita
Wapo kina japan wametulia hawapigi kelele....Itakuweje kamba balance ya nguvu za kijeshi kati ya US na Russia/China/Korea Kask itatoweka kabisa duniani?
he unamaanisha kufa kufaana?Wakilipuana wao huko sie Africa uchumi wetu utaimalika kweli kweli
Yule mama ni shetani,saivi anaomba Marekani watangaze no fly zone Syria ili wawasaidie waasi kama walivyofanya Libya.mwanamke yule akishinda uchaguzi,dunia ijiandae kwa mabaya zaidi ya haya.Ufunuo 17
6 Nikamwona huyo mwanamke amelewa damu ya watu wa Mungu, ...
Hapa kama hatakuwa Hillary Clinton..............
Basi waruhusiwa kutoa maoni
Na ndio ukawa mwanzo wa great brtain kusambaratika,toka taifa kubwa lililotawala dunia miaka zaidi ya 200 mpaka kitaifa kidogo tuHao walichakazwa mwaka 1945 wakaompa po, na hawataman kusikia, hata Tanzania tukitangaza vita nao watatukimbia walipata hasara sana
Hivi ingekuwaje kama mjerumani angeshinda vita vya piliVita ya 4 itapiganiwa mawe na vijiti ..... Maana kila kitu kitamalizwa.
Mkuu hilo jina ulilokabatiza kale kajamaa katata umenifurahisha sana...Na mkataba ule wa Nyuklia ndio umeshavunjwa sasa, huku yule Kiduku wa North Korea akijipongeza kwa kikombe cha kahawa ile yale majaribio yake ya kumjambisha Mmarekani akiyaendeleza
Mtu akiicheki hii video,na kusikiliza Tsar Putin alivyofunguka,atajua ni hatari gani inainyemelea dunia.ZIPIGWE TU.