Africa itatuhusu tu... USA ana Africom Command Eritrea na Mali. America kusini pia itahusika. Russia ana influence Sana Latin America. Nchi nyingi ni pro Russia including Brazil.... Makombora mengi atayasogeza Bolivia miliman.
Ki ukweli usitegemee nchi hizi zitapigana alone. Itakuwa ni www 3. Expect China, Iran, North Korea to side with Russia. Wakati marekani itakuwa na washirika wake Chini ya muungano wa nchi za kujiahami Nato..
Takwimu zipo wazi, tofauti na nchi nyingine. Russian makombora yake mengi ni nuclear powered na sio conventional ... Kulingana na wingi wa nchi za Nato tegemea nuclear war kuanzia mwanzo wa show mpaka mwisho.
Kuna taarifa US martials wamekataa agenda ya kuweka no fly zone in Syria. Ajenda hii imependekezwa na Bi Hillary Clinton na John kerry Secretary of the state. Makamanda wanasema ili kuweka no fly zone in Syria you ought to shoot down Syrian & Russian jets. Means engaging in war with Russia. Hii ni kitu ambacho punguani ndie anaweza kufanya. Anasema Admiral Scott. Russia imejiandaa kwa muda mrefu kivita na ki saikojia kupambana na Nato. Ilijua wazi kuwa ipo siku USA na allies wake wataleta chokochoko za kuua uchumi wake.. Wengi tumekuwa tukijikita mazungumzo yetu kwa Islamic state caliphates tunaacha hoja ya msingi ya uchumi. Vita inayokuja sio ya dini au demokrasia, ni vita ya kiuchumi. Ujenzi wa Bomba la gesi ghafi toka Qatar kwenda Ujerumani kupitia Turkey na balkans state kama option ya gas ya Urusi kwenda kwa nchi za Ulaya magharibi. Russia anaona ni hujuma dhidi ya uchumi wake wa gesi, yeye na mshirika wake Iran wanapinga Bomba hilo kupita Syria. Wakati USA na washirika wake Germany, France, UK, Israel & Turkey wanataka Bomba lipite Syria ambapo ndio route rahisi ya kupeleka gesi.
Hapa hekima ya baba la hekima mfalme Selemani Inahitajika la sivyo dunia itashudia vita ya karne Muda sio mrefu. Aleppo ndio inatakuwa mpishi wa vita kuu ya tatu.