Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Ni suala la muda tu - HIMARS hutazisikia tena, kumbukeni Drones za Utruki huko Ukraine zilivyo shughurikiwa na air defense system za Russia hivyo Drone hizo siku hizi hazitambi tena - mwarobaini wa HIMARS bado huko jikoni unachemka muda si mrefu zitakumbwa na kisago cha nguvu, pia mamuluki wa Kimerikani wanao tumiwa kuzifyatua nao watapelekwa jehanamu watake wasitake.
Kumbukeni kwamba Urusi kitu ingine kabisa omba uwasikie kwenye radio tu, watu hawajui kwamba nguvu ya Urusi ya kijeshi inayo tumika kwenye operation hii nchini Ukraine ni asili mia 5% ya nguvu halisi ya Russian miIitary - kama Putin ange hamua kufanya kweli, saa hizi tungelikuwa tunazungumza mengine kabisa kuhusu Taifa la Ukraine.
Zelensky hasijifanye kichwa ngumu, atumie hekima na busara afanye mazungumzo na Putin ili kusitisha vita atekeleze makubaliono yao ya Minski hasikubali ushauri mbovu anaopewa na Biden na wapambe wake wachumia tumbo.
Zelensky akumbuke kwamba hata apate misaada lukuki kutoka magharibi hataweza kushinda vita hii, badala yake Taifa lake litazidi kuharibiwa vibaya sana na raia wengi kupoteza maisha, vile vile majirani zake wana mpango wa kuimega Ukraine vipande vipande: mashariki itamegwa na Urusi na actually wamekwisha anza mchakato wa kutwaa majimbo yote ya mashariki ,majimbo ya magharibi Poland na Romania ziko mbioni kuyamega, mwisho wa siku Ukraine itabakiwa na jimbo la Kiev tu, basi.