MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,664
- 48,440
- Thread starter
- #141
Mkuu, hizi S400 za Urusi zinalenga hewani si ardhini. HIMARS inarusha roketi zinazolenga shabaha kwenye ardhi. Tena kwa umakini mkubwa. Umakini huo si tabia ya HIMARS yenyewe bali ya roketi zake. Warusi wanakosa tekinolojia hii, inaonekana wana roketi chache zinazoweza kulengwa kwa umakini. Maana wako nyuma katika tekinolojia ya kompyuta. Walitegemea vipuli kutoka Ulaya na Marekani, au vipuli kutoka Asia vilivyopo chini ya hataza na sasa hawawezi kununua tena kwa nji ya kawaida.
Dah! halafu sasa HIMARS zinaendelea kuongezwa, halafu ukizingatia zina uwezo wa kushambulia kutoka umbali usiofikiwa na artillery za Mrusi, ilihali Mrusi hawezi kuzishambulia kwa ndege maana zitadunguliwa, sasa amekaa kupokea tu, mara ghala hili linapigwa, lile linalipuliwa wanaishi kwa wasiwasi hawajui mzigo utatua wapi next.