Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,777
- 41,066
Nimesoma habari kuwa Vodacom wamejitolea tena kudhamini mashindano ya urembo kwa mwaka huu na wametenga Shs; milioni 600 kwa ajili ya mashindano hayo ya kuonesha jinsi gani kina dada zetu wamejaliwa kwa kila hali ili hatimaye tuwe na binti mrembo kuliko wote walioshindana.
Sasa tulikuwa tunazungumzia mambo ya uchafu on the other thread na huko nyuma tuliwahi kuzungumzia ushindi wa Taifa Stars dhidi ya Burkinabe na watu wakachangiana Shs milioni 400 na upuuzi!
Sasa nilitaka kuhoji mambo mengi lakini hivi ni njia ipi ambayo Vodacom ingeweza kujitangaza kama kuwekeza hizo milioni 600 kwenye kampeni za Usafi kama vile "Safisha Tanzania na Vodacom"; "Kampeni ya Kusafisha Jijina Vodacom"
Tuna vipaumbele? Sekta binafsi na serikali na wananchi? Tunawezaje kuchagua vipaumbele vya Taifa...