Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

Watu wametafuta kila chembe ya ufisadi kwenye utawala wa Samia, wamekosa, wamebaki kuzilisha maneno kauli zake, wamebaki kuzinyumbulisha kauli zake na kuzijaza maana zinazowapendeza wao kwa manufaa yao ya kifisadi, Samia is clean, hajawahi kuiba na haitotokea. Ni Rais bora zaidi kupatikana kwenye zama hizi zilizojaa watu greed with fkd up Egos! Tupo naye mpaka 2030 kama vitu vyote vikibaki constant, asiyetaka ahamie Burundi
 
Rais ni taasisi na ina wasemaji rasmi. Kwanini hawakutoa press release baada ya kikao cha Rais? Na kama walisahau, kwanini wasilete huo ufafanuzi ili kuondoa taharuki iliyojitokeza?

Nyie wafafanuzi na watetezi wa JF ni nani kawaajiri? Malipo ya hii kazi mnapewa na nani? Pia, mnajibu kama akina nani? Au mnajiongelea wenyewe bila kuwa na mamlaka?
 
Mshahara huwezi kujipimia kwa kuwa umeshapangwa.
kimsingi huyu maushungi kama nchi tumepigwa hatuna rais tuna liutopolo fulani limejikuta ni rais wa nchi
 
Acha kupumbaza watanzania wewe.
Sikiliza hotuba ile kwa kirefu utagundua kuwa kamba ilikuwa ni rushwa.
Ndio maana kuna maneno kama.....kuvimbiwa,,hampati kwenye maeneo yenu......nk.
Usifanye ufahamu wako usio mzuri uwe wa watanzania wote.
Its the matter of comprehension only.
 
Mimi ni mtaalamu
Mimi ni mtaalamu wa kusikia mtu kasema nini alafu nahusianisha na mazingira hivyo niko sahihi 100% kuna wakati jamii inakuwa na watu wa uelewa wastani ili kuwaelewesha inahitaji muda
Kama wewe ni mtaalam wa hayo mambo basi elimu yetu ni mbovu sana.
 
Mimi ni mtaalamu
Mimi ni mtaalamu wa kusikia mtu kasema nini alafu nahusianisha na mazingira hivyo niko sahihi 100% kuna wakati jamii inakuwa na watu wa uelewa wastani ili kuwaelewesha inahitaji muda
Utawajua tu! Akishaanza mimi ni 'mbobezi', jua ni walewale !
 
Haya nenda kachikuwe buku7 zako
 
Weka hotuba nzima hapa tusikie wenyewe kama alizungumzia mshahara au lah.
 
Kwenye ile hotuba ya rais hakuna maneno kama "mshahara na stahiki". Wewe ndiye unamlisha maneno Mh. Rais. Yeye amesema tu kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake na asivimbewe.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Nadhani tuliowengi hatujui viongozi hasa wateuliwa wa rais wanavyopata mafungu ya hela, pesa inaletwa katika kitengo chake wewe kazi yako ni kuipangia matumizi haya matumizi yaweza kuwa hewa au sahihi, na ndio maana utasikia mwaka jana walikusanya au walipewa sh kadhaa lkn hakuna lolote walilofanya pesa imeishia kwenye posho/ safari/ semina nk kwahiyo ni pesa ipo lkn haina kazi maalum ila mwenye hiyo pesa anatakiwa achague ailekeze wapi, tumboni mwake au kwenye maendeleo chaguo ni lake.
 
Hawa jamaa wajinga sana. Mtu akishaambiwa ajipimie ina maana ajiamulie mwenyewe. Hiyo ni ruksa ya kuvunja sheria za mishahara na stahiki halali.
Na asivimbiwe, stahiki halali mtu hawezi ambiwa usivimbiwe
 
Ndivyo alivyokwambia au kujipendekeza kumekuzidi. Nzi wa mama mna kazi ya kufuata tu MNUKO unapoelekea.
 
Yale yale ya Zushu sijui uchu kwamba alisema 'mtambo'...Wazenji nyie mtuonee huruma.
 
Rais anatakiwa kuwa mtu mwenye hekima na busara,mtu mwenye kupima kauli anazotoa.Maana iliyo zoeleka mtaani ya statement"mtu anakula urefu wa kwamba yake" ni mtu kuweza kupiga kwenye area yake of jurisdiction na naamini maana hii anaielewa.Swali ni kwamba kwa nini alitumia statement hiyo tata,huku akijua inaweza kuwa misinterpreted?Jibu kama nilivyotangulia kusema,ni kwamba hana hekima na busara,that is the bottomline.Sasa mkituambia mengine hatuwaelewi,hizi ni ngonjera.Kwa maneno yale,Samia atake asitake ameruhusu upigaji.The best she can do ni kuwashuhulikia wapigaji bila huruma,ndipo tutakapo-muelewa.
 
Hapa tumepigwa tena na kitu kizito kama tulivyopigwa na zile tozo. Mmeambiwa mle urefu wa kamba zenu lakini wanyonge wategemee kuona deni la taifa likiongezeka mara 2.
 
Kuchezea fedha za walipa Kodi au Mikopo itakayolipwa na walipa kodi,Ni Jambo la kukemewa na kiongozi yeyote aliyeapa kulinda Katiba na kutumikia wananchi wake kwa uadilifu na uaminifu.
Wewe kama kiongozi ,haipendezi kula mbegu ambazo wananchi walikutuma kwenda kuchukua kwa niaba yao ili kupambana na njaa au changamoto ya wananchi wako, kwa manufaa binafsi
 
Yeye mwenyewe kwa kunywa chake alisema Rais hakosei hivyo hana tofauti na mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…