Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Acha kujipa majukumu ya mods mambo ya ID hayakuhusu jibu hoja unatafuta pakukimbilia.

Siwezi kukaa kimya na kuwaacha wahuni wachache wakichafua heshima ya jukwaa hili.
 
kweli umeishiwa hoja, mi hata tuntemeke simjui unang'ang'ania kunipachika jina.

Sasa nimeamini mmefualia kwa hoja, mnaanza kupiga porojo kama magamba.

Mabadiliko ktk nchi yetu bado sana, cdm inahubiri isichokifanya.
Mpaka 2015 itazidi kujidhihirisha rangi yake halisi.

Msalimie Tuntemeke mkuu wangu.
 
16th May 2008 - Wazee hawaongei hovyo hadharani. Hawa ni statemen, chukua muda, kaa nao utapata mengi mengi sana. Ni wale tu ambao hawataki kuheshimu uzoefu na kazi ambayo wazee hawa wamefanya ndio atataka kuwalaumu na kuwasuta. Hawa hawawezi kwenda MAELEZO kusema kama Zitto au Mnyika etc, hawa wanasema kikubwa kwa tahadhari na ukipata fursa kuwa nao unajifunza mengi sana na unaweza kuyasema 'with authority'. Tuwaelewe wazee wetu na tuwe fair kwao!
Naipenda JF...!
 
Msalimie Tuntemeke mkuu wangu.

hahahaaa,
mkuu Malemo leo naona umeishiwa hoja kabisa.

Waulize mods **** mimi na tuntemeke ni mtu mmoja.

Kama ni kweli wazifungie akaunti zetu moja kwa moja.
 
Siasa kitu cha ajabu kweli na ni mchezo mchafu haswa ni mara 1000 kufanya shughuli zako tu,maana hawa jamaa wanatutumia sisi wachangiaji hapa JF kama mitaji yao.Kiukweli kuna kitu nyuma ya pazia,maana tunachezeshwa zile filamu za utotoni za kutumia vibatari.
 
kwa kadri ninavyojua na hali inavyoendelea huku ndani kabisa chini ya jiko kuna watu wawili hawawezi kuwa marais wa nchi hii 2015.. zitto Kabwe na Lowassa...tena huyu wa pili ndio kabisaa hataweza maana file lake ni chafu na pia mwenye nyumba wakati akiwa njia kuelekea US alipigia mstari...tunajua nini kitatokea huyu akiingia pale ikulu na hivyo ni jukumu letu kuepeusha..ni heri kuweka kinu pale ikulu kwa miaka 5 kuliko huyu....Zitto sababu ziko wazi kwa sasa hawezi kuwa rais labda apindue nchi kitu ambacho hawezi....
 
kwa kadri ninavyojua na hali inavyoendelea huku ndani kabisa chini ya jiko kuna watu wawili hawawezi kuwa marais wa nchi hii 2015.. zitto Kabwe na Lowassa...tena huyu wa pili ndio kabisaa hataweza maana file lake ni chafu na pia mwenye nyumba wakati akiwa njia kuelekea US alipigia mstari...tunajua nini kitatokea huyu akiingia pale ikulu na hivyo ni jukumu letu kuepeusha..ni heri kuweka kinu pale ikulu kwa miaka 5 kuliko huyu....Zitto sababu ziko wazi kwa sasa hawezi kuwa rais labda apindue nchi kitu ambacho hawezi....

Unataka kusema yy hajui hizo sababu au kavaa miwani ya mbao?
 
Unataka kusema yy hajui hizo sababu au kavaa miwani ya mbao?

anazijua isipokuwa anajaribu ''kutoboa dari''...mchezo wake huu mnaouona kwenye magazeti tunaujua tena vizuri sana...ni jikumu la chama chake kuwa makini wasifanye kosa alilofanya nabii elia la mkumkimbia jezabel....
 
Unadhan Kamati kuu itampinga mtei wakat mkwe wao? huyo mzee hana lolote anataka mwanae akae ikulu sasa anaona zito ndo kikwazo chama cha familia na serikal mnataka ya family...pumzka we mzee mda wa vijana huu...zito kamua baba

kweli kaka habari ndo hiyoo!
 
Kaskzini in da white house ndo tatizo.
Vijana wengi wamesahau huyu huyu Zito wanayemtukana na kusema kahongwa ndiye aliyewavutia kuingia chadema na ndiye alowapa mwanga wabunge wengi vijana na amewakomaza kisiasa.
Kweli fanya jema usepe zako usingoje shukrani!
 
Hivi kila siku Zitto tu kutajwa kwenye midomo yenu hamchoki. Nafurahi jinsi Chama kinavyochukulia kauli za Zitto. Kwanza kweli kulingana na katiba Zitto haja qualify kuteuliwa kuwa mgombea.
How can a person waste his time to discuss disqualification?
Nia ya Zitto si urais kama anavyotamka kwa sababu kama nia ya Zitto ingelikuwa ni hiyo basi yeye angewekeza nguvu katika kuhakikisha kipengele cha umri kwa mgombea urais katika katiba kinabadilishwa. Kwa mtizamo wa haraka haraka mh Zito
Ameiga style ya siasa za magamba ili kuleta mtafaruku chadema baada ya kuhisi thamani yake ndani ya chama inashuka kila kukicha. Kutangaza nia sii kosa ila kosa ni kutokujua wala kujali busara zinazoamua wakati muafaka kwa kila jambo.
.
 
Zitto akiona picha za mr dhaifu akiwa Canada akivutwa na vitoroli kupitia farasi naona ndio anachanganyikiwa kabisa kwa tamaa anataka hata kubadilisha birth certificate yake ili isome miaka 42 afikapo 2015
Nadhani kijana akimwona "John Walker" akitalii hivi anajilaumu kwa nini hakufoji mwaka wa kuzaliwa kwa kuongeza hata miwili tu ili naye "atanue" namna hii.
 
kwani si hata mtoto mtukutu nyumbani anaonywa kwa mdomo na kama mdomo haumtii adabu basi ni bakora! Mwenzetu huwa unakaa kimya?Wee huoni kwamba zzk anawanga? Wenzie bado wanalima hata kupanda na kipandwe nini uamuzi bado! Yeye anaenda na kapu lake kuvuna!

Wasomi wa Chadema njooni na majibu muafaka; hizi riwaya hazisaidii tunataka ni kipengele mh. Zitto amekivunja

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Chama, unaona majibu yako? yaani swala la colective rationare ni tatizo kwako, kwani ww msomi ni mpaka niwe mm? sasa kama madaktari, waalimu wa inchi wanalalama, hao sio wasomi?

Mkuu Isaya Mwita;
mimi niliuliza tu ikiwa wewe ni mmoja wa hao wasomi; jibu lingekuwa ndiyo au hapana sikumaanisha vibaya kamanda nisamehe usinielewe vibaya.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hivi wewe unafikiri tatizo ni Zitto kutangaza nia ya kuutaka urais? Labda kama hutaki kuelewa kutokana na hulka zako humu JF. Issue hapa ni Zitto na uhalali wa umri wake katika kugombea urais na yeye kila baada ya miezi mitatu kuwa anaibuka na kutangaza kuutakaka urais. Umri wake ni wazi haumruhusu na hiyo katiba mpya hakuna anayejua kama itaaccomodate huo umri wake wa miaka 39 hiyo mwaka 2015. Swali ni Je kama hana vigezo wala sifa kwa sasa inakuaje anatangaza kuutaka urais? Nini lengo lake hasa maana wenzake wote wako busy na ujenzi wa chama. Najua hutaelewa maana mara nyingi nimegundua ni hulka yako kutoelewa.

Mkuu wowowo
Jibu swali la msingi; mimi naelewa ndio sababu nauliza maswali ili nifahamishwe zaidi; ninachokataa ni kulazimishwa jambo bila kuwepo uthibitisho.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom