mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,254
- 9,174
kwani si hata mtoto mtukutu nyumbani anaonywa kwa mdomo na kama mdomo haumtii adabu basi ni bakora! Mwenzetu huwa unakaa kimya?Wee huoni kwamba zzk anawanga? Wenzie bado wanalima hata kupanda na kipandwe nini uamuzi bado! Yeye anaenda na kapu lake kuvuna!Mkuu nakubaliana na wewe hana nguvu kisiasa kama unavyodai; je inakuwaje mtu ambaye hana nguvu kisiasa anawafanya hamlali kwa kumpiga madongo; je kinaogopwa kitu gani? Mimi nadhani ikiwa kama ni kweli hana nguvu za kisiasa basi mngefuata mkondo wa demokrasia badala kutumia nguvu nyingi kujaribu kumnyamazisha; hivi mathalani leo mh. Didas Masaburi atangaze atagombea uraisi kupitia CCM unafikiri kuna atavunja shughuli zake kujibizana naye?ChamaGongo la mboto DSM