peri
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,579
- 1,168
Naweza kusema nyie ni mitambo inayozalishwa pale LUMUMBA, tunawajua sana nyie ni wazandiki wanafiki
na wanyanganyi na kamwe hamtofanikiwa, najua kuwa mnapokea madau tofauti tofauti kama Pasco anawezidi dau
Hii kamwe haitawasadia na watanzania kamwe hatutayumba siku itafika tutachukua nchi yetu
Copy to Pasco, Ritz, zomba, Nnauye Jr, chama, Ecoli, OTIS, Kata nyodo, malaria SUgu (RIP), Jenifa, peri,
usikimbie hoja mkuu,
hizo unazoleta ni porojo.
Jibuni hoja, wapi katiba ya cdm imekataza mtu kutangaza nia?
Huyo mzee mtei anazeeka vibaya, aliposema hawezi kuona cdm inaongozwa na mtu asiemfaham alimaanisha nini?
Alipohoji kwa nini tume ya katiba ina waislam wengi alikuwa anatoa ujumbe gani kwa taifa?
Kama kweli hataki mpasuko ndani ya chama, kwanini analumbana na zkk kwenye media na sio kumuita kwenye vikao vya chama?
Nani basi anahaki ya kugombea urais kupitia cdm?
Zkk hakusema lazima agombee, alisema ataomba ridhaa ya chama na kisipompitisha atampigia kampeni yeyote atakae pitishwa, sasa tatizo liko wapi?
Last edited by a moderator: