Uraia wa waTutsi !


Umesahau kuweka source: New times Rwanda (Gazeti la serikali ya Rwanda linaloendeshwa na chama cha RPF!/state controlled newspaper). Gazeti hili hili ndio lililosema kuwa mama salma kikwete ni mhutu tena ndugu yake habyarimana!

Dunia inaamini magazeti huru kama the telegraph la uingereza na mengineyo, siyo hili government mouthpiece!
 
umesahau pia kagame alikuwa mkuu, chief of millitary inteligency wa jeshi la Uganda ( uganda people's Defence Force )

sasa hivi ni rais wa Rwanda,yani hawa watu siwaelewi,Tanzania inabidi tuwe makini

Mkuu mbona hapa bongo wamejaa? tena wengi hujiita kuwa wanatoka kigoma na ngara? we attend kwenye moja ya arusi ya mtutsi mmoja akioa ndo utalijua jiji, kama mchungaji mtikila alivyoandika andiko lake, hawa watu ni noma, wakipania kitu wanakipata, ikishindikana wanamtumia dada yao mtutsi umbo lake ukiliona utapenda lazima uingie 18m zao. We acha watanue wanajua kujipanga.
 
Kabavamwo kama hujui kitu ni vema kukaa kimya kuriko kupotosha ukweli.marais walioiawa haaakuuwaaa na watutsi na ripoti ya UN inaonyesha. Na kilichotokea ni wahutu kuwaua watutsi wengi mno.....hata mhutu aliyeoa mtutsi walimuua na records za un zipo na UN waliomba radhi kwa kukaa kimya. JIPANGE KUWA MKWELI.
 
Ndivyo walivyo hawa ila wapo strategic sana iwe wa Tz au wa huko Rwanda
 
Mipaka waliweka wakoloni kama wewe mwafrika unaweza kuwa raia wa popote
 
Wewe ndio umelonga kabisa na ndio maana ukienda mipakani huwa familia zinaingiliana na wanalijua hilo na zinatembeleana maana mtu anaweza akawa anakaa Sirari kule Tarime lakini akawa ana ndugu wengine kibao upande wa kenya kama Isibania na maeneo mengine. Hii ni changamoto tu kwa nchi za Afrika especially Tz kutokuwa na kumbukumbu za wananchi wake hivyo inapelekea watu wanajichanganya wengine sio raia na wanajifanya raia kutokana na hali ilivyo, leo hii watz wengi wakiambiwa wathibitishe uraia wao kwa kutoa document yoyote utapata wachache na tena mjini na wengi wao ni hawa waliozaliwa miaka ya late 80s ambapo kuingia shule lazima uwe na birth certificate. Nadhani awamu ya kwanza walichukulia poa kwa kuwa those days kulikuwa kuna mtazamo wa kiukombozi zaidi kama wa-Africa.
 
Hii comment imenisikitisha tafadhari msibaguane. nyinyi ni ndugu wote ni wa Rwanda ijengeni nchi yenu kwa maelewano zungumzeni vizuri kwa faida ya vizazi vyenu.

Comment nzito hiyo aliyotoa jamaa mpaka mwili unasisimka maana hawa jamaa sometime wana vitu vyao mioyoni ambapo mtu mwingine huwezi kuvijua na ndio maana kutatua matatizo yao inakuwa ngumu sana, wengine tunafanya observation tu maana matatizo ya hiyo nchi yana historia ndefu sana lakini naona kama yanaelekea kuisha vile
 
Kwa namna hii ugomvi wa ukabila hautaisha Rwanda..maana naona hata humu mnaonyesha mnavochukiana waz waz. Naona mna hamu na Genocide nyingine aisee. Let love lead
 
Mpe za uso, mwambie hatuhitaji mchango wake aendelee kuponda Tanzania na hii ndo nchi yetu.
First i didn't get this nor the purpose of this thread you just hope 'operation kimbunga' is still on big up jMali kweli kila mtu na kazi yake.
 
Lakini wameweka source and people they quote, are you disagreeing with the Newtimes or the contents with in??
 
Hii ni official report ya UN on their role in the Genocide against Tutsi, for those interested just cut and paste the below link into your blowser:
http://www.securitycouncilreport.org/atf/cf/{65BFCF9B-6D27-4E9C-8CD3-CF6E4FF96FF9}/POC S19991257.pdf
I hope Jmali utakubali atleast the introduction manake hii haijaandikwa na Newtimes:
I think its is the time for you (jMali) to point out what you think should be done, toa solution for what you think is the problem:
On the other side kubali kwamba Title ya thread yako inaonyesha hatred kwa wa Tutsi in general; unge mention only names labda watu wangekuelewa lakini when you generalize we have to think twice about your motive:
 
First i didn't get this nor the purpose of this thread you just hope 'operation kimbunga' is still on big up jMali kweli kila mtu na kazi yake.
Lol,first I thought this dude does make some sense ingawaje i didn't agree with you,lakini now you talking about kimbunga and big up interahamwe jmali..seriously?
 
Lol,first I thought this dude does make some sense ingawaje i didn't agree with you,lakini now you talking about kimbunga and big up interahamwe jmali..seriously?
Why shouldn't i give him his credits, he makes sense some tutsi's (not all), will always be part of the problem in Rwanda's politics. Tanzanians tend to champion integration as part of lasting solution, no wonder PK thinks by displaying a million skulls of so the called tutsi's will lead to sympathy and legitimize his lifetime plan on the presidential seat. Worst he has people penetrating other societies and posing as native to defend his stupidity.

Sasa we subiri 'operation kimbunga' uzuri wake tuna utaratibu wakuzikana vijijini makaburi yanaenda mbali sana i hope kwenu unakujua. Some tutsi's are a calamity to the future of the EAC block for those us who have good intentions on integration of the block including free movement of people.

Ni watu kama PK wenye kuwalisha ujinga wa ujanja ujanja mkajiona waelevu kumbe wajinga tu, nyie ndio mnazuia speed ya muungano wenye nia njema within the block, jamaa yenu inabidi aondoke tusonge mbele na safari ya ukweli, see ya in Jukwaa la siasa with ya majanga id ukiwa unachochea kuvunjika kwa muungano wa Tz, ill be there to defend that too.
 

urafiki wa ki..se...ng kwenye serikali ndo inacost tz....kupigana pamoja haimaanishi ufanye mambo kinyume na maslahi ya nchi na wananchi kwa ujumla...hivo ndivo alivo kagame....hakupigana ili kutafuna nchi bali kuleta afueni najua kwenye masikio yako ni msamiati mgumu na mgeni sana....kwa sababu zenu zisizokuwa wazi najua hamtaelewa ila hiyo ndo reality...na kiongozi anafaa afanye hivo......Kagame ni mfano bora wa viongozi wa kiafrika na ni pan africanist wa ukweli....hana uarafiki na mwekezaji kutoka uraya,marekani,mention it kinachowaunganisha ni interest zao...ukizingua kesho airport nakuhusu....public services kama banks,hospitals,mitandao ya simu nk ili maradi unatoa huduma kwa raia una hatari kma huta-satisfy wateja wako...lesen yako itafutwa within no time kama hutakuwa mwepesi kuonyeka fine zitakuua....siyo mnyarwanda anapanga foleni bank masaa mara counter flani hakuna mhudumu au mhudumu yumo ila anafanya kazi zake....aisee kama we ndo manager ombudsman panakuhusu 100%utapgwa fain utamani kuacha business...kama ikatokea ajali sehemu yoyote ndani ya rwanda au hata nje ilimradi mnyarwanda ndo kazurika majeruhi wanafuatwa na helicopter na kama issue yoyote ikawareported police wakakawia kufika zaidi ya dk 30 mwanchi una haki ya kuwareport ombudsman kibarua cha huyo mkuu wa mahali hapo kinakuwa mashakani...hiyo ndo rwanda na zaidi....police anakupatia lift ukiingia kwenye gari anakupatia contact zote fire,emergency response nk na kukupatia shule jinsi ya kureport matukio na kukuasa kureport immediately pale unapoona hali flani si ya kawaida...nyei acheni bwana huo ni wivu wa kike rwanda ni noma
 
kuna sehemu umeona watajwa wamekanusha/?ah kumbe ni yule yule muuza unga?wewe sihangaiki na wewe huna akili
 

mtikila mwenda wazim ndo unatuleta hapa?hata wakijiita watu wa ngara uwezo wao utwatofautisha na wewe na hao wanyangara na waha lazima tu....
 
kwa taarifa yako watusi ni wahuni kupitiliza mmoja akiolewa kwenu tu familia yenu ni lazima ijae watusi kutoka rwanda na muda si mrefu wanaanza kuwabagua hata ulieoa

Mtemi milambo alifanya hilo kosa, mmoja wa wake zake wadogo, alikuwa mtusi. Ukienda tabora leo, kuna sehemu wamejaa inaitwa utusuni. Jamaa noma hao. Wanawake zao wazuri ila vimeo. Kuoa uoe wewr, mimba watie watusi wenzao. So kweli kweli
 
Uwaga mnafurahisha sana jinsi mnavyo msifia Kagame na maendeleo yenu (to some extent he deserves some of the accolades but realistically). Ukweli wenyewe ni kwamba Rwanda ni size ya mkoa mmoja mdogo sana ndani ya Tanzania na imekuwa ikipokea misaada sawa na nchi za Afrika from western doners if not more compared to many states.

Kwa maana hiyo hela inayoenda Rwanda inaweza stretch far quickly na mafanikio yakaonekana haraka tofauti na Tanzania kwenye population kubwa, size kubwa na changamoto kubwa including having enough man power to police the policies (ndio maana leo unaona watanzania wana waamsha viongozi wao huku chini wahusika wana haribu sera) our challenges are more than tutsi's vs hutu living in areas not the size of Dar-Es-Salaam, sort your problems they affect us with wakimbizi, wahamiaji haramu etc.
 
tehe tehe. mkishikwa pabaya mnagawa uhutu, sishangai hata mmakonde salma kikwete kwenu mhutu, kisa mmewe kashauri mazungumzo na FDLR! Mi sio mhutu ila sina shida ukiinita hivyo, ugomvi utakuja ukiiniita mtutsi!

Teh teh teh. Nilikwenda kigali memorial center, nilichokuta pale ni habarinya wahutu kuwaua watutsi tu. Hakuna nyingine. Siku moja tulikuwa na seminar pale serena hotel ya dar, semina ilifanyika siku zile za makumbusho ya genocide ya rwanda. Mtusi mmoja akaomba tusumzmi kwa dakika moja tuwOmbee watustsi waliouawa na wahutu kwenye mauaji ya kimbali ya rwanda. Jamaa kwa propaganda ni kiboko. Siwapendi na wala sitaki kuwasikia. Pia ni wanafiki kinoma, hawawi marafiki zako mpaka wawe n jambo wanalitaka toka kwako, wakifanikiwa tu wanakumwaga. Noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…