Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

Hata Congo yote bila kagame ingekuwa bado under your dad mobutu na usisahau president kabila was fighting under kagame too...next.

Hujajibu lolote. What is the connection between M23 (supposedly congolese-tutsi) and RPA(Rwandese-tutsi)?

Na vile vile niongeze kwa vile umelianzisha, kagame alishiriki mapinduzi congo ili iweje, was he congolese like kabila? You do remember what happened few weeks after Kabila said "Rwandese go home" right? He was karegeyad! Anyway back to the main question. M23 leaders and RPA please.
 
Karegeyad, ni msamiati mpya kwangu.
 
Sio kosa lake sana, huko kwao Rwanda hakuna uhuru wa mawazo wala hakuna uhuru wa mijadala. Kagame thinks on their behalf. Kwa hiyo anadhani dunia nzima ndio iko hivyo hivyo.
Ndio maana tulimuomba link ya angalau internet forum moja tu ya Rwanda akashindwa kutupatia. Ni watu wa kuonea huruma. Si unamuona hata uwezo wa kujadili hana anaishia kutukana tu.

Kwani tz mna uhuru gani? unataka kunieleza maamuzi ya serikali wewe unamchango gani?
 
Hiyo ndo Rwanda wazee wa kulialia JWTZ ilivyoenda kuwadunda M23 walianza kulialia mara Nyerere angekuwepo asingeruhusu mara askari wa JWTZ wamebaka oh mara Mama Kikwete si raia wa Tanzania ni mhutu.
Wapi na wapi Lindi na Rwanda ,angalau basi Lindi kuna plantation zilizochukua Manamba huko Rwanda tungesema basi kweli anaweza kuwa na nasaba za huko Rwanda.

Acheni uzushi,M23 hamkuifanya chochote ndio maana monusco wamenza kulia eti ~M23 imerudi tena,imetoka wapi? Eti mliiponda sasa hii imetoka wapi?
 
Nchi hazipigani au kuchukiana kwa sababu raisi katukanwa au kuzomewa,your wish Kenya wachukiane na Rwanda..umeishiwa wewe na akili yako iliyofilisika

Kenyans are serious people when it comes to business,usifikiri ni watu wa majungu kama wabongo,so sorry hamtaona tatizo kati ya rwanda na kenya.
 
Sikiliza mshamba wewe M23 is not Rwanda na acha ndogo zako za kibwege za kufikiri watanzania wanasikiliza upuuzi we nu kama unachukia Rwanda fight your own battle sio propaganda zenu haters wakubwa nyie

Koba, are you a man or woman? If you are a man, then you are a g.a.y! Am sorry, but the way you argue makes me think so. Please forgive me in case I have offended you. Tell me otherwise. .
 
Rais wa interahamwe wakati wa genocide aliyekuwa anaongoza mauaji hayo alikuwa ni MTUTSI aitwaye Robert Kajuga!

Acha kudanganya watu rais wa interahamwe? mlimtumia kama vice mkimuhakikishia kusalimishia maisha yake na familia yake,vipi mwishowe si mlimchinja pamoja na familia yake? fool kajuga,hakuna mtu atakaye mwaga damu ya wasiokua na hatia awe salama "it is matter of time".
 
Bosco Ntaganda, Sultani Makenga plus all other senior members of M23 were once members of RPA fighting under Kagame in 94. Can you explain how come? For all we know hata kagame mwenyewe asingekuwa rais angeweza kuwa M23 today. Until you explain this riddle then M23=Rwanda!

Mshamba nini?sasa hao watanzania waliofia msumbiji,uganda,congo walikua sio watanzania? tofauti nikwamba wao walitumwa na serikali yao kusaidia hao jamaa,lakini hao uliotaja walitumwa na nafsi zao.
 
Hujajibu lolote. What is the connection between M23 (supposedly congolese-tutsi) and RPA(Rwandese-tutsi)?

Na vile vile niongeze kwa vile umelianzisha, kagame alishiriki mapinduzi congo ili iweje, was he congolese like kabila? You do remember what happened few weeks after Kabila said "Rwandese go home" right? He was karegeyad! Anyway back to the main question. M23 leaders and RPA please.

Nikuulize wewe kwani kulikua na connection gani kati ya watanzania na ukombozi wa nchi za kusini mwa afrika? kiasi kwamba watanzania walipoteza maisha yao ili waafrika hao wapate uhuru? nafikiri jibu lako litakua limejibu swali lako.
 
Kenyans are serious people when it comes to business,usifikiri ni watu wa majungu kama wabongo,so sorry hamtaona tatizo kati ya rwanda na kenya.
Mukamasimba hawa jamaa wala sio wabongo ni remnants wa interahamwe wanajaribu kumwaga sumu humu..na wana hamu sana kuona Rwanda na Tanzania wanagombana
 
JMali,

Ungekuja na list ya wahutu waliozaliwa au kukulia nje ya Rwanda pia basi. Suala si ututsi au uhutu bali ni historia iliyopelekea kwa watu kufukuzwa au kukimbia nchi yao kutokana na chuki na state sanctioned persecution. Hivi unafikiri mauaji ya watutsi yalianza 1994? Wengi wa waliokulia nje (ikiwemo Tanzania) hawakupenda kwa hiari. Ni victims of circumstance.

wambie kaka...wana masikio lakini hawasikii....
 
Mmemsahau Joseph Kabila, rais wa DRC mnyarwanda ambae waCongo hawataki kumsikia. Kumuita Laurent Kabila baba ake ni gelesha tu na kuna tetesi alihusika kwenye kifo cha Laurent Kabila. Hapo bado yupo Mseveni naye asili yake ni kulekule Rwanda
 
Koba, are you a man or woman? If you are a man, then you are a g.a.y! Am sorry, but the way you argue makes me think so. Please forgive me in case I have offended you. Tell me otherwise. .

the good thing unajitambua we ni bonge la ndina...unaapologize nini..yes umemuoffend,getting to knw whether he/she is a man or woman will not make u any better....we kama ni hater wa rwanda unajisumbua....siyo wa kwanza wala wa mwisho....tatizo linaanzia kichwani pako na litagusumbua maisha yote...... "it is the matter of time"
 
Mmemsahau Joseph Kabila, rais wa DRC mnyarwanda ambae waCongo hawataki kumsikia. Kumuita Laurent Kabila baba ake ni gelesha tu na kuna tetesi alihusika kwenye kifo cha Laurent Kabila. Hapo bado yupo Mseveni naye asili yake ni kulekule Rwanda

kwa kuwa we ni pum..bavu humtaji nyerere R.I.P wakati umwahisikia ana asili ya rwanda
 
Acheni uzushi,M23 hamkuifanya chochote ndio maana monusco wamenza kulia eti ~M23 imerudi tena,imetoka wapi? Eti mliiponda sasa hii imetoka wapi?

Waliokimbilia Uganda wale walikuwa wakina nani na mbona hatusikii majigambo yao. Monusco wanacholalamika wale jamaa wameeanza kupewa mafunzo kwenye kambi za jeshi la Uganda.Source ITV.Samahani kwa kutoka nje ya mada.
 
the good thing unajitambua we ni bonge la ndina...unaapologize nini..yes umemuoffend,getting to knw whether he/she is a man or woman will not make u any better....we kama ni hater wa rwanda unajisumbua....siyo wa kwanza wala wa mwisho....tatizo linaanzia kichwani pako na litagusumbua maisha yote...... "it is the matter of time"
To apologize is a sign of wisdom!...keep on hurling insults. I don't have to hate rwanda, I hate the evil behaviours of some of yr people; may be including you. Got it right? I DONT HATE PEOPLE, I HATE EVIL BEHAVIOURS. I didn't create anyone, so I don't have right to hate any one. Hope you got me if your brain works well...
 
Mkuu MGOSI132 napenda kukufahamisha kwamba hii thread ina maana,inaelimisha na kutujuza kinachoendela kwa jirani zetu Rwanda ambao Rais wao Kagame anazidi kuwamaliza makomredi waliomfikisha hapo alipofikia.Ni haki na ni vyema waTanzania wakamjua vizuri Kagame ambae alifikia hata kumtisha Rais wa JMT mchana kweupe.Ni kwanini tusimjadili huyu dicteta muuaji na mkabila mwenye nia mbaya ya kuisambaratisha EAC ?.

The good thing nikwamba wengi tunakubaliana kwamba hii thread haina maana, na muanzilishi ana spread hatred!
I have big respect kwa jamaa mmoja mchangiaji aliyewahi kufanyia kazi UN-ICTR najua alisikia mengi and he knows more than many of us:
Baadhi ya comments hazisaidii jamii lolote..
Comments like..Watutsi waliuwa wa Tutsi wenzao
...................Utata wa Uraia wa WaTutsi etc sometimes inakuwa vigumu kuendelea kujadiriana na mtu mwenye mawazo kama hayo:
naona bora thread isimamishwe tuu..
 
Last edited by a moderator:
The hatred, mistrust, future calculations, manipulation, propaganda, unwillingness to forgive and opening up new chapter for the sake of long term solution from our bordering brothers demonstrated in this thread explains why one's ideological identity (just a mental self identity gained during socialization can be dangerous for the health of a nation).

I dont get this unakutana na wakikuyu ambao wapo very friendly towards Tanzanians in foreign land, lakini akija Mkenya mwengine ambae si wa kwao hataki hata ku-socialize nae. Sijawahi kuwajua wanyarandwa with hutu origin (at least by self proclaim), lakini watutsi nimekutana nao na ni very charming and very loyal friends. Halikadhalika kuna watanzania wengi sana wameomba makaratasi ugenini kupitia nchi za rwanda na wanyarandwa (both hutu and tutsi) wengi sana wanafanya kazi as interpreters, sasa ukijifanya wewe mnyarwanda of either tribe na unaongea kiswahili unaitiwa mmoja for verification purposes.

Marejesho ninayosikia ni kwamba wakija hao hawakukatai even better since the interview is in swahili wewe hata ukiongea hivi yeye anarudisha majibu aliyorekebisha yeye kukuwekea sawa, wameshawatoa watu detention ready to be deported, wameshafanya watu wengi wapewe makaratasi mahakamani, wamesha walengesha watu sehemu gani za kwenda wakiwakuta kwenye sector za misaada. So why do you people hate on your own.

Future African leaders need to work on eliminating tribes and all the nonsense that come with its sub cultures, languages and other socialization aspect after that we need to attack religious leaders wenye kiherehere cha siasa or else we will remain vulnerable if we want to see strong nations.

Mwisho watanzania tumechoka kusikia chuki zenu, somebody need to point out this 'Koba' to the local immigration office if he happens to live in Tanzania this dude is full of shyt, calculations and hatred towards our land.
 
Nikuulize wewe kwani kulikua na connection gani kati ya watanzania na ukombozi wa nchi za kusini mwa afrika? kiasi kwamba watanzania walipoteza maisha yao ili waafrika hao wapate uhuru? nafikiri jibu lako litakua limejibu swali lako.

Hiyo inaitwa pan-africanism. Tanzania haikupeleka a single tribe, ilipelekea jeshi la wananchi wote! Hiki cha akina kagame na M23 kinaitwa pan-tutsism
 
Back
Top Bottom