mzawahalisi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2010
- 752
- 238
Hawa jirani zetu wana uzalendo wa hali ya juu sana. yaani mtu kazaliwa na kukulia ugenini lakini anapakumbuka kwao na anenda kuitumikia nchi yake!
Uwaga mnafurahisha sana jinsi mnavyo msifia Kagame na maendeleo yenu (to some extent he deserves some of the accolades but realistically). Ukweli wenyewe ni kwamba Rwanda ni size ya mkoa mmoja mdogo sana ndani ya Tanzania na imekuwa ikipokea misaada sawa na nchi za Afrika from western doners if not more compared to many states.
Kwa maana hiyo hela inayoenda Rwanda inaweza stretch far quickly na mafanikio yakaonekana haraka tofauti na Tanzania kwenye population kubwa, size kubwa na changamoto kubwa including having enough man power to police the policies (ndio maana leo unaona watanzania wana waamsha viongozi wao huku chini wahusika wana haribu sera) our challenges are more than tutsi's vs hutu living in areas not the size of Dar-Es-Salaam, sort your problems they affect us with wakimbizi, wahamiaji haramu etc.
Mtemi milambo alifanya hilo kosa, mmoja wa wake zake wadogo, alikuwa mtusi. Ukienda tabora leo, kuna sehemu wamejaa inaitwa utusuni. Jamaa noma hao. Wanawake zao wazuri ila vimeo. Kuoa uoe wewr, mimba watie watusi wenzao. So kweli kweli
ukubwa wa nchi siyo excuse ya umaskini wetu, THINK!
Why shouldn't i give him his credits, he makes sense some tutsi's (not all), will always be part of the problem in Rwanda's politics. Tanzanians tend to champion integration as part of lasting solution, no wonder PK thinks by displaying a million skulls of so the called tutsi's will lead to sympathy and legitimize his lifetime plan on the presidential seat. Worst he has people penetrating other societies and posing as native to defend his stupidity.
Sasa we subiri 'operation kimbunga' uzuri wake tuna utaratibu wakuzikana vijijini makaburi yanaenda mbali sana i hope kwenu unakujua. Some tutsi's are a calamity to the future of the EAC block for those us who have good intentions on integration of the block including free movement of people.
Ni watu kama PK wenye kuwalisha ujinga wa ujanja ujanja mkajiona waelevu kumbe wajinga tu, nyie ndio mnazuia speed ya muungano wenye nia njema within the block, jamaa yenu inabidi aondoke tusonge mbele na safari ya ukweli, see ya in Jukwaa la siasa with ya majanga id ukiwa unachochea kuvunjika kwa muungano wa Tz, ill be there to defend that too.
Kweli kabisa but it requires much more effort, capital, human development and all to do with propelling growth/development of a nation compared to the size of Rwanda.ukubwa wa nchi siyo excuse ya umaskini wetu, THINK!
OK, let me reflect on this first (si unajua kuna style za kujiongelesha humu ndani)I agree u sister.We will defend our lovely country by any means from any external threats.We cant have federation some of our fellow they dont have demecracy especially in free and fair election,transfer of power.We Tanzanians let us stick in SADC where there is democracy.Imagine Kaguta takes a presidency of federation will he accept to transfer of power to another person also Kagame takes the presidency will his oppenents be free from execution.
Na kwa kuongezea tu ndugu yangu. Watutsi wenyewe waliofiwa walihesabu ndugu zao waliokufa wakapata idadi isiyozidi laki nne! lakini wahutu hawaruhusiwi kuhesabu ndugu zao waliokufa! Ni kosa kisheria kusema wahutu nao walikufa linaitwa genocide denying/revisionism.... Halafu hapo hapo statistics zinasema wamekufa watu kuanzia laki 8 hadi millioni!
Kweli kabisa but it requires much more effort, capital, human development and all to do with propelling growth/development of a nation compared to the size of Rwanda.
Hawa jirani zetu wana uzalendo wa hali ya juu sana. yaani mtu kazaliwa na kukulia ugenini lakini anapakumbuka kwao na anenda kuitumikia nchi yake!
How big is the sahara na kuna nini? Nadhani hoja yako inataka thread nyingine. Swala hapa lilikuwa ni kama kufananisha wafanyakazi wawili wenye kipato sawa; mmoja ana majukumu wa watoto wawili na mwegine watoto kumi. Kitakachotokea mwenye watoto wawili anaweza wa descipline na kumonitor watoto wake kirahisi na hela yake inaweza wanufaisha watoto haraka zaidi, kuliko mwenye watoto wengi.Natofautiana na wewe, kadri eneo linavokuwa kubwa ndiyo na raslimali zinaongezeka, wewe unadhani ni kwa nini mataifa mengi yameamua kuunganisha nguvu na kutengeneza dola kubwa zaidi, US, USSR, UK, CHINA
Hii ni official report ya UN on their role in the Genocide against Tutsi, for those interested just cut and paste the below link into your blowser:
http://www.securitycouncilreport.org/atf/cf/{65BFCF9B-6D27-4E9C-8CD3-CF6E4FF96FF9}/POC S19991257.pdf
I hope Jmali utakubali atleast the introduction manake hii haijaandikwa na Newtimes:
I think its is the time for you (jMali) to point out what you think should be done, toa solution for what you think is the problem:
On the other side kubali kwamba Title ya thread yako inaonyesha hatred kwa wa Tutsi in general; unge mention only names labda watu wangekuelewa lakini when you generalize we have to think twice about your motive:
How big is the sahara na kuna nini? Nadhani hoja yako inataka thread nyingine. Swala hapa lilikuwa ni kama kufananisha wafanyakazi wawili wenye kipato sawa; mmoja ana majukumu wa watoto wawili na mwegine watoto kumi. Kitakachotokea mwenye watoto wawili anaweza wa descipline na kumonitor watoto wake kirahisi na hela yake inaweza wanufaisha watoto haraka zaidi, kuliko mwenye watoto wengi.
Sasa ukitaka kuzungumzia kwanini sisi tuko nyuma na Rwanda it is another topic, yenye mambo mengi mfano utayari wa jamii, miundombinu, capital investment, siasa, sheria na meengi. Ukubwa wa eneo unaambatana na ukubwa wa task, maana changamoto zinazidi, demands zinazidi/tofautiana, social policies get complicated (allocation wise).
The first steps of building a nation such as preparing the infrastructure and preparing people is very expensive, vilevile huwezi kuwekeza heavily on those sector kama unawatu 45 million whereby 80% are considered poor inabidi huwawezeshe na hao hili waweze kupata mlo, bado unachangamoto hela utatolea wapi za kuwekeza sehemu zingine muhimu, walipa kodi wachache, it is not an easy asking.
Ianzishie topic yake kama unataka, lakini ka-rwanda ni kadogo mno kanaweza fanikisha mengi haraka kutokana na size yake.
good idea.Anyway tuachane na hiyo topic Mkuu.
Typical Tanzanian excuses, hasa linapokuja suala la Rwanda kuendelea! Hakuna nchi ndogo kuliko Rwanda zinazosota miaka nenda miaka rudi? Watanzania hatujaamua kuendelea, viongozi wetu hawajataka kufanya kazi kutuendeleza, Rasilimali zilizopo karibia kila mkoa zikitumika ipasavyo nchi yetu INAENDELEA haraka mno, its just insane kutetea umaskini wa nchi yetu, hatuna excuse hata JK analijua hilo (rejea kauli yake: "hata mimi sijui kwa nini Tanzania ni maskini"), Amini nakwambia leo hii ukiswap China na Tanzania ( wachina waje bongo na wabongo waende china) haitachukua miaka 10 ile nchi tutaichakaza na tutatarejea umaskini kisha tutaanza kumezea mate Bongo yetu. Anyway tuachane na hiyo topic Mkuu.
Ndio hasa mjadala wa thread hii. mtutsi wa dizaini hii akiwa raisi wetu itakuwaje? atakuwa raisi wetu sisi au raisi kivuli wa Rwanda? Na hawa watu wako nchi zote za EAC, ikitokea tukawa na marais wa Kenya, Uganda, Tanzania, Burundi wenye asili ya kitutsi....si ndio Hima empire hii?
Aitakuwa vibaya lakini utamuhitaji Mchambuzi na kundi lake hili uitendee haki wale jamaa wanaweza kuandika habari kwa urefu na kuweka stats zinazoweza tumika kwenye mjadala.Mnaonaje tukianzisha thread kuhusu nini kifanyike bongo, kwa sababu ukweli ni kuwa tuna matatizo somewhere. Hatutakiwi kuwa hivi tulivyo! ndugu Happy Feet, ni kweli kwa kiasi kikubwa spidi ya Rwanda inachangiwa na udogo wake, lakini kuna vitu kama national airline yetu (ATCL) imetushinda, lakini Rwanda wameweza. Kwa saizi ya Ukubwa wa bongo compared to Rwanda, si tungetakiwa tuwe na Rwandair kama 3 hivi? au sio. Hatuna hata moja hii ni aibu. mnaonaje tukianzisha thread hii?
Lol,acha kujitia aibu,unajifanya everything expert kumbe hata 101 economics ni zero,and this kagame ,tutsi or rwanda blaming,accusations,lies and all these conspiracies haziwasaidii kitu tafuteni hobby kama Hamna cha kufanya,angalia jf international first page is full of topics bashing kagame or tutsi,seems kuna some obsession or mental issues going on for some of yo.Uwaga mnafurahisha sana jinsi mnavyo msifia Kagame na maendeleo yenu (to some extent he deserves some of the accolades but realistically). Ukweli wenyewe ni kwamba Rwanda ni size ya mkoa mmoja mdogo sana ndani ya Tanzania na imekuwa ikipokea misaada sawa na nchi za Afrika from western doners if not more compared to many states.
Kwa maana hiyo hela inayoenda Rwanda inaweza stretch far quickly na mafanikio yakaonekana haraka tofauti na Tanzania kwenye population kubwa, size kubwa na changamoto kubwa including having enough man power to police the policies (ndio maana leo unaona watanzania wana waamsha viongozi wao huku chini wahusika wana haribu sera) our challenges are more than tutsi's vs hutu living in areas not the size of Dar-Es-Salaam, sort your problems they affect us with wakimbizi, wahamiaji haramu etc.
Hawa jirani zetu wana uzalendo wa hali ya juu sana. yaani mtu kazaliwa na kukulia ugenini lakini anapakumbuka kwao na anenda kuitumikia nchi yake!