Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

hata tz mwaka jana km mwez wa nane kuna colonel wa jesh alikua anaitwa selomba alikuja kushtukiwa kuwa ni mnyarwanda wakamkamata lakini akaja akatoroka.."
 
hata tz mwaka jana km mwez wa nane kuna colonel wa jesh alikua anaitwa selomba alikuja kushtukiwa kuwa ni mnyarwanda wakamkamata lakini akaja akatoroka.."
For this thinking and the whole topic is just tragedy, thanks to people like jmali ...but there's still hope and people will wake up and see the obvious.
 
Huu mjadala haufai tena umejaa chuki na ukabila..kitu kimoja watu waelewe makabila mengi ya mipakani yanaingiliana na ni wamoja sema mipaka ya wakoloni imewagawanya..ikumbukwe pia Rwanda na Burundi na Tanganyika zilikua nchi moja chini ya wajerumani ikiitwa Deutch Ostafrica na hio mipaka imekuja after WW2,tupunguze chuki na jazba sisi wote ni waafrika na afrika ni moja...nimeongea hivi ni baada ya ya kuona chuki dhidi ya watutsi zimezidi mpaka as if wao sio watu na hawana haki na nchi yao,..kuweka picha ya mtu hapa its not fair!!!
 
Haikuhusu! Hii ni forum ya watanzania. Nenda kaongelee kwenye forums za kwenu rwanda (kama mnazo maana no free of speech allowed by the tyrant kagame). Tuacheni na yetu

Heri ugekuwa unaelewa nani kakupa ushauri huu mwanana usingejibu kwa kiburi!! Mtu makini,mweledi na hasiye kaburu hawezi anzisha thread ambayo yeye binafsi angeweza jisahili na kupata majibu na baadaye ndipo aanze kutafuta maoni ya watu wenye hoja tofauti kuboresha hoja yake.

Swali la kwanza angejiuliza ilikuwa vipi hawa anaowataja ambao wote ni Watutsi wakasambaa ktk nchi zote hizo! Akisha pata jibu akajiuliza ni nani ama tukio gani lilisababisha hawa watu wakatawanyika hivyo! Na baada ya hapo angejiuliza kama ilikua makosa kurudi kwao!

Pengine kumaliza hii hoja yangu ni kwamba GT wa JF tena ktk Jukwaa la Kimataifa baada ya kujiuliza maswali hayo anapaswa aangalie jinsi gani tukio la kishenzi la 1959 ambavyo baada ya miongo kama 3 na nusu limezaa mauaji ya kimbari Rwanda,mauaji makubwa DRC na kudorora kwa amani ktk nchi za Maziwa Makuu!

Na baada ya hapo GT wa JF atoe maoni jinsi gani nchi yetu,afrika na dunia tunaweza epuka na machafuko ya aina hii! Kujadili watu ama jamii fulani kwa chuki zako binafsi hakuwezi saidia jamii yetu kurekebisha makosa ya aina hii!
 
Huu mjadala haufai tena umejaa chuki na ukabila..kitu kimoja watu waelewe makabila mengi ya mipakani yanaingiliana na ni wamoja sema mipaka ya wakoloni imewagawanya..ikumbukwe pia Rwanda na Burundi na Tanganyika zilikua nchi moja chini ya wajerumani ikiitwa Deutch Ostafrica na hio mipaka imekuja after WW2,tupunguze chuki na jazba sisi wote ni waafrika na afrika ni moja...nimeongea hivi ni baada ya ya kuona chuki dhidi ya watutsi zimezidi mpaka as if wao sio watu na hawana haki na nchi yao,..kuweka picha ya mtu hapa its not fair!!!

mkuu ndiyo maana nimemwuliza mwanzisha hoja kama kweli ni Mtanzania mwenzetu. Lakini nawapa ushauri wa bure Mods wa JF kuangalia kwa makini threads za chuki za aina hii. Nimefanya kazi kwa muda mfupi UN-ICTR,nilikuepo wakati wa ruling ya Media trial ya Jean Bosco Barayagwiza na Hassan Ngeze wamiliki/mhariri wa Kangura na RTLM najua nini nazungumza! Siku uchochezi huu unaoendelea hapa ndani ukizaa matunda msije shangaa mnapelekwa the Hague!
 
So JMarie unataka kusema kuwa Interahamwe ilikuwa group iliyoundwa na Mtutsi (Kajuga, manake i can see this is what you think is the strong argument to support your ideology):Una maana Watutsi waliuana wenyewe kwa wenyewe sio?Kwani Interahamwe lilikuwa kundi gani na lanani hasa ...Interahamwe lilikuwa kundi la wanamgambo wa MRND chama cha kisiasa cha Habyarimana, walipewa mafunzo na silaha kutoka kwa serikali na sio Kajuga:Kajuga alikuwa Interahamwe as a Hutu manake ID yake ilikuwa na Hutu sio Tutsi, ali ficha true ID:Kwenye road blocks ulikuwa unaulizwa kuonyesha ID wakikuta kumeandikwa Tutsi unauawa, kukiwa kumeandikwa Hutu unaendelea:My main concern ni wewe kujaribu kueneza hatred against Tutsi na kutaka kumfanya mTutsi kujisikia guilty popote alipo:Yaani, maovu yaliyofanywa na wahutu NOTE🙁sio wote) yasahaulike, na attention iwe kwa wale waliouliwa:Imagine eti Uraia wa waTutsi..so what???:kwa mantiki yako it is as if hawa niviumbe waliotoka sijui wapi yaani hawana nchi, na hawatakiwi kushika nyadhifa zozote kwenye society just because they are minority, hata huo uminority sijui una statistics umefanya..For you mTutsi hata kama ana uwezo hafai kupewa nafasi kwenye jamii ehh!!hiyo ndio Genocide ideology tunayoiongerea..

1. Kwanza tuheshimiane, tatizo lenu nyinyi watu mna matusi kibao halafu mnajidai waungwana, ID yangu ni jMali, vinginevyo ukitaka kuniita jean marie ongezea Runiga mwisho! Mbona wewe sikuiti cymoro?

2. Swala la watutsi kuua watutsi sio maneno yangu ni ukweli mtupu (FACTS). kwani huyu kajuga amefungwa kwa sababu gani tofauti na ushiriki wake katika genocide against his own? serikali yenyewe imeshindwa kumlinda because what he did was clear to everybody.
Nyinyi mnasema interahamwe was purely a hutu extremist group. Lakini fact ni kwamba si tu iliongozwa bali hata waanzilishi wake na wafadhili walikuwa watutsi. Kitu ambacho kinavunja vunja maelezo yenu. Ukweli ni kama ulivyoeleza kuwa interahamwe halikuanzishwa kwa minajili ya kuua watutsi, lilikuwa kundi la kisiasa zaidi, lakini baada ya kutunguliwa ndege likabadili muelekeo. Ndio maana ndani yake kuna watutsi pia, ndani ya MRND kulikuwa na watutsi pia. Jambo hili hamtaki kukubali. Nyinyi mnataka kudai kuwa kulikuwa na mgawanyiko ili kusupport invasion ya kagame.

3. Kuhusu thread ya uraia wa watutsi. Nimeonyesha kwa mifano hai juu ya utata wa uraia wao. Kila mtu anaweza kuona wazi hatari ya utata huu. Sioni kivipi unanilaumu, kwani mimi nimelenga watutsi wote, au hao niliowataja? Inawezekanaje mtu afikie ngazi ya kuwa amiri jeshi mkuu msaidizi wa nchi moja halafu aende kuwa waziri nchi nyingine? Mtu awe mwanajeshi wa nchi moja halafu aende kuwa rais nchi nyingine. Hivi jeshi letu sisi likijaa watutsi tutakuwa salama tutakapochokozwa na Rwanda? Tazama jeshi la Museveni NRM robo nzima (1/4) ilikuwa ni watutsi ambao leo ndio serikali ya Rwanda. Wewe kama huoni hatari wapo watu walio-like thread wanajua.
Hiyo concern yako ya kuona kuwa mimi naeneza chuki inatoka wapi? i've simply pointed out few tutsis not the entire tribe (kama ningefanya hivyo nahisi thread ingefutwa na mods). Inakuwaje kusema watutsi wachache kuwe ni vita dhidi ya watutsi wote? Tatizo lenu nyinyi mna inferiority/superiority complex, akisemwa mmoja basi mnaona mmesemwa wote.
 
Last edited by a moderator:
Heri ugekuwa unaelewa nani kakupa ushauri huu mwanana usingejibu kwa kiburi!! Mtu makini,mweledi na hasiye kaburu hawezi anzisha thread ambayo yeye binafsi angeweza jisahili na kupata majibu na baadaye ndipo aanze kutafuta maoni ya watu wenye hoja tofauti kuboresha hoja yake.

Swali la kwanza angejiuliza ilikuwa vipi hawa anaowataja ambao wote ni Watutsi wakasambaa ktk nchi zote hizo! Akisha pata jibu akajiuliza ni nani ama tukio gani lilisababisha hawa watu wakatawanyika hivyo! Na baada ya hapo angejiuliza kama ilikua makosa kurudi kwao!

Pengine kumaliza hii hoja yangu ni kwamba GT wa JF tena ktk Jukwaa la Kimataifa baada ya kujiuliza maswali hayo anapaswa aangalie jinsi gani tukio la kishenzi la 1959 ambavyo baada ya miongo kama 3 na nusu limezaa mauaji ya kimbari Rwanda,mauaji makubwa DRC na kudorora kwa amani ktk nchi za Maziwa Makuu!

Na baada ya hapo GT wa JF atoe maoni jinsi gani nchi yetu,afrika na dunia tunaweza epuka na machafuko ya aina hii! Kujadili watu ama jamii fulani kwa chuki zako binafsi hakuwezi saidia jamii yetu kurekebisha makosa ya aina hii!

wewe ungemsaidia au ungetusaidia kujibu haya maswali yako!
 
Huu mjadala haufai tena umejaa chuki na ukabila..kitu kimoja watu waelewe makabila mengi ya mipakani yanaingiliana na ni wamoja sema mipaka ya wakoloni imewagawanya..ikumbukwe pia Rwanda na Burundi na Tanganyika zilikua nchi moja chini ya wajerumani ikiitwa Deutch Ostafrica na hio mipaka imekuja after WW2,tupunguze chuki na jazba sisi wote ni waafrika na afrika ni moja...nimeongea hivi ni baada ya ya kuona chuki dhidi ya watutsi zimezidi mpaka as if wao sio watu na hawana haki na nchi yao,..kuweka picha ya mtu hapa its not fair!!!

mkuu ndiyo maana nimemwuliza mwanzisha hoja kama kweli ni Mtanzania mwenzetu. Lakini nawapa ushauri wa bure Mods wa JF kuangalia kwa makini threads za chuki za aina hii. Nimefanya kazi kwa muda mfupi UN-ICTR,nilikuepo wakati wa ruling ya Media trial ya Jean Bosco Barayagwiza na Hassan Ngeze wamiliki/mhariri wa Kangura na RTLM najua nini nazungumza! Siku uchochezi huu unaoendelea hapa ndani ukizaa matunda msije shangaa mnapelekwa the Hague!

mjadala ulioanzisha lengo hasa ni kitu gani.?
nahisi untumia multiple ID kujijibu na kusambasa siasa za chuki.kabla ya 1940 watusi,wahutu,watwa walikuwa sehemu ya utawala wa ujerumani, na kabla ya hapo kulikuwa na tawala za kiafrika kabla ya Scramble for Africa amabapo mipaka ilichorwa kuigawa africa bila kuzingatia watu waliomo katka sehemu husika.
hoja zako zimepitwa sana na wakati hasa ktk karne hii.
Je unatambua ukiwa na dola laki 5 unapata ukazi marekani na muda mfupi unakuwa raia wa marekani,
Je unatambua ukiwa na euro laki 2 unapata urai nchi ya europe?
usipoteze resources kutandaza chuki ktk mtandao kwa kigezo cha uraia,
Nyerere alitumia muda mwingi kujenga umoja wa africa bila kuzingatia kabila wala udini,ndio maana sasa unaweza kukaa mbele ya pc/ laptop ukasambaza uchuki na ukabila ktk mtandao bila woga,jenga urithi wa amani na utawala bora tanzania na Africa

Operesheni kimbunga ni operesheni yetu wenyewe wa Tanzania, ninalaumiwaje kwa kuipongeza? Wanaoshitakiwa the hague leo (bosco ntaganda) kwa kufanya uhalifu congo kama mkongo, walipigana vita vya kupindua serikali halali ya Rwanda mwaka 94 kama mnyarwanda. Nyie hamuoni hatari hii?

Ndugu, naomba mrudie tena kusoma hii thread yangu halafu mnionyeshe kwa kupoint exactly concerns zenu zipo wapi, sioni chuki yoyote hapa. Nimetoa facts tupu ambazo hazipingiki. Nairuida tena hapa chini ili msipate shida. Tafadhali point mahali sema tatizo, tusijadili jumla jumla karibuni.

1. Patrick karegeya: kazaliwa uganda kakulia uganda, kasoma digrii makerere, kaingia jeshini uganda hadi cheo cha luteni. Mpaka hapo ungemuuliza uraia si angedai yeye Mganda halisi kabisa huyu? wait for it; baada ya kagame kupindua serikali halali ya Rwanda, ghafla this guy akawa HEAD OF EXTERNAL INTELLIGENCE katika jeshi la ulinzi la Rwanda!

2. James kabarebe: kazaliwa rutshuru congo, kasoma makerere, kawa Chief of military Congo, alipofukuzwa kazi kakimbilia Rwanda, huko akazawadiwa cheo cha chief of staff jeshi la Rwanda!

3. Bosco Ntaganda: kazaliwa Rwanda, kapigana vita vya 94 akiwa na Kagame kupindua serikali ya Habyarimana, huyu si mRwanda kabisa huyu? wait for it; sasa hivi anajibu mashtaka Hague, akidai yeye ni Mcongo kabisaaaaaaaaaaaa! lakini hazungumzi kifaransa, lingala wala lugha yoyote native in congo, bali kinyarwanda tu!

4. Laurent Nkundabatware: huyu naye supposedly ni Mcongo, lakini haieleweki ilikuwaje akajoin jeshi la kagame RPF mwaka 94. baada ya kufanya makosa ya kihalifu sasa anahifadhiwa RWANDA kama "special guest". Kwa nini Rwanda inamhifadhi mhalifu wa kivita anayetakiwa nchi nyingine bila sababu, hakuna anayejua.

5. baba lao Paul Kagame mwenyewe kakulia Uganda toka ana miaka 3 naona hata kuongea alijifunzia Uganda, kawa askari wa Uganda na hata hapa Bongo alikuja kutrain akiwa kama mganda, leo hii....Rais wa Rwanda.

Aliyebuni operesheni kimbunga anastahili pongezi sana.
 
Heri ugekuwa unaelewa nani kakupa ushauri huu mwanana usingejibu kwa kiburi!! Mtu makini,mweledi na hasiye kaburu hawezi anzisha thread ambayo yeye binafsi angeweza jisahili na kupata majibu na baadaye ndipo aanze kutafuta maoni ya watu wenye hoja tofauti kuboresha hoja yake.

Swali la kwanza angejiuliza ilikuwa vipi hawa anaowataja ambao wote ni Watutsi wakasambaa ktk nchi zote hizo! Akisha pata jibu akajiuliza ni nani ama tukio gani lilisababisha hawa watu wakatawanyika hivyo! Na baada ya hapo angejiuliza kama ilikua makosa kurudi kwao!

Pengine kumaliza hii hoja yangu ni kwamba GT wa JF tena ktk Jukwaa la Kimataifa baada ya kujiuliza maswali hayo anapaswa aangalie jinsi gani tukio la kishenzi la 1959 ambavyo baada ya miongo kama 3 na nusu limezaa mauaji ya kimbari Rwanda,mauaji makubwa DRC na kudorora kwa amani ktk nchi za Maziwa Makuu!

Na baada ya hapo GT wa JF atoe maoni jinsi gani nchi yetu,afrika na dunia tunaweza epuka na machafuko ya aina hii! Kujadili watu ama jamii fulani kwa chuki zako binafsi hakuwezi saidia jamii yetu kurekebisha makosa ya aina hii!

By the way, I don't think I need to know who you are. However, I can easily identify you from yr comments. Mlisema mta hit our President, mlizani hili lingewafurahisha WaTanzania? It is you who caused all these you call hatred against tutsis. Na hilo pia limewafanya waTZ wengi kutaka kujua hasa hawa watutsi ni watu wa aina gani coz you are causing havoc everywhere! Sijaona ushauri mwanana ulioutoa. Na sababu za nyie "kusambaa" kila mahali tunazijua.
 
80% white inaongozwa na Obama(10% black)...kama wewe sio chizi lazima uwe mwehu.

Obama was elected democratically. He was not a military chief of a neighbouring country, he did not form an armed group of black people (minorities in america) which attacked America for four years killings scores of white people, and then over-turn the government of America and make himself president! And even now, running against Obama does not lead to you getting shot, or assassinated! You are comparing apples and oranges (as usual).
By the way mmemaliza ile 'home-work' yenu ya kuangalia atachakachuaje katiba ili aendelee kuwa rais post 2017?
 
1. Kwanza tuheshimiane, tatizo lenu nyinyi watu mna matusi kibao halafu mnajidai waungwana, ID yangu ni jMali, vinginevyo ukitaka kuniita jean marie ongezea Runiga mwisho! Mbona wewe sikuiti cymoro?

2. Swala la watutsi kuua watutsi sio maneno yangu ni ukweli mtupu (FACTS). kwani huyu kajuga amefungwa kwa sababu gani tofauti na ushiriki wake katika genocide against his own? serikali yenyewe imeshindwa kumlinda because what he did was clear to everybody.
Nyinyi mnasema interahamwe was purely a hutu extremist group. Lakini fact ni kwamba si tu iliongozwa bali hata waanzilishi wake na wafadhili walikuwa watutsi. Kitu ambacho kinavunja vunja maelezo yenu. Ukweli ni kama ulivyoeleza kuwa interahamwe halikuanzishwa kwa minajili ya kuua watutsi, lilikuwa kundi la kisiasa zaidi, lakini baada ya kutunguliwa ndege likabadili muelekeo. Ndio maana ndani yake kuna watutsi pia, ndani ya MRND kulikuwa na watutsi pia. Jambo hili hamtaki kukubali. Nyinyi mnataka kudai kuwa kulikuwa na mgawanyiko ili kusupport invasion ya kagame.

3. Kuhusu thread ya uraia wa watutsi. Nimeonyesha kwa mifano hai juu ya utata wa uraia wao. Kila mtu anaweza kuona wazi hatari ya utata huu. Sioni kivipi unanilaumu, kwani mimi nimelenga watutsi wote, au hao niliowataja? Inawezekanaje mtu afikie ngazi ya kuwa amiri jeshi mkuu msaidizi wa nchi moja halafu aende kuwa waziri nchi nyingine? Mtu awe mwanajeshi wa nchi moja halafu aende kuwa rais nchi nyingine. Hivi jeshi letu sisi likijaa watutsi tutakuwa salama tutakapochokozwa na Rwanda? Tazama jeshi la Museveni NRM robo nzima (1/4) ilikuwa ni watutsi ambao leo ndio serikali ya Rwanda. Wewe kama huoni hatari wapo watu walio-like thread wanajua.
Hiyo concern yako ya kuona kuwa mimi naeneza chuki inatoka wapi? i've simply pointed out few tutsis not the entire tribe (kama ningefanya hivyo nahisi thread ingefutwa na mods). Inakuwaje kusema watutsi wachache kuwe ni vita dhidi ya watutsi wote? Tatizo lenu nyinyi mna inferiority/superiority complex, akisemwa mmoja basi mnaona mmesemwa wote.

Jmali, wanasema unaeneza chuki kwa sababu you have done yr homework thoroughly to come up with a plain truth! Dont expect that any extremist tutsi would love this! Hawapendi kuambiwa ukweli coz wanaona kila mtu ni mjinga hajui upumbavu wao wa conspiracy ya kuanzisha tutsi empire! So just keep on unveiling this truth. I wish a book could be published for all Tanzanians to know indepth about these people. This will help all peace lovers to watch them closely with a third eye. Wish Mtikila's waraka could be edited and circulated for public consumption. The problem with mtikila's waraka is to insult our esteemed Baba wa Taifa and other Government Officials. We love Tanzania, we love our President and our Government and we will always stand for it! Long live HE JM Kikwete.
 
Last edited by a moderator:
Obama was elected democratically. He was not a military chief of a neighbouring country, he did not form an armed group of black people (minorities in america) which attacked America for four years killings scores of white people, and then over-turn the government of America and make himself president! And even now, running against Obama does not lead to you getting shot, or assassinated! You are comparing apples and oranges (as usual).
By the way mmemaliza ile 'home-work' yenu ya kuangalia atachakachuaje katiba ili aendelee kuwa rais post 2017?
Tunajua almost all of Rwanda genocide architects wanatumikia life sentences in Mali prisons,hilo jina lako vipi?
 
The good thing nikwamba wengi tunakubaliana kwamba hii thread haina maana, na muanzilishi ana spread hatred!
I have big respect kwa jamaa mmoja mchangiaji aliyewahi kufanyia kazi UN-ICTR najua alisikia mengi and he knows more than many of us:
Baadhi ya comments hazisaidii jamii lolote..
Comments like..Watutsi waliuwa wa Tutsi wenzao
...................Utata wa Uraia wa WaTutsi etc sometimes inakuwa vigumu kuendelea kujadiriana na mtu mwenye mawazo kama hayo:
naona bora thread isimamishwe tuu..
 
Mkuu hii thread ni nzuri, inafundisha mengi sana. Unajua mpaka leo bado akili za uuaji na chuki zimo akili mwa watu, ni vizuri kujua ujinga huu unatoka wapi. I really can not understant mtu anasifia kumchukia mtusi kwa kuwa ana appearance fulani au eti kwa kuwa watusi malaya, sijui kama sifa hii ni ya kabila au ya mtu, tuna malaya wengi tu hapa Tanzania hata siku moja haijawahi kuwa sababu ya kuwaua? KIbaya zaidi ni kuwa wengine wanakuja na ideas za kuwaua wahutu, i see it as same interhamwe thinking. Sasa unashindwa kujua kama tatizo ni mhutu, interhamwe, mtutsi au tatizo ni MUUAJI. I do not see the difference between muuaji mhutu na muuaji mtutsi, muuaji ni muuaji tu. Baadhi ya members wanafikia kutoa lugha za matusi baada ya kutoa hoja, ku-counter hoja, this ia a bit strange.

Issue ya jambo zima hapa ni ignorance na hate, pamoja na kuwa watu wanamtukana pia muanzisha uzi, na wengine wanatukana wachangiaji, sidhani kama hiyo itaondoa ignorance na hate.

In the end this is the beauty of JF.
 
Nimerudi mkuu na this time with a lot of research,tujadili:

QUOTE 1:

Genocide zinazokubalika bila kupingwa mfano ya wanazi vs wayahudi zilitokana na chuki tu (ukabila, dini n.k kama ulivyosema), hakukuwa na jeshi la wayahudi popote pale lililokuwa linashambulia serikali ya hitler kijeshi kwa miaka minne likiua raia wasio na hatia kama ilivyo Rwanda.
Sijakataa wahutu wachache kuua watutsi kwa sababu tu ni watutsi kama hao watoto wachanga lakini hiyo ilikuwa ni sehemu ndogo ya vita kubwa ya kikabila ambayo Kagame anataka kutusahaulisha na si a stand alone genocide. Bila vita hivi vikubwa mauaji haya madogo madogo yasingetokea. Kucategorise mauaji haya kuwa genocide ni sawa sawa na kudai vita vya walyanchali na walyanchoka kule Mara (sina uhakika na spelling) nayo ni genocide, mauaji ya wakulima na wafugaji morogoro nayo genocide simply tu kwa sababu ni kabila mbili zinapigana .....sijui Tanzania peke yake tungekuwa na mahakama za genocide ngapi. wachilia mbali mauaji ya chaguzi za kenya,
mauaji ya sasa ya kikabila southern sudan etc. Kama ambavyo mifano hii haikidhi status ya genocide ndivyo hivyo hivyo mauaji ya Rwanda 94 hayakidhi kuitwa genocide. Lakini hata hivyo nakaribisha mjadala katika hili kwa sababu mpaka sasa hakuna makubaliano katika tafsiri ya genocide worldwide.

ARGUMENT 1:

Tukianza kwenye red ya kwanza hiyo ndio genocide yenyewe,rejea definition ya genocide niliyokupa na ulikubaliana nayo kwasababu kuna sehemu umeitumia kama ilivyo kujenga hoja zako.
Kwenye red ya pili,mauaji yaliyogusa kati ya watu laki 5 na milioni 1 unayaita madogomadogo?hayo makubwa yaliyofanywa na RPA yaligusa watu wangapi?

Kwenye bold,napata shaka sana na uelewa juu ya mambo haya,kufananisha mauaji haya na ya wakulima na wafugaji morogoro au walyanchali na walyanchoka au yeyote kati ya hayo ni upuuzi sana,situation ya rwanda ilikuwa tofauti sana,kulikuwa na makundi manne kama ifuatavyo:
Kundi la kwanza:
Jeshi la serikali likipambana na jeshi la waasi(kundi la pili) huku likiwa linatoa silaha na kuhusika kwa mafunzo kwa kundi la tatu(hutu extremists) na pia likihusika na mauaji ya kundi la nne.
Kundi la pili:
Jeshi la waasi likipata sapoti kutoka Uganda huku likipambana na kundi la kwanza na kundi la tatu.
Kundi la tatu:
Kundi la wahutu wenye msimamo mkali likipokea msaada wa silaha kutoka kundi la kwanza na lililenga kuua raia wote watutsi,wahutu na watwa walioshirikiana na watutsi(kundi la nne).
Kundi la nne:
Kundi la raia wasio na hatia wala silaha mikononi mwao,kundi hili lilikuwa linahangaika kujificha tu,halikuwa kwenye mapambano na kundi lolote kati ya hayo.Kundi hili liliwindwa na kundi la kwanza na kundi la tatu.Na tunapozungumzia genocide tunalilenga kundi hili tu na sio kundi lolote kati ya hayo mengine.

Sasa hayo mauaji unaweza yafananisha na ya wakulima na wafugaji wa moro?Na hata hivyo source zote za kuaminika na uchunguzi uliofanywa na UN baada ya mauaji umekiri kulikuwepo na genocide Rwanda 1994.

QUOTE 2:

sina ushabiki
na kundi lolote. Msimamo wangu binafsi ni kuwa yoyote aliyehusika kufanya uhalifu wowote ule afikishwe mbele ya sheria. simple as that. Tatizo langu mimi ni case kama za FDLR ambao ni wanajeshi wa serikali halali ya Rwanda waliopinduliwa, hawa wanashitakiwa kwa lipi?kudefend nchi kwa mujibu wa katiba? What about Kagame na jeshi lake waliokuwa wanavamia Rwanda kwa miaka minne, mbona wao hawashtakiwi? je hawakuua watu (ambao 99% ni wahutu by the way)? Ndio maana wenye akili wote kama Kikwete tunaona njia sahihi ni mazungumzo. Watu wote washitakiwe kulingana na makosa yao.

ARGUMENT 2:

Hapo kwenye ushabiki sina shaka na hilo,mfano angalia unavyowasafisha FDLR hapo kwenye maelezo ya mbele,unajua kuwa 90% ya watu wa kundi hili hasa viongozi wanatajwa kuhusika na mauaji hayo?FDLR watashtakiwa kwa kuhusika kwao na mauaji hayo.
Unataka kusema walipokuwa wanaua wananchi wasio na hatia makanisani,mashuleni na barabarani kwa kuweka road blocks na kukagua ID au kuangalia kama wana-appear kwenye list ya wanaotakiwa kuuawa, ikiwemo vitoto vichanga walikuwa wanadefend nchi yao?Kipi kinakufanya uamini hawa walikuwa wanajeshi halali?Unafahamu kama na wenyewe waliingia madarakani kwa mtindo huohuo waliotolewa?Na kama ni halali kwanini walihusika na mauaji ya raia wasio na hatia badala ya kuwalinda.
Kagame na jeshi lake watashtakiwa kwa war crimes kama itabainika walifazifanya katika mchakato wao wa mapigano,Nikubaliane na wewe kuwa rwanda needs reconcillation lakini hiyo iendane na bold ya mwisho uliyoweka,kila mtu ashtakiwe kwa makosa aliyofanya.

Nakukumbusha tena tunapoongelea mauaji ya kimbari tunamaanisha kundi la nne,rejea ulitizame upya.

QUOTE 3:

kwa observation yako mwenyewe: paul rusesabagina ni mhutu lakini neutral kwa ukabila, kawasave watutsi (wajomba zake na wakwewe), lakini upande wa pilimtutsi pure Robert Kajuga kaongoza kundi la interahamwe kuchinja watutsi wenzie, hujiulizi how come? Maana kama mhutu anamlinda mtutsi, lakini mtutsi anaongoza wahutu kuua watutsi hapo hakuna genocide kuna conspiracy to frame the hutus. Hebu fikiria inavyosikitisha inawezekana baadhi ya watutsi waliolindwa na rusesabagina walikuwa wanakimbia kundi la interahamwe likiongozwa na mtutsi mwenzao aliyebeba ID ya kihutu!

ARGUMENT 3:

Kwenye bold zote ulilenga kutuaminisha kitu kimoja tu,kuwa watutsi waliuua watutsi wenzao kupitia interahamwe na wahutu waliokoa watutsi wasiuawe na watutsi wenzao baasiii,umetumia wahusika wawili tu kuthibisha hilo Rusesabagina na Kajuga.
Kwanza kabisa sio wahutu wote waliohusika na huu ushetani wa kuua raia wasio na hatia,si sahihi kabisa kuhukumu jamii nzima kwa kutumia kundi la watu,wahutu waliohusika sio aina ya rusesabagina ambao walikuwa na damu,uhusiano na mtizamo wa kawaida kwa watutsi,wahutu waliohusika ni wale extremists tu.
Tukirudi kwa Kajuga huyu alikuwa rais wa interahamwe lakini sio muanzilishi wa kundi,duru huru zinamtaja Theoneste Bagosora(hutu extremist aliyeplay part kubwa sana ya mauaji haya lkn nashangaa hujawahi muongelea)kama muanzilishi wa kundi hili na kama ni conspiracy basi ilianzia kwa mtu huyu, pia zinamtaja Georges Rutaganda(makamu wa rais wa interahamwe)kama aliyehusika zaidi na mauaji ktk kundi hilo kuliko mtu yeyote,Prosecutor James Stewart alimzungumzia hivi, "Without Georges Rutaganda, the Rwandan genocide would not have functioned the way it did."He was on radio RTLM in Kigali in 1994, encouraging Interahamwe Militia to exterminate all Tutsis.
Halafu natizama list yote ya interahamwe sioni mwingine aina ya Kajuga,kama yupo unaweza leta jina lake hapa?Kama hayupo tambua kuwa si sahihi kuhukumu jamii nzima kupitia mtu moja tena mwenye utata rejea ktk historia yake,halafu nakuuliza swali kwanini alichukua ID ya wahutu wakati yeye ni mtutsi?

Kwenye red,mkuu unakumbuka uliwahi kusema interahamwe lilikuwa kundi la vijana la kisiasa na sio kundi la mauaji?Sasa umekubali kuwa lilikuwa linamalengo zaidi ya siasa?

QUOTE 4:

of course kitu kama interahamwe kilikuwa manipulated kupitia infiltration na mamluki, in such a way kwamba watendaji wanaoonekana walikuwa wahutu, hivyo ni vigumu kung'amua idadi ya watutsi humo , hata wewe mwenyewe si umeona kuwa RAIS wake alikuwa anaji-identify kama mhutu?

Pili, kagame anatumia wenzake kama condom, hivyo kufungwa kwa kajuga kusikufanye kudhani kuwa kagame yuko fair! he does not need him any more ni kama vile alivyowatumia kina Bosco ntaganda, Laurent Nkunda, m23 etc. wakishamaliza uthamani wao basi tena.

ARGUMENT 4:

Kwenye blue nilikuuliza swali rahisi tu,majina ya watutsi waliohukumiwa au wanaotafutwa na ICTR tofauti na Kajuga kwa kuzingatia maelezo yako kuwa wenyewe ndio waliuwa watu kupitia interahamwe na wahutu walihusika kuokoa watutsi wasiuawe na watutsi wenzao(rejea jinsi ulivyowazungumzia Kajuga na Rusesabagina),kama unayo yawasilishe walau hata machache tu,kama huna basi tuendelee kuamini kuwa awapo wengine na ukumbuke kuwa ni karibu miaka 20 sasa tangu mauaji yatokee na kama Kajuga aliweza kujulikana maana yake hata wengine wangejulikana.Au tuamini kuwa yeye pekee ndio alihusika na mauaji ya watu wote? Pia,tusiruhusu sana kutawaliwa na hisia hasa ktk jambo kama hili liliogusa maisha ya watu takribani milioni 1.

Kwenye bold, nakukumbusha tusitawaliwe sana na hisia katika suala hili,come with evidence(kama zipo),kutoka vyanzo huru.

QUOTE 5:

Nchi iliingia kwenye machafuko baada ya ndege ya rais habyarimana kutunguliwa na majeshi ya waasi wa RPA wakiongozwa na kagame. Jeshi lilikuwa bize kupigana na Majeshi ya kagame yakisaidiwa na majeshi ya Uganda. Hawakuweza kuzuia hisia za raia wahutu wachache (baadhi yao wakiwa ndani ya majeshi yenyewe) kulipiza kisasi kwa watutsi at the same time. Narudia tena wachache kumbuka takwimu watutsi walikuwa less than 15%, hivyo hata wakiuawa 2 lazima wataonekana ni wengi tu, katika nchi ambayo zaidi ya 80% ni wahutu.
nani alizuia yasiendelee? well, yaliisha kwa sababu VITA viliisha kagame akiwa mshindi (sadly), hayakuisha kwa sababu kagame aliyazuia. Kagame was fighting Rwanda since 1990, hivyo obviously sababu ya yeye kupindua Rwanda haina uhusiano wowote na kuzuia 'genocide'.

ARGUMENT 5:

Tuanze kwenye green hapo,source zote huru nilizotembelea zinasema hakuna upande uliothibitika kuhusika na mlipuko wa ndege hiyo,kila upande unalaumu upande wa pili,je kwa kusema ndege hiyo ililipuliwa na RPA haikufanyi wewe kuwa wa upande pinzani wa RPA?Lakini ktk utetezi wako moja humu,ulisema RPA walihusika na mauaji yote ya mto kagera kwasababu wao ndio walikuwa wanacontroll eneo lote hilo(bahati mbaya sijaona kitu kana hicho wakati natafuta kwenye mitandao,nategemea utanisaidia kwa hili kwa kunipa source huru na za kuaminika),sasa if it was about who was where,je ufikiri kuwa unawa-clear RPF kwenye hili?Kwasababu ndege ililipuliwa Kigali tena karibu na uwanja wa ndege,na ukumbuke Kigali was under the gvt forces kwa wakati huo.

Kwenye blue wewe ni muongo,unataka kutuaminisha kuwa mlipuko huo uliendana na RPF kuvamia eneo lote la nchi,kitu ambacho uchunguzi wangu umebaini ni tofauti,wacha nikupe mfano moja kwa kutumia eneo la Kigali,ndege ililipuliwa tar 6 April na mauaji yakaanza usiku huohuo tena ktk taarifa ya UN inasema mauaji yalianza ktk muda usiofika nusu saa toka ndege ilipolipuliwa na watu wa kwanza kutajwa kuhusika na mauaji haya ni members of presidential guards, karibu kabisa na mlipuko ulipotokea,hapa ukumbuke kuwa RPA walishaweka silaha chini kupisha mazungumzo ya Arusha na walikuwa sehemu za mipakani na Uganda na kama ni mapigano na serikali basi walikuwa wanapigania huko na sio kigali,na kwa uchunguzi wangu RPA waliingia Kigali mwezi July,hapa ni miezi 3 baada ya mauaji kuanza,sasa serikali Kigali ilifanya nini kuzuia mauaji haya?Na hata hivyo mahakama ilimpata na hatia waziri mkuu wa nchi hiyo wakati wa mauaji Jean Kambanda kwa kuhusika na mauaji hayo na kuhukumiwa kifungo cha maisha.

Na kwenye blue ya pili,sio kweli kuwa ni sehemu ndogo tu ya jeshi ilihusika na mauaji hayo,uchunguzi wangu umebaini ni jeshi zima la rwanda likiongozwa na Theoneste Bagosora lilihusika sio tu kuua,bali kupanga mauaji hayo siku nyingi kabla ikiwemo kuanda list ya watu wote wanaopaswa kuuawa.Kuna ushahidi juu ya hilo,bado naukusanya lakini hata uliopo unatosha kabisa kuwatia hatiani,kama unahuitaji ntauweka hapa.

Fatilia link hii ktk website ya UN utaona baadhi ya hayo niliyoandika :

Rwanda: A Brief History of the Country - Outreach Programme on the Rwanda Genocide and the United Nations

Tukihamia kwenye red ya kwanza,hapo umenisikitisha sana,Do you think the value of life of human being is determined by numbers?hao wachache waliouliwa unaweza kuwarudishia uhai wao?Na hata hao wengi,wala uonyeshi kujali uhai wao uliopotea,mfano hakuna sehemu yoyote unayotoa suggestion ni namna gani mauaji haya yasitokee,wewe unachosisitiza humu ni habari ya wengi na wachache,ni dhahiri kuwa unataka ufahari au huruma ya kufiwa na wengi na sio vinginevyo.Na kama wao walikuwa wachache sana kiasi wakifiwa wawili inaonekana ni wengi sana mbona waliwaenyesha namna hiyo tena kwa miaka 4 na mwisho wakawa washindi?

Lakini wacha tutumie takwimu ulizotoa na ambazo mimi nimezipata sehemu nyingine(huru),hadi kufikia mwaka 1993 Rwanda ilikuwa na watu wanaokadiriwa kufika 8 milioni,ukifanya hesabu hapo kwa 14% unapata watutsi wanaofikia 1,120,000 hivi,na kwa kadirio la mauaji ya watu laki 5 mpaka milioni ni kitu kinachowezekana kabisa,ukuzingatia mauaji haya yalihusisha pia wahutu na watwa walioshirikiana na watutsi kwa mambo ya kijamii kama kuoana.

Kwenye vita kuisha,vp kama ingekuwa vice versa hali ingekuwaje?yaani namaanisha majeshi ya serikali yangeshinda,na tafadhali usifananishe mauaji haya na 1959,ukumbuke kuwa 1959 hakukuwa na list ya watu wanaotakiwa kuchinjwa na hakukuwa na interahamwe na mpasuko miongoni mwa jamii haukuwa kubwa kama 1959.

Na hapo nilipopigia mstari,so umekubali kuwa kulikuwa na genocide?

QUOTE 6:

  1. Baadhi ya raia wa kawaida ambao ni wahutu, wenye hasira kali kulenga watutsi wote bila kujali, kulipiza kisasi cha kutunguliwa ndege ya Rais (mhutu) na kuvamiwa nchi na jeshi la kitutsi la kagame.
  2. Jeshi la RPA likiongozwa na Kagame kulenga wanyarwanda wote lengo likiwa kupindua nchi na kuchukua madaraka ikiwa ni muendelezo wa mashambulizi yao toka mwaka 1990.
  3. Jeshi la nchi ya Rwanda wakati huo (ambao leo hii linaunda sehemu kubwa ya FDLR): kuua askari wa RPA katika mapambano halali ya kulinda nchi ya Rwanda kama wajibu wao kwa mujibu wa katiba. Askari wa Kagame wa RPA ni watutsi, wakati jeshi la nchi liliundwa na majority wahutu.
  4. Kiasi kidogo cha askari wa jeshi la Rwanda ambao wali-commit war crimes against tutsi, idadi yao kubwa ilikuwa inapambana na RPA.

swala la mafuvu milioni moja kama ni watutsi au wahutu lilishawahi kufanyiwa utafiti na takwimu zilipotolewa serikali ya kagame ikazikataa. yenyewe ilidai kuwa wahutu ambao ni missing ndio waliocommit mauaji wakakimbia, lakini watutsi ambao ni missing ndio wameuawa! Matokeo yake there are more hutu missing kutokana na genocide kuliko watutsi, lakini somehow maiti zooooote officially ni za watutsi, sasa uliza walijuaje utaishia kama ingabire!

ARGUMENT 6:

Kwenye blue nakukumbusha tena dunia inapoongelea na kukumbuka genocide tunamaanisha lile kundi la nne la raia wasio na hatia tu na si vinginevyo.

Kwenye green;where did you find this?nategemea utanipa source huru isiyo na maslahi na upande wowote.

HITIMISHO LANGU:
Kwakweli napata uvivu kuchangia sana post ya namna hii ukizingatia mingi ya michango yetu haitoi suggestion ya nini kifanyike kuzuia mambo haya zaidi ni kama tunabeza waliouawa,mfano mtu anapo-denie kuwa hii haikuwa genocide.
Na wengi wawachangiaji wanapoonekana kuwa na chuki baina yao makundi mfano kama mada yenyewe ilivyoanza "Uraia wa watutsi",ukijiuliza hata kwa akili za kawaida unaweza kupata sababu ya kusambaa kwao,halafu muanzisha mada mwenyewe anapowafananisha watutsi na masultani au wakoloni(invaders) na sio waafrika wanyarwanda,allegation kama hii nimekutana nayo katika upekuzi wangu,kwenye kitu kilichokuwa maarufu sana miongoni mwa jamii za wanyarwanda hasa hutu extremists kilichoandaliwa na Hassan Ngeze 1990 kilichojulikana kama"Ten Hutu Commandments" ambacho baadae kilikuja kuwa basis ya kutengeneza "Hutu Power Ideology" sasa nakuwa nashaka sana na mtu ninayejadiliana nae,halafu ktk akili za kawaida,Tanzania tukiona mtu anashepu ya kitutsi ndio tunawaita wanyarwanda regardless wawe wametokea rwanda or not,lkn mtanzania mwingine anasema ni invaders,how comes?
Hata hivyo haimaanishi nimekuvua Utanzania wako,usinielewe vibaya mkuu,sitaki kukuhukumu kwa vitu nisivyo na uhakika navyo,tujadili taratibu.
 
80% white inaongozwa na Obama(10% black)...kama wewe sio chizi lazima uwe mwehu.

Obama was elected democratically. He was not a military chief of a neighbouring country, he did not form an armed group of black people (minorities in america) which attacked America for four years killings scores of white people, and then over-turn the government of America and make himself president! And even now, running against Obama does not lead to you getting shot, or assassinated! You are comparing apples and oranges (as usual).
By the way mmemaliza ile 'home-work' yenu ya kuangalia atachakachuaje katiba ili aendelee kuwa rais post 2017?

Tunajua almost all of Rwanda genocide architects wanatumikia life sentences in Mali prisons,hilo jina lako vipi?

hebu jione mwenyewe unavyobadili topiki baada ya kushindwa hoja! usikimbie, kubali kwanza kagame is not obama!
 
hebu jione mwenyewe unavyobadili topiki baada ya kushindwa hoja! usikimbie, kubali kwanza kagame is not obama!
Teh teh teh ...hivi kwa akili yako you think I'm taking you serious? Nakuona mwehu tuu
 
Teh teh teh ...hivi kwa akili yako you think I'm taking you serious? Nakuona mwehu tuu

Usimuone mwehu mjibu kwa hoja, wengine tunaangalia hoja humu ili tuunganishe dots zetu tupate jawabu.
 
1. Sihitaji propaganda za ndi Umunyarwanda. Mimi nafahamu tofauti ya mhutu na interahamwe toka kitambo. Nyinyi ndio mnaoamua kutumia maneno haya interchangeably when ever it suits you. Kinachowafanya media zenu (new times rwanda) kumpachika uhutu first lady wetu ni nini, kama sio chuki zenu dhidi ya wahutu? kwani if angekuwa mhutu so what?
Interahamwe imeua watutsi sawa sikatai. Lakini mbona waanzilishi wake walikuwa watutsi, na rais wake alikuwa mtutsi aliyejifanya mhutu na alishiriki kikamilifu kwenye mauaji? Ndiyo amehukumiwa, lakini the question is kwanini ALIONGOZA mauaji dhidi ya watutsi wenzie? what did he have to gain? How many other interahamwe members were actually tutsis pretending to be hutu if rais mwenyewe anayeamua tukachinje nyumba ipi alikuwa mtutsi? Je is it not possible kwamba kwamba ukiacha extremist hutus, interahamwe pia ilijaa watutsi wahalifu waliotumia opportunity ya vita kufanya uhalifu dhidi ya watutsi wenzao (looting, raping etc)? Tatizo badala ya kujibu maswali haya we unaleta matusi. Are these not valid questions worthy to be answered by a great thinker as you pretend to be?

2. "kwetu hakuna uhutu au ututsi": hii imeshaonekana wazi kuwa ni sera yenu wachache ya kuziba watu midomo kuwa minorities mmehodhi madaraka. Nilishatoa mfano kuwa hapa Tanzania haiwezekani litokee kundi la waasi la kihindi lipindue nchi halafu lilete rais mhindi, waziri mkuu mhindi, wakuu wa majeshi wahindi, jeshi lote wahindi, polisi wote, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa idara zote muhimu, mabalozi n.k woooote muhimu wawe wahindi (tena wahindi toka Uganda, sio Tanzania). Unadhani serikali hii ya kihindi ikiweka sheria kali ya kukataza watu kujadili uafrika na uhindi itakuwa ni kwa sababu ya kudumisha umoja wa watanzania au kuendeleza udikteta wao?

Hii sera yenu ingefaa sana kama mngeimplement Arusha accord, lakini mkamtungua ndege ya rais, mkapindua serikali, mkahodhi madaraka, halafu sasa mnadai eti "we are all rwandans" what hypocrisy! The only reason kwa nini hakuna fujo leo ni kwa sababu mna jeshi tu baasi, lakini moyoni watutsi wana woga kwa sababu they know it's just a matter of time kabla wahutu hawajadai haki zao, and it won't be pretty. Let's be honest, tuache propaganda na rhetorics, kilichosababisha mapinduzi ya wahutu miaka ya late 50' ni nini?

Zimbabwe kuna waafrika (majority) na wazungu(minorities, former colonial masters). would it make sense kwa serikali ya ian smith ya wakati ule kudai kuwa eti "there is only one zimbabwe, no african no white"? Hata mwehu angeona kwa nini wanasema hivyo. where is the onness when only one tribe holds all the reigns of power?

Tazama Burundi with its history almost identical to yours (belgians, tutsis and hutus). Mbona watutsi na wahutu huko sasa wanaelewana? waliresolve vipi issues zao? ni kupitia peace talks sio ubabe na ideologies za kifalme za kip.umbavu p.umb.avu.
Wahutu walikuwa tayari kushare madaraka kupitia arusha accord nyinyi mkatungua ndege ya rais wao, mkavamia nchi, mkapindua... leo hii mnashauriwa kufanya mazungumzo na wale wale waliokuwa tayari kuzungumza na nyinyi when they didn't even have to (they were the gov, while you RPA/RPF were external aggressors/terrorists) mnatishia ku-hit watu wanaoshauri (kikwete)!

Even worse, mnatengeneza situation kwa jirani zenu. Watutsi DRC hawafikii hata 1% ya population nzima (congo ina makabila zaidi ya 250 tutsi ni moja wapo tu), lakini mnafadhili vikundi vya waasi, mnapenyeza watu wenu humo kama kabarebe, ntanganda (ex-RPA soldiers) n.k. M23 walishateka Goma na wakatishia kwenda kinshasa kuchukua nchi nzima. Obviously, ingetokea Makenga kapindua DRC, angesema vile vile "there is no tutsi, bemba, baluba...only congolese" angepiga marufuku watu kujadili kuwa you people are less than 1% but control 99%. Leo hii Ntaganda huko ICC anajitetea kwa kinyarwanda, hajui lugha yoyote ya taifa kati ya NNE za DRC! You try to comprehend that!

Asante kwa somo zuri sana,ila jipange huyo PK anaweza kukutoa uhai,hapa TZ anao vijana wake wa kazi wengi tuu wamezagaa mpaka Manzese wanasubiria amri,

I hope upo nje ya Africa otherwise ur in big trouble
 
hebu jione mwenyewe unavyobadili topiki baada ya kushindwa hoja! usikimbie, kubali kwanza kagame is not obama!
Topic ni hii,wako wapi hawa ndugu zako dwanzi wewe,hilo jina lako vipi maana kule Bamako mali ndio ndugu zako wananyea debe for life sentences,unakuja kuzuga watu humu na story zako za kutunga..criminal wenzako hao hapo chini wanted by international community
rwanda_genocide_wanted_poster_2-20-03.jpg
 
Back
Top Bottom