jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,379
- 4,899
1. Patrick Karegeya: Kazaliwa Uganda kakulia Uganda, kasoma digrii Makerere, kaingia Jeshini Uganda hadi cheo cha Luteni. Mpaka hapo ungemuuliza uraia si angedai yeye Mganda halisi kabisa huyu? wait for it; baada ya kagame kupindua serikali halali ya Rwanda, ghafla this guy akawa HEAD OF EXTERNAL INTELLIGENCE katika jeshi la ulinzi la Rwanda!
2. James Kabarebe: Kazaliwa Rutshuru Congo, kasoma Makerere, kawa Chief of Military Congo, alipofukuzwa kazi kakimbilia Rwanda, huko akazawadiwa Cheo cha Chief of Staff Jeshi la Rwanda!
3. Bosco Ntaganda: Kazaliwa Rwanda, kapigana vita vya 94 akiwa na Kagame kupindua serikali ya Habyarimana, huyu si MRwanda kabisa huyu? wait for it; sasa hivi anajibu mashtaka Hague, akidai yeye ni Mcongo kabisaaaaaaaaaaaa! lakini hazungumzi kifaransa, lingala wala lugha yoyote native in Congo, bali Kinyarwanda tu!
4. Laurent Nkundabatware: huyu naye supposedly ni Mcongo, lakini haieleweki ilikuwaje akajoin jeshi la kagame RPF mwaka 94. baada ya kufanya makosa ya kihalifu sasa anahifadhiwa RWANDA kama "special guest". Kwa nini Rwanda inamhifadhi mhalifu wa kivita anayetakiwa nchi nyingine bila sababu, hakuna anayejua.
5. Baba lao Paul Kagame mwenyewe kakulia Uganda toka ana miaka 3 naona hata kuongea alijifunzia Uganda, kawa askari wa Uganda na hata hapa Bongo alikuja kutrain akiwa kama mganda, leo hii....Rais wa Rwanda.
Aliyebuni operesheni kimbunga anastahili pongezi sana.