Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

Mkuu Comrade kuna swali ambalo mpaka leo sijui jibu lake. NI kwanini Interhamwe waliwaua watutsi? kwanini hili swali tunakwepa kila mara kutafuta au kueleza majibu yake?

Hawa jamaa machinjachinja tukielewa akili zao ndio tunaweza kudeal nao vizuri, kila siku tunasema watutsi watutsi watutsi, why are we not talking of interhamwe?

Swali lako zuri sana, tena sana. Interahamwe yenyewe iliongozwa na MTUTSI Robert kajuga! Na wafadhili wake wakuu walikuwa WATUTSI. Ukiwauliza hili swali hawa watutsi waliojazana humu kuwa iweje mtutsi aongoze kundi la kuua watutsi wenzie, wanakwepa kujibu wote. Ukweli ni kuwa Interahamwe originally lilikuwa kundi la vijana la kisiasa sio chinjachinja, liligeuka genocidal baada ya jeshi la Kitutsi likiongozwa na kagame kuvamia Rwanda. Ambapo kwa bahati mbaya kama kutokana na kundi lenyewe kuwa la vijana, watutsi wote wakageuka maadui.
Genocide unavyoifahamu wewe na watu wengine wengi, ilipangwa na Kagame ili kupata uhalali wa kuiongoza Rwanda (kwa kujidai kuistopisha). Without the so called Genocide, the most that kagame would have got ni kuwa included katika serikali ya majority kupitia yale mazungumzo ya Arusha, na si kuunda serikali nzima ya kitutsi kama ilivyo sasa.
Ndio maana hata yule hero wa filamu ya hotel Rwanda, Paul rusesabagina ambaye ni mhutu aliyeokoa watutsi, leo hii ni adui wa kagame, kwa sababu kagame anataka kuaminisha dunia kuwa hakuna mhutu binadamu, wote walishiriki kuua watutsi!
 
Swali lako zuri sana, tena sana. Interahamwe yenyewe iliongozwa na MTUTSI Robert kajuga! Na wafadhili wake wakuu walikuwa WATUTSI. Ukiwauliza hili swali hawa watutsi waliojazana humu kuwa iweje mtutsi aongoze kundi la kuua watutsi wenzie, wanakwepa kujibu wote. Ukweli ni kuwa Interahamwe originally lilikuwa kundi la vijana la kisiasa sio chinjachinja, liligeuka genocidal baada ya jeshi la Kitutsi likiongozwa na kagame kuvamia Rwanda. Ambapo kwa bahati mbaya kama kutokana na kundi lenyewe kuwa la vijana, watutsi wote wakageuka maadui.
Genocide unavyoifahamu wewe na watu wengine wengi, ilipangwa na Kagame ili kupata uhalali wa kuiongoza Rwanda (kwa kujidai kuistopisha). Without the so called Genocide, the most that kagame would have gotten ni kuwa included katika serikali ya majority kupitia yale mazungumzo ya Arusha, na si kuunda serikali nzima ya kitutsi kama ilivyo sasa.
Ndio maana hata yule hero wa filamu ya hotel Rwanda, Paul rusesabagina ambaye ni mhutu aliyeokoa watutsi, leo hii ni adui wa kagame, kwa sababu kagame anataka kuaminisha dunia kuwa hakuna mhutu binadamu, wote walishiriki kuua watutsi!
This is definition of BS, sitashangaa if you or your family are one of genocidals mliokimbia 94 baada ya kufanya mauaji Rwanda,you are spreading lies trying to poison your dead ideology
 
1. Jina lake limenitoka labda kuna wanaokumbuka hii kesi: tuliwahi kuwa na Balozi wetu Nigeria miaka fulani kumbe Mnyarwanda tulimpomshtukia alienda kwao Rwanda akapewa zinga la cheo kuiwakilisha Rwanda UN!
You are not Tanzanian acha kudanganya watu,rudi Rwanda na ndugu zako mkajibu kesi za mauaji mliyofanya na mtashikwa tuu hata baada ya miaka 100
 
kwa taarifa yako watusi ni wahuni kupitiliza mmoja akiolewa kwenu tu familia yenu ni lazima ijae watusi kutoka rwanda na muda si mrefu wanaanza kuwabagua hata ulieoa
Unajulikana wewe interahamwe mkubwa na acha kutumia jf to advance garbage zako,soon mtashikwa wote na FYI your fkuccn ideology is in life support
 
kwanza kizazi chote cha waisraeli kinatambulika kwao na wengi walisharudishwa kwao lilipoanzishwa taifa la israeli hawa jamaa ni wafugaji wa porini/jangwani na wana mahusiano makubwa na waasi wa kaskazini mwa mali wenye vurugu sana wanaojulikana kama tuaregs.

Hahahahahaha! sina mbavu....kweli wajinga ni wengi.
 
This is definition of BS, sitashangaa if you or your family are one of genocidals mliokimbia 94 baada ya kufanya mauaji Rwanda,you are spreading lies trying to poison your dead ideology

unakataa Robert kajuga sio mtutsi? au unakataa kuwa alikuwa rais wa interahamwe wakati wa 'genocide'? kuwa muwazi tafadhali, show me the BS please. Ukishindwa then you are the one full of it!!
 
You are not Tanzanian acha kudanganya watu,rudi Rwanda na ndugu zako mkajibu kesi za mauaji mliyofanya na mtashikwa tuu hata baada ya miaka 100

tehe tehe. mkishikwa pabaya mnagawa uhutu, sishangai hata mmakonde salma kikwete kwenu mhutu, kisa mmewe kashauri mazungumzo na FDLR! Mi sio mhutu ila sina shida ukiinita hivyo, ugomvi utakuja ukiiniita mtutsi!
 
hii operation Kimbunga imeishia wapi? hawa watutsi bado humu nchini
Wamemuua mpaka jamaa yao wa Usalama huko Afrika kusini tena kwa kamba
 
tehe tehe. mkishikwa pabaya mnagawa uhutu, sishangai hata mmakonde salma kikwete kwenu mhutu, kisa mmewe kashauri mazungumzo na FDLR! Mi sio mhutu ila sina shida ukiinita hivyo, ugomvi utakuja ukiiniita mtutsi!
Kubali tuu interahamwe wewe umekuja kusambaza sumu tuu huna lolote,mlichapwa 94 kwa ideology zenu leo mnajifanya freedom fighters, jela inawasubiri na Hanna pa kutokea mmebaki kuvamia web za watu
 
unakataa Robert kajuga sio mtutsi? au unakataa kuwa alikuwa rais wa interahamwe wakati wa 'genocide'? kuwa muwazi tafadhali, show me the BS please. Ukishindwa then you are the one full of it!!
So what? Peleka garbage zako kwa interahamwe wenzako or keep it to yourself nobody is interested
 
Waliuana pande zote mbili. Watutsi wa RPF waliwaua wahutu wakiwemo marais wawili wahutu wa Rwanda na Burundi (habyarimana na ntaryamira) na upande wa wahutu waliwaua watutsi. Tofauti tu ni kwamba kwa vile watutsi walishika dola waliweza kuhadaa jumuia ya kimataifa na kuwafanya wahutu waonekane kama ndio walioua pekee wakati inasadika kuwa idadi ya wahatu waliouawa na watusi ni kubwa kuliko ile ya watusi iliyouawa na wahahutu.

They say History is written by the victors
 
Bado hapa kwetu watakuja kuibuka kwa mtindo huo, unamkuta jamaa kasoma Buguruni akaendelea na shule Ilboru na kadhalika kisha akibanwa sana anakuwa Mnyarwanda.

tukio kama hilo tayari lilishatokea.umesahau joseph kabila raisi wa congo drc na anayesemekana kuwa na damu ya kinywaranda alisoma mnazi mmoja secondary-dsm?
 
Kubali tuu interahamwe wewe umekuja kusambaza sumu tuu huna lolote,mlichapwa 94 kwa ideology zenu leo mnajifanya freedom fighters, jela inawasubiri na Hanna pa kutokea mmebaki kuvamia web za watu

ukiona damu ujue mnyama kachinjwa, ukweli unauma koba rwanda ni lazima irudi kwa wenyewe tu, binadamu hawezi tawaliwa na m..e..n..d..e hata siku moja. Uhuru wa kweli rwanda mnajaribu kuuchelewesha tu lakini time will beep soon
 
Unajulikana wewe interahamwe mkubwa na acha kutumia jf to advance garbage zako,soon mtashikwa wote na FYI your fkuccn ideology is in life support

hamna mjinga wa kitusi anayeweza kunishika, wapumbavu wakubwa nyie, viva TANZANIA
 
this is definition of bs, sitashangaa if you or your family are one of genocidals mliokimbia 94 baada ya kufanya mauaji rwanda,you are spreading lies trying to poison your dead ideology

jibu hoja na si kuzusha tuhuma zisizo na kichwa wala miguu
 
Back
Top Bottom