GENOCIDE OR NOT?:
"The real news was that ALL of the top Rwandan military officers, including the supposedly infamous Colonel Bagosora, were found not guilty of conspiracy or planning to commit genocide. And Gen. Gratien Kabiligi, a senior member of the general staff was acquitted of all charges! The others were found guilty of specific acts committed by subordinates, in specific places, at specific times - not an overall conspiracy to kill civilians, much less Rwandan-Tutsi civilians.
This raises the more profound question: if there was no conspiracy and no planning to kill ethnic civilians, can the tragedy that engulfed Rwanda properly be called "a genocide" at all? Or, was it closer to a case of civilians being caught up in war-time violence, like the Eastern Front in WWII, rather than the planned behind-the-lines killings in Nazi death camps? The ICTR judgment found the former." Source: Jurist forum
IDADI NA TAKWIMU YA WAHANGA:
Sensa
rasmi ya serikali kufanyika Rwanda kabla ya genocide ya 1994 ilifanyika mwaka 1991. Sensa hii inasema idadi ya watutsi wote Rwanda ilikuwa 596,400, au 8.4% ya wanyarwanda wote wakati huo. Hivyo logically haiwezekani uwe na vifo kuanzia 800,000 hadi millioni vya watutsi mwaka 1994, miaka mitatu tu baadae. Maana yake utakuwa umemaliza watutsi wote, ambao wangebaki wangekuwa watoto wa miaka 3 tu yaani waliozaliwa baada ya sensa.
Baada ya kuingia madarakani serikali ya Kagame ilinyofoa vipengele vyote vya asilimia za wahutu na watutsi na sasa haichapishi asilimia au idadi kamili za wahutu na watutsi badala yake inachapisha idadi ya jumla tu. Yenyewe imeweka jumla ya watu 7,148,496 mwaka 1991.
Source:
National Institute of statistics Rwanda. Hivyo hii 8.4% unaweza kuipata kutoka vyanzo vingine huru. Vya kwangu baadhi ni hivi hapa:
- "Monbiot takes issue with our claim that the "great majority of deaths were Hutu", and calls this "as straightforward an instance of revisionism as I've ever seen". But Rwanda's 1991 census estimated the Tutsi population at 600,000, and some 300,000 Tutsi survived the violence of 1994. Whether 800,000 or 1 million people perished, the great majority of deaths must have been Hutu. The standard account of the "Rwandan genocide" is monumentally flawed. We also cite a 1994 US state department memo that Kagame's forces were killing "10,000 or more Hutu civilians per month" source: the guardian uk.
- (prof Congleton, prof Hillman, prof konrad; 40 years research on rent seeking2: rent seeking in practice. springer-verlag berlin Heidelberg; 2008, pg 193).
- "There are an estimated 300,000 survivors of the Rwandan genocide" source: Rwandan survivors.
Mwaka 2005, jumuiya ya wahanga wa genocide wa kitutsi inayoitwa Ibuka ilifanya sensa ya nyumba kwa nyumba kupata idadi ya watutsi waliokufa kwenye genocide. Zoezi hili lilipata Baraka za serikali, lilikuwa wazi na lilitangazwa sana kwenye media ili wananchi watoe ushirikiano. Walipata idadi ya vifo vya watutsi 355,745 tu! Kwa maana nyingine kila mwaka, ikifika ile siku ya maazimisho ya genocide, watutsi waliofiwa, wanaadhimisha vifo vya ndugu zao 355,745 tu si zaidi ya hapo! Serikali ya Kagame ikakataa kuchapisha matokeo haya (lakini ripoti ilivuja). Chanzo cha habari hii si cha kuaminika sana lakini kuna facts mbili ambazo hazina utata; moja, sensa hii ilifanyika hili halina ubishi, pili; matokeo yake yalizuiwa kutolewa.
Source:
proxylake. Ukijumuisha na data za kuaminika za sensa idadi hii inamake sense.
Quote: "The Rwandan gov of the RPF prefers to maintain this confusion. That is why it has refused to reveal the number of dead Tutsis and dead Hutus. It prefers things blurred so the world does not know the extent of massacres committed against the Hutu by the RPF and to inflate the number of Tutsi victims. It is necessary to note that the census of the population organized under the supervision of the UN (UNDP, UNFAP, CEA) and with the aid of countries such as the USA and Canada that terminated on the
15[SUP]th[/SUP] of August, 1991 fixed the total number of Tutsis in the country
at 8.4% of the population of 7,099,844 persons. Thus, the numbers that suggest that the entire Tutsi population was massacred between April and July 1994 are simply fantasies."
Source: The New World Order Ideology and Africa, Tatah mentah, 2010, pg242.
Conclusion: Serikali ya Kagame kwa makusudi haitaki wahutu wahesabu watu wao waliokufa kwa sababu kwa mahesabu ya vifo 800,000 mpaka milioni, wahutu watakuwa zaidi ya 400,000 au angalau nusu ya wahanga wa genocide. Ndio maana sasa badala ya kuitwa Rwandan genocide sasa inalazimishwa kuitwa genocide against Tutsis! Ili iwe kosa kuhesabu wahutu nao kama wahanga wa genocide. Kama watutsi wenyewe waliofiwa wanaomboleza vifo chini ya laki nne, hao kadiri ya laki nne mpaka 6 wengine ni akina nani? Serikali inajuaje kuwa hawa ni watutsi bila ushahidi wowote?
"But the recent volume of supposed 'Genocide Deniers Inc.' includes articles by some very accomplished and highly respected Rwanda scholars, including professors David Newbury, Catherine Newbury, and Dr. Scott Strauss. None of these accomplished academics have ever previously fallen anywhere near the category 'genocide deniers'.
" source: Pentagon releases satellite photos of 94 genocide