Uraia wa waTutsi !

Uraia wa waTutsi !

Mshamba nini?sasa hao watanzania waliofia msumbiji,uganda,congo walikua sio watanzania? tofauti nikwamba wao walitumwa na serikali yao kusaidia hao jamaa,lakini hao uliotaja walitumwa na nafsi zao.
kwa nini nafsi za watutsi tu? kama vita vilikuwa halali kwa nini nafsi za waafrika wengine pia zisijumuike nao kama vile za watanzania kushiriki msumbiji n.k?
 
Acha kudanganya watu rais wa interahamwe? mlimtumia kama vice mkimuhakikishia kusalimishia maisha yake na familia yake,vipi mwishowe si mlimchinja pamoja na familia yake? fool kajuga,hakuna mtu atakaye mwaga damu ya wasiokua na hatia awe salama "it is matter of time".

Naona na wewe umeshanipachika uhutu, haina tatizo by now nimeshazoea staili yenu ya majadiliano. swala la kajuga tulishalimaliza, mwenzio kashakubali kuwa alikuwa mtutsi aliyeficha ututsi wake kwa kubeba ID ya kihutu, na aliongoza mauaji kama Rais wa interahamwe. Nadhani unaweza kugoogle ukaja na facts mbadala badala ya kutukanana.
 
Nchi hazipigani au kuchukiana kwa sababu raisi katukanwa au kuzomewa,your wish Kenya wachukiane na Rwanda..umeishiwa wewe na akili yako iliyofilisika

Koba, there is a big difference between booing/insulting someone and threatening him. PK who is currently a commander in-chief of armed forces of rwanda did not only insult our dear president Kikwete but he also threatened to hit (kill) him. This is a very serious matter that can not be taken lightly by any threatened president especially when these threats are coming from the head of state who is being awaited by THE court in France for ordering assassination of two other presidents (habyarimana and ntaryamira). There is no doubt therefore that threats of this nature would cause a grave diplomatic rift with Kenyans if the same were directed to their president.
 
Mukamasimba hawa jamaa wala sio wabongo ni remnants wa interahamwe wanajaribu kumwaga sumu humu..na wana hamu sana kuona Rwanda na Tanzania wanagombana

yah yah, if we are interahamwe aren't we supposed to be in some jungles in Congo? How do we have internet access there? Una hoja dhaifu kama za kagame vs Karegeya, eti alikuwa anapanga mapinduzi, with what army? eti anashirikiana na FDLR,...hoja hata hazina mashiko.
 
JMali,

Ungekuja na list ya wahutu waliozaliwa au kukulia nje ya Rwanda pia basi. Suala si ututsi au uhutu bali ni historia iliyopelekea kwa watu kufukuzwa au kukimbia nchi yao kutokana na chuki na state sanctioned persecution. Hivi unafikiri mauaji ya watutsi yalianza 1994? Wengi wa waliokulia nje (ikiwemo Tanzania) hawakupenda kwa hiari. Ni victims of circumstance.

Hakuna wahutu waliozaliwa nje ya nchi halafu wakaunda jeshi kupindua uongozi wa kitutsi. Hakuna wahutu walio na nafasi nyeti kama mawaziri, magavana wa benki kuu, amiri jeshi mkuu msaidizi n.k kama raia wa nchi moja halafu wakahamia Rwanda na kuchukua position zile zile.....Hakuna ushahidi wa conspiracy yoyote ya Hutu-empire. Ila nakupa changamoto kama umeona kokote kule kuna mambo kama ya hao jamaa niliowataja kwenye hii thread ulete hapa.
Na kwa historia, Watutsi hawakufukuzwa Rwanda kwa ajili ya chuki, bali utawala wao wa kidhalimu ulipinduliwa. Waliokimbia wengi ni kutoka koo za kifalme, pamoja na koo za vigogo. Ndio maana siku zote majority ya watutsi wanyarwanda wako Rwanda despite hao wakimbizi. Kama kungekuwa na chuki nadhani majority ingekuwa wakimbizi sio?
 
The hatred, mistrust, future calculations, manipulation, propaganda, unwillingness to forgive and opening up new chapter for the sake of long term solution from our bordering brothers demonstrated in this thread explains why one's ideological identity (just a mental self identity gained during socialization can be dangerous for the health of a nation).

I dont get this unakutana na wakikuyu ambao wapo very friendly towards Tanzanians in foreign land, lakini akija Mkenya mwengine ambae si wa kwao hataki hata ku-socialize nae. Sijawahi kuwajua wanyarandwa with hutu origin (at least by self proclaim), lakini watutsi nimekutana nao na ni very charming and very loyal friends. Halikadhalika kuna watanzania wengi sana wameomba makaratasi ugenini kupitia nchi za rwanda na wanyarandwa (both hutu and tutsi) wengi sana wanafanya kazi as interpreters, sasa ukijifanya wewe mnyarwanda of either tribe na unaongea kiswahili unaitiwa mmoja for verification purposes.

Marejesho ninayosikia ni kwamba wakija hao hawakukatai even better since the interview is in swahili wewe hata ukiongea hivi yeye anarudisha majibu aliyorekebisha yeye kukuwekea sawa, wameshawatoa watu detention ready to be deported, wameshafanya watu wengi wapewe makaratasi mahakamani, wamesha walengesha watu sehemu gani za kwenda wakiwakuta kwenye sector za misaada. So why do you people hate on your own.

Future African leaders need to work on eliminating tribes and all the nonsense that come with its sub cultures, languages and other socialization aspect after that we need to attack religious leaders wenye kiherehere cha siasa or else we will remain vulnerable if we want to see strong nations.

Mwisho watanzania tumechoka kusikia chuki zenu, somebody need to point out this 'Koba' to the local immigration office if he happens to live in Tanzania this dude is full of shyt, calculations and hatred towards our land.

Bora na wewe umeona akili za huyo Koba.
 
Naomba ieleweke hivi "WATUTSI - WANYARWANDA" hapo ndo tuendelee.

Mimi kwa mtazamo wangu Mosi, nakili kuwa jamii hii ya Wanyarwanda ni watu wabaya sana kijamii hasa tukikumbuka yaliyotokea 1994. Labda kwa watu mlio mbali na mpaka wa Rwanda ndo wepesi kudanganywa ki hivyo maana kipindi hicho nimeshuhudia Wahutu wakikimbia wengi, na wengi wao wakiwa watoto walikuwa wakisimulia WAZAZI WAO WAMEUAWA WOTE! Hivyo ujanja ambao kagame anautumia ni wa kuhadaa jumuia ya kimataifa. Au mbona wepesi kudadisi matokeo kuliko sababu? Yaani mbona tunaangalia mauaji yenyewe mbona hutuji na mada isemayo "NINI CHANZO CHA MAUAJI YA KIMBARE?" hapa ndo patamu! Au tumesahau kisa cha Rwanda kufuta Kifaransa ktk mtaala wake miaka ya hivi karibuni! Au kwanini uhusiano wa Rwanda na Ufaransa si imara kama hapo awali? Maana uchunguzi uliofanya na Ufaransa juu ya Mauaji hayo, unamtaja Kagame na wenzake ndo chanzo cha mauaji hayo. Ukumbuke ndg wakati kabla ya mgogoro huo Kagame alikuwa mtumishi wa Serikali ya Uganda. Ni mengi sana mabaya juu ya Watutsi-Wanyarwanda wamefanya ktk ukanda wa Maziwa makuu.

Pili tukubali tukatae mimi katika kuichunguza jamii hii nimegundua ni jamii yenye akili sana kijasusi!
Mfano katika ukanda wa maziwa makuu wamekuwa wakitumia wanajeshi wenye asili hii kwa maslahi ya nchi yao. Hata Bw. M7 wa uganda ni mtutsi wa aina hii.
Watu hawa nawakubali kidiplomasia. Wanaushawishi mkubwa; angalia swala la EA walivyo washawishi nchi washirika watutenge sisi TZ na Brd? Tena namna gani wameweza kushawishi jumuia ya kimataifa katika mizozo kama huo wa 1994 na huu unaoendelea DRC kuwa hawahusiki.
Mmesha angalia mkanda (video) ya mauaji ya Rwanda namna RPF wameoshwa ili waonekane kama hawana hatia yoyote? Kama ilivyo kwa USA na mikanda yake ya Vetnam, Pakstan, Iraq n.k wanavyoonesha wanafanya mazuri wakati wakikiuka haki za Binadamu (mfano yanayo jili Libya).

Rwanda ndo USA ya EA na Africa in future, maana wanaushawishi mkubwa na kijasusi wanajitahidi sana mmekuwa mkisikia yanayo wapata wapinzani wa Kagame ndani na nje ya Rwanda kama huyu wa Juzi south africa!

Angalisho: Hata hapa kwetu TZ tunao watutsi japo si Wanyarwanda; nawasihi msikubali kushawishika na mikakati ya Rwanda (Kagame).

WATU WENYE ASILI YA RWANDA DAIMA TUSIWAAMINI HATA KAMA WATAKUWA NA URAIA WA TZ (HATA WAWE WA HUTU) RWANDA WAPO WANAJIANDAA KUITEKA EA. HATARI KWA USALAMA WA EA NA CA

Naomba kuwasilisha!
 
yah yah, if we are interahamwe aren't we supposed to be in some jungles in Congo? How do we have internet access there? Una hoja dhaifu kama za kagame vs Karegeya, eti alikuwa anapanga mapinduzi, with what army? eti anashirikiana na FDLR,...hoja hata hazina mashiko.

JMALI,naona unatatizo kubwa katika mtazamo dhidi ya pk,kwataarifa yako interahamwe wako mpaka US,na kua interahamwe siolazima uwe polini ni ideology ya chuki dhidi ya watusi inayo matter,whoever hate tutsi for me is interahamwe.
 
Well for starters tuna Jamii forums, leta forum japo moja ya Rwanda hapa!

Kua na forum haionyeshi uhuru hatakidogo,kwani decision zinazo fanywa na serikali hazi jali wanaforum mmesema nini,kwa rwanda bado hawajawa na forum kama hii si kwasababu wamekatazwa iko siku itatokea,lakini kuna online news paper watu wana comment on different issues kama wanavyo taka bila wasiwasi,it is matter of time hata hizo forum kama jf zitafika.
 
Koba, there is a big difference between booing/insulting someone and threatening him. PK who is currently a commander in-chief of armed forces of rwanda did not only insult our dear president Kikwete but he also threatened to hit (kill) him. This is a very serious matter that can not be taken lightly by any threatened president especially when these threats are coming from the head of state who is being awaited by THE court in France for ordering assassination of two other presidents (habyarimana and ntaryamira). There is no doubt therefore that threats of this nature would cause a grave diplomatic rift with Kenyans if the same were directed to their president.

PK sio kichaa,jiulize kwanini alitoa threat kwa jk,asiwe kabila,mseveni,uhuru,zuma,au ni kwasababu tz ni dhaifu? la hasha jk anajua wapi ameharibu,na ndio sababu alikimbilia kwa m7 kutafuta upatanishi na pk,na ndio maana hakujibu kitu,kwani mpango mzima kuhusu hila mbaya ya jk dhidi ya rwanda pk anayo.
 
The hatred, mistrust, future calculations, manipulation, propaganda, unwillingness to forgive and opening up new chapter for the sake of long term solution from our bordering brothers demonstrated in this thread explains why one's ideological identity (just a mental self identity gained during socialization can be dangerous for the health of a nation).

I dont get this unakutana na wakikuyu ambao wapo very friendly towards Tanzanians in foreign land, lakini akija Mkenya mwengine ambae si wa kwao hataki hata ku-socialize nae. Sijawahi kuwajua wanyarandwa with hutu origin (at least by self proclaim), lakini watutsi nimekutana nao na ni very charming and very loyal friends. Halikadhalika kuna watanzania wengi sana wameomba makaratasi ugenini kupitia nchi za rwanda na wanyarandwa (both hutu and tutsi) wengi sana wanafanya kazi as interpreters, sasa ukijifanya wewe mnyarwanda of either tribe na unaongea kiswahili unaitiwa mmoja for verification purposes.

Marejesho ninayosikia ni kwamba wakija hao hawakukatai even better since the interview is in swahili wewe hata ukiongea hivi yeye anarudisha majibu aliyorekebisha yeye kukuwekea sawa, wameshawatoa watu detention ready to be deported, wameshafanya watu wengi wapewe makaratasi mahakamani, wamesha walengesha watu sehemu gani za kwenda wakiwakuta kwenye sector za misaada. So why do you people hate on your own.

Future African leaders need to work on eliminating tribes and all the nonsense that come with its sub cultures, languages and other socialization aspect after that we need to attack religious leaders wenye kiherehere cha siasa or else we will remain vulnerable if we want to see strong nations.

Mwisho watanzania tumechoka kusikia chuki zenu, somebody need to point out this 'Koba' to the local immigration office if he happens to live in Tanzania this dude is full of shyt, calculations and hatred towards our land.

Koba hater? For real?nafikiri hujui kusoma wala kuandika
 
Angalau umeiona picha yako niliyoitundika mtaani, 'old west style' signed with my thumb.

Sikuchukii kwa sababu itakuwa ni ujinga mtu mwenyewe sikujui, what irritates me ni jinsi ambavyo you never contribute in meaningful discussions as part of the solution you always have a side. Make efforts to be part of the solution not the problem, si kila mara your meaning less ideology has to prevail. Zikija mada zenye interest ya Tanzania against any EAC nation (ingawa mara nyingi Kenya) wewe you are sure to be part of the team ya kulibeza taifa letu na viongozi wetu.

Huku tena watu hamjuani instead of focusing on finding solutions mnatishiana kutafutana and the likes, atleast those other folks appear when it is do with certain topics in relation to their perpectives. Lakini wewe humu hupo (chunguza watanzania wanao changia either watasema umnifungua au watauliza maswali, sio wewe unaupande tayari), watu wakija kuiponda tanzania humo, kwenye kuwaponda viongozi wetu humo, there is nothing good to you from us except that fits your little world. With that said kama hupo kwenye ardhi yetu ukamatwe upelekwe huko kwenye mazuri nilidhani Kenya, kumbe Kigali si uende huko.
 
Una matatizo wewe,and you must be an idiot if you think this topic has anything to do with hating Tanzania/ Tanzanian,kwanza jiulize why mtu analeta topic kama hii?OK I'm useless sasa wewe wasikilize hao meaningful kina jmali and rushasha
 
Regional leaders in fresh bid for peace

1389832910icglr-leaders.jpg
Front row from L-R: Presidents Jacob Zuma (S. Africa), Joseph Kabila (DRC), Eduardo dos Santos (Angola), Yoweri Museveni (Uganda), Paul Kagame and Uhuru Kenyatta (Kenya) at the ICGLR Summit in Luanda yesterday. The New Times/Village Urugwiro
There is need to intensify operations to eradicate rebel groups operating in eastern DR Congo which have become a menace to the region, regional leaders said yesterday.
Meeting at the fifth Ordinary Summit of Heads of State and Government of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR), in Luanda, Angola, the leaders cited the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), Uganda’s Allied Democratic Forces (ADF), among the negative forces that need to be uprooted from their hideouts in eastern DR Congo, and called on the UN force Monusco to intensify its operations, according to a statement released at the end of the meeting.
The summit was attended by Presidents Paul Kagame, Yoweri Museveni (Uganda), Uhuru Kenyatta (Kenya), Jacob Zuma (South Africa), Joseph Kabila (DR Congo), host President Eduardo dos Santos of Angola, among others.
The Heads of State expressed their support for the resolutions that concluded the Kampala Dialogue between Kinshasa and M23 rebels and called on President Kabila’s government to ensure its implementation.
Speaking on the root causes of regional conflicts, President Museveni cited FDLR as a persistent problem that must be addressed.
“Up to now the presence of the Rwanda genocidaires in eastern DR Congo has not been solved and it has led to endless problems. To deal with the consequences without dealing with the cause is not a durable solution,” he said.

The UN Special Envoy to the Great Lakes Region, Mary Robinson, thanked the regional countries for their consistent efforts to bring peace to eastern DR Congo.
“I want to thank President Kagame for his efforts, especially during the difficult times at the Kampala talks,” Robinson said.

The meeting was preceded by an open session and a handover ceremony of the ICGLR chairmanship from President Museveni to President Dos Santos, who expressed his commitment to sustainable peace in the region.
Museveni emphasised the need for the region to look beyond differences and divisive politics.
Spate of conflicts
The leaders reaffirmed their commitment to promote peace, security, stability and development in the Great Lakes Region.
The summit was held amid renewed civil wars, with ongoing bloody conflicts in South Sudan and Central African Republic (CAR), which have killed thousands of civilians and displaced hundreds of thousands others.
The leaders commended the African Union work in addressing the humanitarian situation in South Sudan and Central African Republic.
The Summit also commended Rwanda and DR Congo for implementing the Regional Certification for minerals and recommended its extension to other member states.
The Heads of State also approved the ICGLR strategic plan for 2014 to 2018 as well as the budget for the year 2014.
Other envoys who attended the summit included US Special Envoy for the Great Lakes region and DR Congo Russell Feingold, Special Representative of the African Union Boubacar Diarra, and European Union senior coordinator for the Great Lakes, Koen Vervaeke.
The ICGLR comprises Angola, Burundi, CAR, Congo-Brazaville, DR Congo, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan, South Sudan, Tanzania and Zambia.
President Zuma attended the summit as a guest. The regional bloc has been credited for playing a key role in ending fighting that erupted in the neighbouring DR Congo nearly two years ago.

Wakati hawa sisimizi kama akina Jean Marie aka JMali, Rushasha (aliyemkana mamake mtutsi), mokala1989 aka majeshi 1981 (interahamwe pure) wakiendelea kupiga kelele zao hapa, viongozi hao hapo juu wanendelea kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya congo. Congo will be peacful only if all FDLR forces are wiped out. Nadhani hapo kwenye nyekundu, umoja wa mataifa unatambua mchango wa Rwanda kwenye hili.

JMali, wewe na riwaya zako za ku copy and paste kutoka kwenye google, doesn't matter shit in the bigger picture. Endelea kuwafurahisha watu hapa lakini the true picture of how things will pan out is in the story above. We are in control of the outcome. Dig it!!!

N.B. There is one president who is conspicuously absent in the picture above. I WONDER WHY? because I know he never misses an event where there are cameramen. JUST THINKING OUT LOUD.
 
Una matatizo wewe,and you must be an idiot if you think this topic has anything to do with hating Tanzania/ Tanzanian,kwanza jiulize why mtu analeta topic kama hii?OK I'm useless sasa wewe wasikilize hao meaningful kina jmali and rushasha
I haven't judged you just from this thread, but your overall contribution to this forum on EAC conflicts.

Mbona sijamtaja mwengine ambae pro or anti the current administration ya Kigali. Kama unawasoma wenzako mara nyingi wapo fair even in other discussion za EAC na mara nyingi they come across clearly on which side/perspective they stand with reasonable arguments. If it is to do with our great nation (Tanzania) against other neighbors not including Rwanda mara nyingi you do not see them but other members will pop up from those nation to argue for the other side.

Lakini sio wewe siasa za ndani ya Tanzania humo, huku humo na unao upande wako, TZ vs Kenya humo and truthfully you're never on our side nor having any positive contribution about our great nation (Tanzania).

Ndio maana unaona hao wengine sija wataja sababu their differing perspective can be picked easily and mostly they appear with certain topics to air their side of the story (it is for the followers to decide), sasa which side r u (huo ndio unafiki wako ulipo, sema hupo wapi jamaa wakukatie nauli uende huko kwenye manufaa kwako).
 
Regional leaders in fresh bid for peace

1389832910icglr-leaders.jpg
Front row from L-R: Presidents Jacob Zuma (S. Africa), Joseph Kabila (DRC), Eduardo dos Santos (Angola), Yoweri Museveni (Uganda), Paul Kagame and Uhuru Kenyatta (Kenya) at the ICGLR Summit in Luanda yesterday. The New Times/Village Urugwiro
There is need to intensify operations to eradicate rebel groups operating in eastern DR Congo which have become a menace to the region, regional leaders said yesterday.
Meeting at the fifth Ordinary Summit of Heads of State and Government of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR), in Luanda, Angola, the leaders cited the Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR), Uganda's Allied Democratic Forces (ADF), among the negative forces that need to be uprooted from their hideouts in eastern DR Congo, and called on the UN force Monusco to intensify its operations, according to a statement released at the end of the meeting.
The summit was attended by Presidents Paul Kagame, Yoweri Museveni (Uganda), Uhuru Kenyatta (Kenya), Jacob Zuma (South Africa), Joseph Kabila (DR Congo), host President Eduardo dos Santos of Angola, among others.
The Heads of State expressed their support for the resolutions that concluded the Kampala Dialogue between Kinshasa and M23 rebels and called on President Kabila's government to ensure its implementation.
Speaking on the root causes of regional conflicts, President Museveni cited FDLR as a persistent problem that must be addressed.
"Up to now the presence of the Rwanda genocidaires in eastern DR Congo has not been solved and it has led to endless problems. To deal with the consequences without dealing with the cause is not a durable solution," he said.

The UN Special Envoy to the Great Lakes Region, Mary Robinson, thanked the regional countries for their consistent efforts to bring peace to eastern DR Congo.
"I want to thank President Kagame for his efforts, especially during the difficult times at the Kampala talks," Robinson said.

The meeting was preceded by an open session and a handover ceremony of the ICGLR chairmanship from President Museveni to President Dos Santos, who expressed his commitment to sustainable peace in the region.
Museveni emphasised the need for the region to look beyond differences and divisive politics.
Spate of conflicts
The leaders reaffirmed their commitment to promote peace, security, stability and development in the Great Lakes Region.
The summit was held amid renewed civil wars, with ongoing bloody conflicts in South Sudan and Central African Republic (CAR), which have killed thousands of civilians and displaced hundreds of thousands others.
The leaders commended the African Union work in addressing the humanitarian situation in South Sudan and Central African Republic.
The Summit also commended Rwanda and DR Congo for implementing the Regional Certification for minerals and recommended its extension to other member states.
The Heads of State also approved the ICGLR strategic plan for 2014 to 2018 as well as the budget for the year 2014.
Other envoys who attended the summit included US Special Envoy for the Great Lakes region and DR Congo Russell Feingold, Special Representative of the African Union Boubacar Diarra, and European Union senior coordinator for the Great Lakes, Koen Vervaeke.
The ICGLR comprises Angola, Burundi, CAR, Congo-Brazaville, DR Congo, Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan, South Sudan, Tanzania and Zambia.
President Zuma attended the summit as a guest. The regional bloc has been credited for playing a key role in ending fighting that erupted in the neighbouring DR Congo nearly two years ago.

Wakati hawa sisimizi kama akina Jean Marie aka JMali, Rushasha (aliyemkana mamake mtutsi), mokala1989 aka majeshi 1981 (interahamwe pure) wakiendelea kupiga kelele zao hapa, viongozi hao hapo juu wanendelea kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya congo. Congo will be peacful only if all FDLR forces are wiped out. Nadhani hapo kwenye nyekundu, umoja wa mataifa unatambua mchango wa Rwanda kwenye hili.

JMali, wewe na riwaya zako za ku copy and paste kutoka kwenye google, doesn't matter shit in the bigger picture. Endelea kuwafurahisha watu hapa lakini the true picture of how things will pan out is in the story above. We are in control of the outcome. Dig it!!!

N.B. There is one president who is conspicuously absent in the picture above. I WONDER WHY? because I know he never misses an event where there are cameramen. JUST THINKING OUT LOUD.

Kwa nini hujaweka source? kwa sababu unajua kuwa hii propaganda yako inatoka kwenye gazeti la serikali yenu dhalimu ya new times rwanda. This trash is not credible at all! Jipange upya hapa tunajadili vyanzo vya habari huru!!
 
PK sio kichaa,jiulize kwanini alitoa threat kwa jk,asiwe kabila,mseveni,uhuru,zuma,au ni kwasababu tz ni dhaifu? la hasha jk anajua wapi ameharibu,na ndio sababu alikimbilia kwa m7 kutafuta upatanishi na pk,na ndio maana hakujibu kitu,kwani mpango mzima kuhusu hila mbaya ya jk dhidi ya rwanda pk anayo.

huo mpango alionao PK kakuambia wewe tu au? mbona hakuna mtu mwingine yoyote anayejua? Hebu uweke wazi na sisi tujue.
 
Back
Top Bottom