Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,338
Wikipedia sio msahafu hata wewe unaweza rekebisha mpaka mistari ikanyooka ila inategemea kama na wewe unajua historia yake
Nimependa hapo kwenye matumizi ya herufi r na l, ila una pointi
Anawasanifu huyu Boflo. Read between the lines
Sawa lakini inaonyesha kuwa ingawa umeiondoka CCM lakini hujauondoka Unyerere (hutaki kukubali kuwa alikuwa ni mkosa, zaidi ya kutaka kuonyesha kuwa alikuwa na makosa madogomadogo hapa na pale), kama ningekuwa mimi ni CHADEMA ningekuwa mwangalifu sana na watu wa aina yako.
...Na kwa vile alikuwa na asili ya KIYAHUDI ndiyo maana alimshauri JKN kuvunja uhusiano na Israel. GoodKwa hiyo Joan Wicken aliyekuwa akilipwa na Waingereza ndiye aliyemshauri Nyerere miaka ya Sitini kuvunja mahusiano ya kibalozi na Uingereza kwa vile Uingereza ilikuwa inamsapoti Ian Smith wa Rhodesia (Zimbabwe)? Kweli tunapenda kutengeneza uongo kuwa ukweli.
...Na kwa vile alikuwa na asili ya KIYAHUDI ndiyo maana alimshauri JKN kuvunja uhusiano na Israel. Good
Boflo, mbona mnazidi kupotosha ukweli wa mambo...kulikoni? Kwa desturi ya Kiyahudi, mtoto anakuwa wa mama...hivyo kama mamake angekuwa Myahudi, moja kwa moja Adolf Hitler angekuwa Myahudi hata kama Klara Polzl angeolewa na Mdengereko. Hata hivyo ifuatayo ni maelezo mafupi kuhusu Adolf Hitler mtoto wa Klara Alois Hitler.sio ajabu kabisa, hata Hitler mama yake alikuwa myahudi na ndio mtu anayeongoza duniani
kwa kuua mayahudi wengi
mkuu "wengine" pamoja na mimi tunakuelewa kwenye mambo mengi tu.Na kama nimeshindwa kukuelewa hapa,haina maana kwamba sikuelewi mara zote.
Halafu pia mkuu ni bora tusiache kujibu maswali tunayoulizana.Kwamfano nimekuuliza maswali mengi tu lakini unasisitiza kwamba sikuelewi.Kwamfano umeshindwa kunijibu kwa uhakika kama OIC hiyo "c" ina stand fo cooperation kweli ama ni country?
Kwasababu nilikuamini uliposema vile,ila nina wasiwasi kama ni kweli.Na ndiyo maana inaweza kuniwia tabu kuamini bila uthibitisho kwamba serikali ilikataa kuwarudishia shule.Hayo mambo ni ya mwaka gani mku?una maanisha baada ya uhuru?
Anyways mkuu sihitaji kukuchosha zaidi kujaribu kunielewesha.Tunaweza kuelewana kutokuelewana na tukamove on on some other issues and topics.
Nashukuru,sasa kwanini msijiunge nao kama ni cooperation?kwani lazima nchi mkuu?Fuatilieni basi kama ni kweli mko wengi mjiunge.Nashangaa sana hao waarabu hawataki ku cooperate na waislam wenzao hadi wawawekee masharti ya nchi nzima kujiunga?Binafsi sijasoma madhumuni ya hiyo oic,pengine ingesaidia kujuwa ni kwanini hawawezi kuwasaidia waislam wenzao hadi wawaletee matatizo kwenye mataifa yao husika.Sipendi kuwa divided simply kwasababu ya culture za wengine.
Nimemsoma mdau, labda amebadilisha kabila na kuwa mkurya
Mkuu! hapo ndipo kwenye umahiri wa Nyerere! aliweza KUWATUMIKIA (sio kuwatumia) Wamagharibi wakiongozwa na Uingereza na Kanisa likiongozwa na Vatican kwa wakati mmoja....Na kwa vile alikuwa na asili ya KIYAHUDI ndiyo maana alimshauri JKN kuvunja uhusiano na Israel. Good
Hivi ndivyo inavyotakikana katika nchi za Kisekula, wananchi wawe na sauti! sauti ambayo Watanzania waliporwa na Nyerere.Nzi said:unataka kusema watanzania wana sauti kubwa katika maamuzi ya taifa hili?
bado hujamuelewa Jasusi, Mkuu jamaa anasanifu read btn utaelewa[/Q
Nimemsoma mkuu huyo jamaa post zake nyingi huwa nazisoma hazina r na l thats why nika-joke kwamba amebadilisha kabila
Mtaje mtu mmoja tu aliyepotezwa na Nyerere.
Hivi ndivyo inavyotakikana katika nchi za Kisekula, wananchi wawe na sauti! sauti ambayo Watanzania waliporwa na Nyerere.
Sauti ya wananchi irudishwe wakubaliane kuhusu maovu ya Nyerere,wayazike kama alivyozikwa Nyerere mwenyewe, wasahihishe ndio wasonge mbele.
JHata ukielezwa kirefu cha neno hilo bado unataka kujua madhumuni yaani maswali yenu hayaishi.. Huu ndio mfumo kristu - bila wewe na wengine kama wewe serikali yetu haiwezi kuipitisha kitu chao japokuwa sisi hatujui maana ya Vatican wala hatutaki kujua misaada yao kwenu hata kama wanamtuma Christopher Columbus mwingine..Nashukuru,sasa kwanini msijiunge nao kama ni cooperation?kwani lazima nchi mkuu?Fuatilieni basi kama ni kweli mko wengi mjiunge.Nashangaa sana hao waarabu hawataki ku cooperate na waislam wenzao hadi wawawekee masharti ya nchi nzima kujiunga?Binafsi sijasoma madhumuni ya hiyo oic,pengine ingesaidia kujuwa ni kwanini hawawezi kuwasaidia waislam wenzao hadi wawaletee matatizo kwenye mataifa yao husika.Sipendi kuwa divided simply kwasababu ya culture za wengine.
Nashkuru Mungu nilikuwepo wakati nchi hii bado ipo chini ya Umoja wa Mataifa na inatawaliwa na Malkia wa Uingereza. Nilikuwepo kabla Nyerere hajawa Waziri Mkuu, na kabla hajawa Rais, nimeanza kusoma kabla ya hii nchi kuwa Tanzania, nimeziona neema na matatizo yaliokuwepo kabla ya kupewa madaraka nimeona neema tulizobaki nazo baada ya kupewa madaraka, nimeona jinsi Nyerere alivyo "abuse" madaraka na kuwa dikteta, nimeona jinsi Tanganyika ilivyotolewa kwenye neema na kuwa maskini wa mwisho duniani (mpaka nikaikimbia nchi), nimeona mabadiliko baada ya kuondoka Nyerere, katika uongozi wa Mwinyi, nimeona uongozi wa Nkapa na Nashkuru sasa nauishi uongozi wa Kikwete.
Namshukuru Mungu kuniweka hai na kushuhudia, kula na kunya katika awamu tano za uongozi wa nchi hii: Malkia, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Wewe umeanza kuwepo na kujijuwa kuwa upo kuanzia awamu ya nani?
Nimependa hapo kwenye matumizi ya herufi r na l, ila una pointi