Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Nimekusoma Boflo na niliona ile stihizai uliowafanyia na nikajuwa engi wataingia kichwa nikakaa pembeni natazama unavyowarundika.

Nyelele huwa hawaachi kufanya makosa na kuandika Nyerere lakini hawakosei kuandika Safali na Omali arisema.
zomba hivi hawa watu wanajua nini maana stihizai?? Hawa watu hawasarifiki, na ndio maana naamini kuwa

hii nchi kuendelea ni ndoto.....na msingi wa matatizo yote tuliyonao chanzo chake ni Baba Msanii wa Taifa, na cha ajabu sasa

ndio wanamuabudu, na asilimia kubwa utakuta wamerithi Usanii na wanaona ndio ujanja!!
 
Msingi wa matatizo yote tuliyo nayo ni uongozi wa kitapeli na kifisadi kama hawa tulio nao hivi sasa. Lakini kwa upofu wenu hamuwezi kuliona hilo. Shame!
 
Msingi wa matatizo yote tuliyo nayo ni uongozi wa kitapeli na kifisadi kama hawa tulio nao hivi sasa. Lakini kwa upofu wenu hamuwezi kuliona hilo. Shame!

Ili nyumba iwe imara inabidi iwe na msingi mzuri...

Mwanzilishi wa Taifa letu ni nani??

Yeye ndiye aliyetuwekea misingi ya Taifa letu...
[h=1]You can fool all the people some of the time and some of the people all the time but you cannot fool all the people all the time[/h]
 
ukweli unauma.....

Nyelele arikuwa mtu mzuli sana, wakati wa Nyelele aliimalisha sana hari ya watu wake kierimu na rishe bola, vyakura kama mahalage

mchere, sukali, virikuwa vikipatikana kira kona ya Jamuhuli ya Tanzania

Nina mashaka na Utanzania wako na uenda hata huyo Nyerere unamjua kupitia picha zake.
 
Msingi wa matatizo yote tuliyo nayo ni uongozi wa kitapeli na kifisadi kama hawa tulio nao hivi sasa. Lakini kwa upofu wenu hamuwezi kuliona hilo. Shame!

Katika haya yaliyoandikwa humu kuhusu mabovu ya Nyerere ni kipi kimoja unachoona anasingiziwa?

Nakubaliana na Boflo kuwa Nyelele ni msanii tu na hakuwa na jipya lililoleta tija hata moja.
 
Hatamkipewa miaka aliyoishi nyerere mzungumzie kuhusu yeye haitatosha na mtaomba miaka mingine tena kwan nyerere ni fani na sisi maudhui
 
Hatamkipewa miaka aliyoishi nyerere mzungumzie kuhusu yeye haitatosha na mtaomba miaka mingine tena kwan nyerere ni fani na sisi maudhui

Exactly, hiyo maana yake ni "Art" aka sanaa.
 
Kitu gani kimepotoshwa?
hakuna merekebisho yanayo hitajika hapa jamani? I think this is a malicous attempt to rewrite history...

Julius Nyerere - Wikipedia, the free encyclopedia

Political repression

In 1962, Nyerere created the Preventive Detention Act, which was used to imprison opposition and suppress trade unions. People disappeared and victims are estimated to be in the thousands. International human rights organization Amnesty International adopted 141 prisoners of conscience in 1977.[SUP][19][/SUP] In 1979, Nyerere had more political prisoners than even South Africa.[SUP][20][/SUP] Press was controlled through refusal of official registration.
Nyerere's prison camps for political dissidents were notorious for practices such as electric shocks, solitary confinement, and denial of basic necessaries. Almost everyone contracted diseases such as tuberculosis, according to survivors.[SUP][21]

The deficit in cereal grains was more than 1 million tons between 1974 and 1977. Only loans and grants from the World Bank and the IMF in 1975 prevented Tanzania from going bankrupt. By 1979, ujamaa villages contained 90% of the rural population but only produced 5% of the national agricultural output.[SUP][27]

[/SUP]
He was criticised[SUP][by whom?][/SUP] for his vindictive actions after unsuccessfully appealing to the Pan Africanist Congress to adopt dialogue and détente with Pretoria instead of armed revolution. He supported a leadership coup that installed David Sibeko but after Sibeko's assassination he crushed PAC resistance at Chunya Camp near Mbeya on 11 March 1980, when Tanzanian troops murdered[SUP][citation needed][/SUP] and split up the PAC army into detention camps. Nyerere then pressured the Zimbabwe government to arrest and deport PAC personnel in May 1981. The PAC never recovered and despite rivalling the ANC from 1959–1981 quickly declined. Its Tanzanian controlled remnant gained only 1.2% in the South African freedom election of 1994.[SUP][citation needed][/SUP][/SUP]
 
Ili nyumba iwe imara inabidi iwe na msingi mzuri...

Mwanzilishi wa Taifa letu ni nani??

Yeye ndiye aliyetuwekea misingi ya Taifa letu...
You can fool all the people some of the time and some of the people all the time but you cannot fool all the people all the time

Alituwekea na kutuachia misingi mizuri lakini waliofuata wamekuwa wakiivunjavunja na ndio sababu nchi yetu ni kama meli inayoyumba bila muelekeo.
 
Alituwekea na kutuachia misingi mizuri lakini waliofuata wamekuwa wakiivunjavunja na ndio sababu nchi yetu ni kama meli inayoyumba bila muelekeo.
Misingi gani hiyo ambayo mwenzetu umeiona sisi tumekosa kuiona? kwa sababu aliiacha nchi ikiwa hoi bin taabani kisiasa ama kuhusu uchumi ndio usiseme!
Labda ungetufahamisha hiyo misingi mkuu!
 
Misingi gani hiyo ambayo mwenzetu umeiona sisi tumekosa kuiona? kwa sababu aliiacha nchi ikiwa hoi bin taabani kisiasa ama kuhusu uchumi ndio usiseme!
Labda ungetufahamisha hiyo misingi mkuu!
Mwenye macho haambiwi 'tazama.'
 
Yaleyale! "Tanzania wakati wa Mwalimu ilikuwa ikiheshimika kweli duniani ". Ukumuuliza mtu kivipi? ataanza oh, ah, unajuwa mwalimu alioteshwa!
Kaazi kwelikweli!
 
Alituwekea na kutuachia misingi mizuri lakini waliofuata wamekuwa wakiivunjavunja na ndio sababu nchi yetu ni kama meli inayoyumba bila muelekeo.

Inavunjwa vunjwa kwa sababu ni...

Kaweka misingi ya kisanii
Kaweka misingi ya kidini
Kaweka misingi ya ubaguzi
Kaweka misingi ya ki dictator
Na baya zaidi katunyima elimu ili tusiweze kudai haki zetu
 
Inavunjwa vunjwa kwa sababu ni...

Kaweka misingi ya kisanii
Kaweka misingi ya kidini
Kaweka misingi ya ubaguzi
Kaweka misingi ya ki dictator
Na baya zaidi katunyima elimu ili tusiweze kudai haki zetu
Anyway, endelea na imani yako.
 
heri ya nyerere aliwaweka ndani wakina Babu na baade akwaepusha na kifo je hawa waliomtesa Ulimbokaa utawaitaje,waliomuu Kombe Nyerere alikuwa binadamu alikuwa na mzuri na mabaya yake kama binadamu ila Utaifa aliweka mbele hakuwahi kuficha pesa kwenye mabenki ya nje na wala hakuruhusu wafanyabiashara au mataifa ya nje yamchezee kwa kumuonga na ndio maana wanamchukia hata baada ya kufa wakati wake tulikuwa na heshima kubwa tofauti na sasa hivi hata nchi kama Malawi inatutisha
 
Alituwekea na kutuachia misingi mizuri lakini waliofuata wamekuwa wakiivunjavunja na ndio sababu nchi yetu ni kama meli inayoyumba bila muelekeo.

kama mambo yakuvunjavunja baraza la mawaziri na sekta zingine yeye ndio muanzishaji mkuu,sasa utasemaje alikuwa kiongozi imara na hasiyeyumba.Hapo tulipo,hisa za nyerere zinahusika{tena sana},halishindwa kuhakikisha uwajibikaji mbele na urafiki nyuma.
Kwanza halileta umaskini,uadui sisi na nchi zingne za africa i.e uganda,kwasababu ya ushkaji wake yeye na OBOTE.
Nyerere nikiongozi aliyekuwa na mapungufu mengi mno,bali watu walikosa pakusemea.Wapi KAMBONA,ABOOD JUMBE,KOLIMBA....
 
ila Utaifa aliweka mbele
Mkuu sipendi kurudiarudia vitu, lakini kama yeye aliuweka Utaifa mbele, basi ujue kuwa aliwahi kumchagua Mchungaji na kumuweka kwenye nafasi nyeti kabisa katika TANU si kwa ajili ya uwezo wake bali kwa ajili ya imani yake kuu ya Ukristo.
Je wakati akimteu huyu Mchungaji ilikuwa ni kwa ajili ya Ukristo au Utaifa?
rodrick alexander said:
wakati wake tulikuwa na heshima kubwa tofauti na sasa hivi hata nchi kama Malawi inatutisha
Kama ni heshima ya kijeshi basi Tanzania ndio haikuwa nayo kabisaa, kila mtu alijua wazi kuwa baada ya vita na Uganda Tanzania ilikuwa kwishney isingeweza kusimama na yoyote yule.
Una jingine?
 
Back
Top Bottom