Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

Duh! Sasa masheikh wamefanya nini ili nao wawe na sauti sasa?

..........[/QUOTE]

Haiwezekani kuwa na sauti bila ya kuungana,kwa hiyo hatua ya kwanza waliyopiga ni Kuungana unaona mwenyewe sasa hivi Masheikh wa taasisi zenye manhaj tofauti walivyoungana kwenye suala la sensa.

Na hili ni muhimu sana ngalia taharuki iliyowapata waasisi wa BAKWATA na kuifanya iende kwenye mashambulizi ambayo ninaweza kuyaita "desperat attack"
 
Nyerere alikuwa dikteta.
Hivi kweli MADIKTETA tunawafahamu?
-Dikteta anayatafuta MADARAKA kwa nguvu;
-Dikteta akishayapata madaraka hatoki kwa hiyari yake labda kwa kifo au kung'olewa;
-Dikteta ni mwizi, fisadi na jambazi la kutupa;
-Dikteta anatawala na familia yake, mkewe, wanae, ndugu zake wa DAMU wanakamata Idara zote nyeti;
-Dikteta hamwamini yeyote kwenye utawala wake;
Mnamwonea Mwalimu kumwita DIKTETA.
 
Duh! Sasa masheikh wamefanya nini ili nao wawe na sauti sasa?

..........

Mbona Sheikh mkuu wenu na masheikh wakuu wa mikoa mingi wamesisitiza waislamu wahesabiwe? Huo muungano si unakuwa batili?
 
Tulisikia tu watu wanachukuliwa na Usalama wa Taifa. Kwa hofu tuliyokuwanayo wakati ule, HAKUNA aliyethubutu kufuatilia. Ila wenye ndugu zao wanajua. We ulizia, lakini jiandae kuanzisha vilio upya!

Unayosikia ni majungu kutoka kwa watu wanaomchukia Nyerere. Mimi nakueleza kuwa nimeishi miaka yote ya urais wa Nyerere na hakuna hata mtu mmoja aliyeuawa au kupotezwa na Nyerere. Mimi nakupa wewe kazi ya kutafuta majina ya watu waliouawa au kupotezwa kwani unaamini kuwa ilitokea.
 
......[/QUOTE] Ni Sheikh Mkuu wa BAKWATA yule, ameshajipambanua mwenyewe kutoka kwenye jamii ya Waislamu Tanzania kwa kuwakufurisha wale wote wasioafikiana naye! hahusiani tena na Waislamu au shughuli yoyote ile ya Waislamu wasioafikiana naye.

Na ingawa inauma lakini ukweli wenyewe wanaomtumia wamepata mafanikio kwa kiasi fulani! kweli sasa hivi tunaweza kufungua frontline nyingine ya kupambana na BAKWATA huku tunapambana na Mfumo Kristo? sifikirii!

neno langu kwake ni: Ittaqi llaah!
Unajuwa Malcom X alikuwa akiwagawanya watumwa katika aina mbili (Field Nigger na House Nigger)
Field Niggers: hawa walikuwa wakifanya kazi ngumu za kila siku, wakinyanyaswa, wakidharauliwa katka maisha yao ya kila siku hivyo walikuwa na mwamko na fikra kubwa za kimapinduzi na ukombozi, kundi hili lilitoa viongozi bora wa kupigania maslahi na ukombozi wa Slaves.

House Nigger: huyu alikuwa akila kile Slave Master anachokula (wakati mwingine makombo), akivaa anavyovaa Slave Master n.k kazi zake zilikuwa ni nyepesi nyepesi na yuko karibu na Slave Master, na akitumiwa kuwachunguza Field Niggers.

Field Nigger alikuwa akimpenda Slave Master kiasi cha kuwa siku Master akiumwa atasema tunaumwa!
Hivyo mtu huyu revolution kwake yeye ilikuwa ni kitu ambacho hawezi kukifikiria wala kumuingia akilini! na Field Niggers walikuwa ni kikwazo kikubwa cha ukombozi.
 
Ni Sheikh Mkuu wa BAKWATA yule, ameshajipambanua mwenyewe kutoka kwenye jamii ya Waislamu Tanzania kwa kuwakufurisha wale wote wasioafikiana naye! hahusiani tena na Waislamu au shughuli yoyote ile ya Waislamu wasioafikiana naye.
Na ingawa inauma lakini ukweli wenyewe wanaomtumia wamepata mafanikio kwa kiasi fulani! kweli sasa hivi tunaweza kufungua frontline nyingine ya kupambana na BAKWATA huku tunapambana na Mfumo Kristo? sifikirii!
neno langu kwake ni: Ittaqi llaah!
Unajuwa Malcom X alikuwa akiwagawanya watumwa katika aina mbili (Field Nigger na House Nigger)
Field Niggers: hawa walikuwa wakifanya kazi ngumu za kila siku, wakinyanyaswa, wakidharauliwa katka maisha yao ya kila siku hivyo walikuwa na mwamko na fikra kubwa za kimapinduzi na ukombozi, kundi hili lilitoa viongozi bora wa kupigania maslahi na ukombozi wa Slaves.

House Nigger: huyu alikuwa akila kile Slave Master anachokula (wakati mwingine makombo), akivaa anavyovaa Slave Master n.k kazi zake zilikuwa ni nyepesi nyepesi na yuko karibu na Slave Master, na akitumiwa kuwachunguza Field Niggers.
Field Nigger alikuwa akimpenda Slave Master kiasi cha kuwa siku Master akiumwa atasema tunaumwa!
Hivyo mtu huyu revolution kwake yeye ilikuwa ni kitu ambacho hawezi kukifikiria wala kumuingia akilini! na Field Niggers walikuwa ni kikwazo kikubwa cha ukombozi.

Kwa hiyo unataka kusema waislamu hawana kiongozi wao hapa Tanzania?

Kwa hiyo nyie ndiyo field niggers?! BAKWATA ni house niggers? Slave master ni nani? Serikali ya JMT? Rais wa JMT?

NB: Hapo kwenye bold, natumaini ulimaanisha house nigger.
 
Mufti Simba si kiongozi wa Waislamu wa Tanzania, ndio analo genge lake lakini kuwa yeye ni kiongozi wa Waislamu Tanzania, NO! Tuna taasisi mbalimbali zinazoongozwa na Masheikh mbalimbali.
 
Unayosikia ni majungu kutoka kwa watu wanaomchukia Nyerere. Mimi nakueleza kuwa nimeishi miaka yote ya urais wa Nyerere na hakuna hata mtu mmoja aliyeuawa au kupotezwa na Nyerere. Mimi nakupa wewe kazi ya kutafuta majina ya watu waliouawa au kupotezwa kwani unaamini kuwa ilitokea.

Nyerere yupi unayosema? Makongoro labda lakini sio juliasi
 
Unayosikia ni majungu kutoka kwa watu wanaomchukia Nyerere. Mimi nakueleza kuwa nimeishi miaka yote ya urais wa Nyerere na hakuna hata mtu mmoja aliyeuawa au kupotezwa na Nyerere. Mimi nakupa wewe kazi ya kutafuta majina ya watu waliouawa au kupotezwa kwani unaamini kuwa ilitokea.

Kissim hanga na. Othman sharif hawa aliwahukumu jangwani mbele ya mkutano wa hadhara waliletwa mbele yake wakiwa na pingu
The next day hawakuonekana tena mpaka Leo
Hukumu Yao ulikua pale jangwani
Hawakufikishwa Hata mahakamani
Ni Sawa na hukumu wanazotoa ma Dictator wengine
List ya wengine walopitea inakuja napata chai kidogo
 
Kwa hiyo unataka kusema waislamu hawana kiongozi wao hapa Tanzania?

Kwa hiyo nyie ndiyo field niggers?! BAKWATA ni house niggers? Slave master ni nani? Serikali ya JMT? Rais wa JMT?

NB: Hapo kwenye bold, natumaini ulimaanisha house nigger.

Bakwata ni moja matawi ya Tanu yaliondwa na Nyerere kuwadhibiti waislam wasifurukute
Sasa bakwata imebaki kuwa moja ya jumuia za CCM
Hivyo bakwata ni chombo alicho unda Nyerere na hakieakilishi kauli za Waislam ila kwa vile serikali ya CCM na makanisa ndo wapo nyumba ya bakwata basi ndo wanawasikilza na kuwatumia
Hio ndo dhambi moja ya Nyerere
Amefanya fitna kubwa kwa waislam lengo anajua watagombana so divide and rule kwa Faida ya kanisa
Huyo Mufti wa CCM bakwata Issa Simba Hata sifa ya kuwa mwalimu tu madrassa hafai Leo awe ndo kuongizi wa waislam?
Siku ikiangyka CCM tutaona bakwata itavoporimoka
Hivyo kazi kubwa ya bakwata ni kuwadhibiti na kudidimiza maendeleo ya waislam
Lakini ipo siku mapinduzi yanakuja Tutsi ondoa Bakwata kwa nguvu na kusumika uongozi imara wa waislam
Na hio ndo itakuwa Islam spring yetu Kama unavosikia Arab spring kule arabuni
Lakini hapa itakuwa dhidi ya dubwana Bakwata. Liililo pandikizwa kwa waislam
 
Kissim hanga na. Othman sharif hawa aliwahukumu jangwani mbele ya mkutano wa hadhara waliletwa mbele yake wakiwa na pingu
The next day hawakuonekana tena mpaka Leo
Hukumu Yao ulikua pale jangwani
Hawakufikishwa Hata mahakamani
Ni Sawa na hukumu wanazotoa ma Dictator wengine
List ya wengine walopitea inakuja napata chai kidogo

Kassim Hanga na huyo Shariff waliuawa na Karume. Nakumbuka kabisa Nyerere alisema kuwa kama angejua kuwa Karume angewaua basi asingewapeleka visiwani kwa Karume. Kuanzia hapo ndipo wote waliokuwa wakitakiwa na Karume Nyerere aliwashikilia bara. Mfano mzuri ni akina Abdrurahman Babu.

Nakuomba sana sana usipotoshe ukweli. Kila wakati simamia ukweli na usiwe mvivu wa kutafuta ukweli. Ukweli kuhusu kifo cha Kassim Hanga upo wazi kabisa. Mkutano uliosema ulifanyika pale Mnazi mmoja na siyo Jangwani na baada ya hapo Hanga alipelekwa Zanzibar ambako aliteswa na baadaya kuuawa. Soma kitabu hiki: Race, Revolution, and the Struggle for Human Rights in Zanzibar: The Memoirs ... - G. Thomas Burgess - Google Books
 
Bakwata ni moja matawi ya Tanu yaliondwa na Nyerere kuwadhibiti waislam wasifurukute
Sasa bakwata imebaki kuwa moja ya jumuia za CCM
Hivyo bakwata ni chombo alicho unda Nyerere na hakieakilishi kauli za Waislam ila kwa vile serikali ya CCM na makanisa ndo wapo nyumba ya bakwata basi ndo wanawasikilza na kuwatumia
Hio ndo dhambi moja ya Nyerere
Amefanya fitna kubwa kwa waislam lengo anajua watagombana so divide and rule kwa Faida ya kanisa
Huyo Mufti wa CCM bakwata Issa Simba Hata sifa ya kuwa mwalimu tu madrassa hafai Leo awe ndo kuongizi wa waislam?
Siku ikiangyka CCM tutaona bakwata itavoporimoka
Hivyo kazi kubwa ya bakwata ni kuwadhibiti na kudidimiza maendeleo ya waislam
Lakini ipo siku mapinduzi yanakuja Tutsi ondoa Bakwata kwa nguvu na kusumika uongozi imara wa waislam
Na hio ndo itakuwa Islam spring yetu Kama unavosikia Arab spring kule arabuni
Lakini hapa itakuwa dhidi ya dubwana Bakwata. Liililo pandikizwa kwa waislam

Chief, kwahiyo CCM isipoondoka mtaendelea kudidimizwa kimaendeleo chini ya BAKWATA? Kwanini kama mnaona BAKWATA haiwakilishi maslahi ya waislamu, msianzishe jumuiya zenu? Au zitaonekana batili chini ya CCM?
Chief, unataka kusema kwamba BAKWATA wanafadhiliwa na CCM?
Ingekuwa haiwakilishi maslahi ya waislamu, mbona toka imeundwa mpaka sasa bado ipo?
 
Kassim Hanga na huyo Shariff waliuawa na Karume. Nakumbuka kabisa Nyerere alisema kuwa kama angejua kuwa Karume angewaua basi asingewapeleka visiwani kwa Karume. Kuanzia hapo ndipo wote waliokuwa wakitakiwa na Karume Nyerere aliwashikilia bara. Mfano mzuri ni akina Abdrurahman Babu.

Nakuomba sana sana usipotoshe ukweli. Kila wakati simamia ukweli na usiwe mvivu wa kutafuta ukweli. Ukweli kuhusu kifo cha Kassim Hanga upo wazi kabisa. Mkutano uliosema ulifanyika pale Mnazi mmoja na siyo Jangwani na baada ya hapo Hanga alipelekwa Zanzibar ambako aliteswa na baadaya kuuawa. Soma kitabu hiki: Race, Revolution, and the Struggle for Human Rights in Zanzibar: The Memoirs ... - G. Thomas Burgess - Google Books

kitabu ndio nini? ukweli utabaki nyerere alimkamata tena bila ya ushahidi wa kosa...akamsulubu uwanjani mbele ya umati wa watu na alimpeleka znz akamalizwe.....
kusema anajuta kuwapeleka ...ni mbinu ya kujitakasa
na kuhusu kina babu..story yake nyengine....lakini siri wanayo salim ahmed na kina babu..kama hujui kumbuka wakati mrema alimchagua babu kuwa mgombea mwenza? nyerere akajisahau akasema na huyu babu amemuhusika na mauaji ya karume hawezi kugombea..
unakumbuka babu alimjibu nini nyerere? alimwambia funika kombe mwanaharamu apite....unajua siri ta haya maneneo?
maana yake siri ya kifo cha karume anaijua nyerere ..
 
Chief, kwahiyo CCM isipoondoka mtaendelea kudidimizwa kimaendeleo chini ya BAKWATA? Kwanini kama mnaona BAKWATA haiwakilishi maslahi ya waislamu, msianzishe jumuiya zenu? Au zitaonekana batili chini ya CCM?
Chief, unataka kusema kwamba BAKWATA wanafadhiliwa na CCM?
Ingekuwa haiwakilishi maslahi ya waislamu, mbona toka imeundwa mpaka sasa bado ipo?
bado bakwata ipo kwa sababu serikali inataka iwepo
hata waislam wakijaribu kuindosha inapata vikwazo
hata tukiunda jumuiya serikali inatambua bakwata tu
itaondoka inshaalah
bakwata iatondoka siku si nyingi
 
Kassim Hanga na huyo Shariff waliuawa na Karume. Nakumbuka kabisa Nyerere alisema kuwa kama angejua kuwa Karume angewaua basi asingewapeleka visiwani kwa Karume. Kuanzia hapo ndipo wote waliokuwa wakitakiwa na Karume Nyerere aliwashikilia bara. Mfano mzuri ni akina Abdrurahman Babu.

Nakuomba sana sana usipotoshe ukweli. Kila wakati simamia ukweli na usiwe mvivu wa kutafuta ukweli. Ukweli kuhusu kifo cha Kassim Hanga upo wazi kabisa. Mkutano uliosema ulifanyika pale Mnazi mmoja na siyo Jangwani na baada ya hapo Hanga alipelekwa Zanzibar ambako aliteswa na baadaya kuuawa. Soma kitabu hiki: Race, Revolution, and the Struggle for Human Rights in Zanzibar: The Memoirs ... - G. Thomas Burgess - Google Books

yeye ndie amiri jeshi mkuu..karume kapewa amri tu
polisi , usalama wa taifa na wengineo wapo chini ya muungano alikua ni amri yake
na pia jiulize kwanini RAIS wa nchi auliwe(karume)..ameuliwa mchana kweupeee...na watuhumiwa ni pamoja na babu kama mtuhumiwa namba moja..
mtuhumiwa mwengine na ambae inasemekana ndie alie iba silaha huko zanzibar..huyu Col.Ali Mahfoudh...alikuwa zanzibar lakini nyerere akaamrisha aje bara
kuna Salim Ahmed yeye alikuwa balozi nje ya Tz...hawa walitakiwa wawe znz kujibu tuhuma...yeye alikataa ? why ? rais wa nchi amea gunned down in cold blood..ahalafu wewe unasema hawa hawamo wasishtakiwe? inaingia akilini kweli ?
huyu ali mahfoudh alimpeleka kwa samora...msumbiji kuwa mshauri wa jeshi!! huyu mshatakiwa namba 3 wa kumuua rais yeye akampeleka kwa rafiki ya samora amsaidie..hakika walishibana sana ..
lakini hapo hapo vijana askari walioshatakiwa kutaka kupindua serikali yake 1982/3 kina zakaria hanspope,tom,na wengineo...hawa walifungwa maisha, na mwalimu mpaka anaondoka hakuwasamehe...alikuja kuwatoa mwinyi kukuribisha vyama vingi
 
bado bakwata ipo kwa sababu serikali inataka iwepo
hata waislam wakijaribu kuindosha inapata vikwazo
hata tukiunda jumuiya serikali inatambua bakwata tu
itaondoka inshaalah
bakwata iatondoka siku si nyingi

Basi acheni kulalamika kama mnafahamu BAKWATA ndiyo baba lao katika 'uislamu' Tanzania.
 
Unayosikia ni majungu kutoka kwa watu wanaomchukia Nyerere. Mimi nakueleza kuwa nimeishi miaka yote ya urais wa Nyerere na hakuna hata mtu mmoja aliyeuawa au kupotezwa na Nyerere. Mimi nakupa wewe kazi ya kutafuta majina ya watu waliouawa au kupotezwa kwani unaamini kuwa ilitokea.

Niliyoyasikia, enzi zile miaka 70, HAKUKUWA na watu waliomchukia Nyerere. Tatizo ni kwamba, WASAIDIZI WAKE ndio waliokwamisha mambo yake kwa ushauri wao MBAYA, ambao uliambatana na chuki na visasi. Mtu yeyote ambaye alionekana kuwa hatari kwa hao watu ndiye aliyetolewa amri ya kukamatwa na watu wa Usalama, kisha kupotezwa. Si unakumbuka ile sheria ya Preventive Detention? Ndiyo ilikuwa ikitumika VIBAYA sana wakati ule. Ufisadi haukuanza jana ndugu yangu. Ulikuwepo tangu awali. Ni sasa tu ndio TUNAZINDUKA na kusema KHAAAAA!
 
Back
Top Bottom