Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

kitabu ndio nini? ukweli utabaki nyerere alimkamata tena bila ya ushahidi wa kosa...akamsulubu uwanjani mbele ya umati wa watu na alimpeleka znz akamalizwe.....
kusema anajuta kuwapeleka ...ni mbinu ya kujitakasa
na kuhusu kina babu..story yake nyengine....lakini siri wanayo salim ahmed na kina babu..kama hujui kumbuka wakati mrema alimchagua babu kuwa mgombea mwenza? nyerere akajisahau akasema na huyu babu amemuhusika na mauaji ya karume hawezi kugombea..
unakumbuka babu alimjibu nini nyerere? alimwambia funika kombe mwanaharamu apite....unajua siri ta haya maneneo?
maana yake siri ya kifo cha karume anaijua nyerere ..

Unachokifanya wewe ni kulazimisha kile unachokisimamia wewe kiwe ni ukweli iweje iweje wengine wote ni wazushi. Ndiyo maana nimekuomba usimamie ukweli tu.

Kuhusu msemo funika kombe mwanaharamu apite unaweza kuwa na maana nyingi. Mojawapo inaweza kuwa ndiyo nilihusika lakini siulisema sikusika? Kwani aliyemkataa SAS kuwa Rais alikuwa Nyerere au Afro-Shirazi? Unakumbuka ilibidi SAS atafute jimbo la ubunge bara?
 
THE truth about the real NYERERE won't be known until and after CCM becomes a party in opposition: CCM mollycoddles NYERERE as a 'MESSIAH' for political reasons, who he is not. THE only reason is that no one who had attempted to reveal the real face of the 'FATHER OF THE NATION', ever succeeded: they all failed miserably; SIGWIYAMISI, JMK THAT ******, LOWAHASAA, MSUHUYA, KAMANDOO SALMIN all tried and failed. NOW they have given up beclouding the bad side of NYERERE: that oppressive hand of his and his hard heardedness.


THEY CCM have decided to borrow a leaf of advice from all-time philosophers that; if you cannot fight a man, join him. THEY've failed to bring to fore the bad image of NYERERE, now they've decided to join him and sing "messiah" praising songs, his other hand: the good side of his, that of a freedom fighter, and a nation builder. THEY use his name for political objectives, in that they CCM do everything possible to 'shoulder-kick' any attempts that tend to show NYERERE the political oppressor and war monger.


SO the real NYERERE won't be known in the near future ...
 
Back
Top Bottom