KAZIMOTO
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 1,073
- 324
Inashangaza sana Nyerere huyo huyo ndiye Rais pekee wa Tanzania aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa mtu mmoja tu Mwamwindi wa Iringa alimuua Kileluu aliyekuwa mkuu wa mkoa huo na akawaacha kwa mamia bila kuwanyonga japo walihukumiwa kunyongwa na Mahakama.