Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Makongoro rais, waziri mkuu: Magufuli, waziri wa fedha: Mwigulu Nchemba, waziri wa ujenzi Mwakyembe, Uchukuzi: Sitta: Mawasiliano Makamba: Ardhi: Lukuvi, Elimu: Mpina....................
 
mimwenyewe ni nyerere damu namtaka mzalendo aliyezaliwa ikulu isiyo ya mafisadi

Kusema kweli licha ya urais wa kumuuza jamaa jamaa ni kiongozi hata kwa kujenga hoja, ana uwezo wa kuteka hadhira na kuwashawishi umati wa watu na wakamsikiliza na kumkubali. Na kikubwa kuliko yote Makongoro anaonekana kiumri yuko katikati si mzee si kijana sana, kwahiyo anaweza kukubalika kama kijana mwenzetu na kama mtu mzima kwa wazee wakamwelewa.
 
Ni dhahiri sasa wanaccm na watanzania wameanza kuumiza vichwa juu ya nani hasa anaweza kupeperusha bendera ya ccm kati ya wawili hawa kwa ukizingatia yafuatayo:

1 Uzoefu wa kisiasa

2 Kujulikana na wananchi

3 Uzoefu Kimataifa

4 VITA DHIDI YA MAFISADI

5 Kusikilizwa na kuheshimiwa na jamii iliyokosa ustaarabu.

6 Uwenyekiti wa CCM

7 Kukubalika na baadhi ya Ukawa

8 Fitina na hekaheka za kisiasa

9 Shutuma dhidi ya mfumo uliopo

10 Heshima ya Wazee wetu waasis wa Taifa.

kwangu mimi Makongoro atamzidi Ramadhan.
Bila kupepesa macho..hapo ni Kigoma mwisho wa reli...Makongoro amebeba yote na hata sifa 13 za Mwanaccm zinatosha kwake...mengineyo ni kelele...na usanii mitaani.
 
Lengo kuu la chama cho chote kile cha kisiasa ni kukamata dola, na ccm wataendelea kukamata dola bila jasho wakimsimamisha Makongoro
 
MAKO ndio mwenye haiba ya kupambana na mafisadi pamoja na wehu wa kizazi hiki.

Huyo mako hawezi kupewa,yeye asingekuwa mnywa gongo na viroba na kuropoka hovyo kwa sababu anakuwa na ulevi muda wote wangeweza kumpa.sasa kama ametamka wazi vibaka ndani ya ccm atawashughulikia nani atapona.maana ataanza na nkapa hadi kikwete kwa kuwa wao si vibaka tu bali mabaka.so keshaharibu,pia atalipa kisasi kwa walomuua baba yake.
 
Makongoro is the next president, full stop.
 
Huyo mako hawezi kupewa,yeye asingekuwa mnywa gongo na viroba na kuropoka hovyo kwa sababu anakuwa na ulevi muda wote wangeweza kumpa.sasa kama ametamka wazi vibaka ndani ya ccm atawashughulikia nani atapona.maana ataanza na nkapa hadi kikwete kwa kuwa wao si vibaka tu bali mabaka.so keshaharibu,pia atalipa kisasi kwa walomuua baba yake.

Kwani baba yake aliuawa???? Na ni akina nani walimuua??
 
Jaji yuko vema tena sana. Mako anamzidi Jaji kwa KISHINDO, NGUVU NA MAMLAKA. Jaji kuna hali ya kupooza kusikoendana na kasi na kishindo cha Siasa za enzi hii.

Hakuna shaka .. Mako atapeperusha.
 
Huyo mako hawezi kupewa,yeye asingekuwa mnywa gongo na viroba na kuropoka hovyo kwa sababu anakuwa na ulevi muda wote wangeweza kumpa.sasa kama ametamka wazi vibaka ndani ya ccm atawashughulikia nani atapona.maana ataanza na nkapa hadi kikwete kwa kuwa wao si vibaka tu bali mabaka.so keshaharibu,pia atalipa kisasi kwa walomuua baba yake.

Team Louwahasaaa poleni sana kwasababu watanzania tunataka kiongozi ila si pesa za mtu. Mwl.Nyerere alisema maendeleo ni watu, ambao Lowassa anawaona mabomu yanayosubiri kulipuka ..na pesa ni matokeo
 
Japokua mimi ni mwanasheria...kwkaweli Mh.Judge hapana aiseeeeee..siasa is too way far above his lane...
 
Jaji has never been to politics kabisaaa
Jaji is completely new to wananchi
Jaji cannot bit ukawa under free and fair election
Jaji cannot bring the envisaged changes to ccm and the government at large - so expect business as usual from his leadership

If ccm really wants to win under free and fair election, then the right candidate is Makongoro Nyerere, it is much easier and cheaper to sell the guy than the rest of the candidates

We have talked much about edo, so have no further comments than saying NO TO FISADI

You're very right ... !
 
Jaji yuko vema tena sana. Mako anamzidi Jaji kwa KISHINDO, NGUVU NA MAMLAKA. Jaji kuna hali ya kupooza kusikoendana na kasi na kishindo cha Siasa za enzi hii.

Hakuna shaka .. Mako atapeperusha.

Very true mkuu..
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Back
Top Bottom