Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Jaji has never been to politics kabisaaa
Jaji is completely new to wananchi
Jaji cannot bit ukawa under free and fair election
Jaji cannot bring the envisaged changes to ccm and the government at large - so expect business as usual from his leadership

If ccm really wants to win under free and fair election, then the right candidate is Makongoro Nyerere, it is much easier and cheaper to sell the guy than the rest of the candidates

We have talked much about edo, so have no further comments than saying NO TO FISADI

Naweka msisitizo kura yangu ccm-makongoro, wakimuweka jaji kura naipeleka UKAWA
 
Ni dhahiri sasa wanaccm na watanzania wameanza kuumiza vichwa juu ya nani hasa anaweza kupeperusha bendera ya ccm kati ya wawili hawa kwa ukizingatia yafuatayo:

1 Uzoefu wa kisiasa

2 Kujulikana na wananchi

3 Uzoefu Kimataifa

4 VITA DHIDI YA MAFISADI

5 Kusikilizwa na kuheshimiwa na jamii iliyokosa ustaarabu.

6 Uwenyekiti wa CCM

7 Kukubalika na baadhi ya Ukawa

8 Fitina na hekaheka za kisiasa

9 Shutuma dhidi ya mfumo uliopo

10 Heshima ya Wazee wetu waasis wa Taifa.

kwangu mimi Makongoro atamzidi Ramadhan.
 
mnataka kusema magufuli,sitta na mwakwembe wote hao wameonekana hawafai wala hawawezi kulingana na makongoro au huyo jaji au lowasa?
 
Fisadi is you and clan. You sound arrogant but completely discouraged over. Nobody will ever measure up with Lowassa in CCM

Mkuu that was just my view, you don't need to panic, you can also give yours or rather remain quiet than abusing me personally, this is a free country

Say NO TO FISADI
 
mnataka kusema magufuli,sitta na mwakwembe wote hao wameonekana hawafai wala hawawezi kulingana na makongoro au huyo jaji au lowasa?

Dah mkuu kabisaa unataja na huyo aliyechakachua katiba yetu
 
Nakubaliana na wewe mkuu Meningitis. Salama ya CCM ipo kwa Makongoro kuliko kwa Jaji Ramadhani. Kwa maoni yangu Uzanzibari unam-knock out Jaji Ramadhani kwa sababu watanganyika hawatakuwa tayari kuongozwa na mtu kutoka nchi jirani ya Zanzibar. Kumbuka kuwa Zanzibar imeshajitangaza kuwa nchi, hivyo huyo jaji aende akagombee urais nchini kwake.
 
Dah mkuu kabisaa unataja na huyo aliyechakachua katiba yetu

sitta namkubali sana. katiba ilichafuliwa na ccm yaani sio sitta pekee hata hao wengine nao ni sehemu ya tatizo maana wote wana nafasi za kushauri.
 
Bila Makongoro kusimama kura yangu mtaikosa CCM na hili nshalisema mara nyingi na siku nyingi sana ..Tz ya sasa bila ya kujari vyama tunaitaji rais anayeweza kuongea na watu wakamwelewa bila ya kupepesa macho wala kumwonea mtu haya.
 
Exactly mkuu
 
Nakubaliana na wewe mkuu Meningitis. Salama ya CCM ipo kwa Makongoro kuliko kwa Jaji Ramadhani. Kwa maoni yangu Uzanzibari unam-knock out Jaji Ramadhani kwa sababu watanganyika hawatakuwa tayari kuongozwa na mtu kutoka nchi jirani ya Zanzibar. Kumbuka kuwa Zanzibar imeshajitangaza kuwa nchi, hivyo huyo jaji aende akagombee urais nchini kwake.
Kweli UKAWA hamuutaki Muungano, leo nimeamini.
 
Team lowassa msikanyage hapa endeleeni na usanii wenu wa kutangazia nia stand na sokoni.
Team Lowassa wako hai kipindi hiki ambacho papaa wao jina halijakatwa, akishaondolewa watamkana kama Petro alivyomkana yesu ila tutawambia mbona hata tembea yenu mnaonekana ni team Lowassa , mbona leo mnamkana, hapo kutakuwa na kulia na kusaga meno.
 
Makongoro hapa ni mtu ambaye atashinda kwa category ulizo list hapo, lakin pia wenda ramadhan anayaweza hayo
 
Back
Top Bottom