Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Yerico umeongea vitu vya maana sana. Kama kweli sasa vita ni kati ya MAKO na Jaji, basi narudia rai yangu kwa watanganyika wenzangu. Nchi isiende Zanzibar hata kama JK anataka hivyo.

Wazanzibari wameshatutenga na wana dola yao na rais wao ambaye hupigiwa mizinga 21 kwenye sherehe za Taifa lao. Iweje leo aje mtu kutoka Zanzibar na kutaka mizinga 21 ya Tanganyika. Hii maana yake ni kwamba Zanzibar itakuwa inapigiwa jumla ya mizinga 42!

Sie tutakuwa tumejikunyata pembeni tukishuhudia moshi wa mizinga hiyo 42 ambayo haituhusu. Tusikubali kupokwa mizinga yetu 21 kighiliba jamani.

Naunga mkono hoja ya wengi. Wakimpa jaji kura yangu inakwenda UKAWA pasi na shaka yoyote, hata kama MAMVI atahamia huko!

Nikwabie kitu, Jaji mahaba yake yapo Tanganyika licha ya kuishi na kukulia mdebwedoni!!!
Wazenji wenyewe wanatamani bora awe Gharib kuliko Rama japo wanashauku kubwa ajaye awe mwenzao.
Mako ataenda hadi mwisho wa mchakato ila hataibuka kidedea!!
Jamani mteule ni Jaji Agustino watu gani nyie hamsomi hata mbinu za mchezo??

Kikwete alimshawishi Membe agombee ili amtingishe Lowassa.. tatizo jamaa lilijipanga tangu asubuhi halikujari unasaba wao!!
 
Makongoro rais, waziri mkuu: Magufuli, waziri wa fedha: Mwigulu Nchemba, waziri wa ujenzi Mwakyembe, Uchukuzi: Sitta: Mawasiliano Makamba: Ardhi: Lukuvi, Elimu: Mpina....................

Mkuu unaota au?
endelea kuyasoma Mazingira ila wenzio tayari ramani ipo mkononi!
 
Last edited by a moderator:
Makongoro is the next president, full stop.

Maono yako mazuri nayaunga mkono sema wenye CHAMA hawawezi kula matapishi!! misimamo ya familia ya mwalimu ni migumu sana!
Au mwenzangu huamini kuwa mwalimu alidedishwa???
 
Watu watakaowapa UKAWA wakati mgumu ni wawili tu: MAKO na yule Mkulima wa Kigoma. Hao wengine ni shemu ya rot iliyopo.
 
Watu watakaowapa UKAWA wakati mgumu ni wawili tu: MAKO na yule Mkulima wa Kigoma. Hao wengine ni shemu ya rot iliyopo.

Mkuu UKAWA wenyewe waomba sana asiwe Lowassa!!! hawa wengine ushindi kwa UKAWA upo uchi kabisa!!!
Cha msingi ukawa watulize sana akili zao waachane na figisu figisu they are not too far to hold power!!!
 
Nikwabie kitu, Jaji mahaba yake yapo Tanganyika licha ya kuishi na kukulia mdebwedoni!!!
Wazenji wenyewe wanatamani bora awe Gharib kuliko Rama japo wanashauku kubwa ajaye awe mwenzao.
Mako ataenda hadi mwisho wa mchakato ila hataibuka kidedea!!
Jamani mteule ni Jaji Agustino watu gani nyie hamsomi hata mbinu za mchezo??

Kikwete alimshawishi Membe agombee ili amtingishe Lowassa.. tatizo jamaa lilijipanga tangu asubuhi halikujari unasaba wao!!

Wewe sasa umeongea kitu kinachoeleweka.

Ingawa ni ngumu kumeza, lakini ukweli ni kwamba Jaji Augustino ndiye atakayepitishwa kugombea.
 
hatuwezi kumpa mlevi nchi makongoro akajipange upya na wakimiweka yeye kawatukana wagombea wenzie hakuna atakayemuunga mkono so ccm ikimuweka makongoro itakufa kifo cha mende na chadema wanamtaka makongoro kwasababu wanalewa nae viroba so wanajua wapi pa kumfilisi hatutaki.............!
 
Kama CCM inataka kuondoa Mafisadi chamani, ikubali kuachia madaraka kwa muda wa miaka 10 kuanzia October, 2015. Ikifanya hivyo CCM afisadi watakimbia wote na wale CCM imani watabaki na hapo ndipo imani ya wananchi itarudi.
 
Back
Top Bottom