Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Mkuu wame anza kukata majina?Maelezo yako yanaonyesha jk anamtaka JajiAugustino Ramadhani.hebu ni juze vizuri naona unanyeti za jikoni

ndo maana AR alipo tangaza nia tu riz 1 alitangaza mapema sana kwenye page yake ya twitter.JK anamtosa mdogo wake membe hv hv
 
  • Thanks
Reactions: DSN
wakuu nadhani tuweke pembeni mambo ya ukawa na ccm tuangalie mtu atayeisaidia tanzania isonge mbele kwa amani, atayekemea rushwa na hatakuwa dalali wa raslimali za watanzania
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Yeriko ana msongo wa mawazo, jana nikimuona mitandaoni akisema anataka Mungu Mwafrika na biblia ya kiafrika, kama siyo kuchanganyikiwa ni nini

kama vitabu vya dini vinasema yesu ni Mungu,na yesu alikuwa mzungu <mu yaudi> ni wazi Mungu ni mzungu.kwani kuna mtu mweusi aliye andika biblia?
 
Hv kuna anayejua nafasi ya baraza la wazee Wa ccm na nafasi yao katika mchakato Wa kumpata Mgombea kiti cha urais via ccm!? Mwenye uelewa Wa hili anijuzi wanajamvi.
 
Ah..Mwanasheria..Jaji..ngaz kubwa za uongozi aisee..hasa upande wa siasa...a big NO..si umeona hata Obama alivo haribu haribu uchumi wa USA..lawyers ni complicators..panapotufaa sisi ni kwenye fani yetu TU..na utawala...but politics napinga apo.


Ovias..Judge akichukua..Lizi mlango mweupeee..maana mule mule...halafu Mh.alishawah kufundisha law pale Udsm..miaka ya 2000's..lizi kamaliza 2005 so ovias alimfundisha...lazma apige debe

Pamoja kwamba kila mtu ana haki kushabikia yeyote anaemtaka, but kwa maoni yangu familia kuu ingejitenga kabisa na mchakato huu ili kutodhalilika au kuonyesha wanakoegemea coz zamu yao imekwisha na haitarudia tena,walidhike tu na walichochuma maana sidhani kama hata waliwahi kuota kama ingetokea siku wangechuma kama walivyochuma toka kwa mwendawazimu(mtz) kama ilivyotokea. Ilikuwa kama zari, basi wafanye yao wasubiri watz wachague wa kuwala tena au wa kuwavusha hapo walipo.
 
I think makongoro plus wabunge wengi opposition wata ivusha Tanzania
Makongoro the young master
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Can you sell Makongoro and ignore Magufuli? Are you serious ???

Mkuu did you read the post carefully?? Magufuli is not in the list, but he could be a good PM for Makongoro anyway.
For your information Makongoro sounds much more than him before the hears and eyes of wananchi. Magufuli is no more clean, he has been implicated in CAG report
 
Hatua ya mwanzo kabisa ni kamati ya maadili ya watu 5
1. Mangula
2. Maua Daftari
3. Pindi Chana
4. Kinana
5. Nahodha
Unaweza kuona Mchakato wao wa kumpata Mgombea ulivyo mzuri kama watakua serious, kutoka hapo ndiyo inaingia
kamati ya Usalama na .... kisha

Kamati kuu
Halmashauri Kuu
Mkutano Mkuu

Lakini wakisha kula maharage yale yatawachanganya.
 
Makongoro rais, waziri mkuu: Magufuli, waziri wa fedha: Mwigulu Nchemba, waziri wa ujenzi Mwakyembe, Uchukuzi: Sitta: Mawasiliano Makamba: Ardhi: Lukuvi, Elimu: Mpina....................

sasa ikiwa hv kuna haja gani ya kufanya uchaguzi?
 
I would like to issue with your first sentence, there is but one issue that seems to have escaped your attention, human being is a political being. Therefore it is necessarily that you practice politics in order to qualify as a politician. Its something far beyond, its natural and inborn.

That's exactly my point mkuu
 
Back
Top Bottom