Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

CCM wamelamba dume kiasi kwsmba mpaka sahivi hata Ukawa nao wanasema kama ni Mako basi kura zao wanampa mchana kweupe bila nongwa
 
iwapo ccm watampa Makongoro kura yangu ya urais watapata vinginevyo hatrick yangu itaenda ukawa
 
Huyo mako hawezi kupewa,yeye asingekuwa mnywa gongo na viroba na kuropoka hovyo kwa sababu anakuwa na ulevi muda wote wangeweza kumpa.sasa kama ametamka wazi vibaka ndani ya ccm atawashughulikia nani atapona.maana ataanza na nkapa hadi kikwete kwa kuwa wao si vibaka tu bali mabaka.so keshaharibu,pia atalipa kisasi kwa walomuua baba yake.

ni kabila langu bt mi si supporter wake coz ni ccm,ingawa hvyo sio vigezo vya cc ya ccm.Obama,uhuru,bush walikuwa wavuta bangi lakini sa hivi ni maraisi
 
Thanks for this, Mako is my best candidate no matter what, otherwise will opt for Ukawa

Together in the same ship, we can sail all around and come back in harmony for, we have the one, the one to buy our faith and maintain it.
Makongoro, we trust in him.
 
umetisha mkuu ,pia pole naona unakaribia kuzima mazima

Hah hah ..Kweli Mkuu. Kuna viashiria .. ! Toka kwa huyu Mh Mako .. vinanikumbushia ujana wetu.
Viongozi enzi hizo .. walikuwa na ujasiri wa kukemea ujasiri wenye mamlaka ya kueleweka.

Hata kiranja mkuu enzi hizo .. ! Alikuwa na ujasiri wa Kizalendo wenye kuenziwa hata na majirani zetu.
 
Wako wengi tu siyo Makongoro pekee, hivi UKAWA mna nani? Au bado mna ndoto na babu yenu Slaa? Kishajichokea yule.
hao UKAWA ndio kwishney janja yao ni kusubiri CCM iweke jina
mm naamini Makongoro atawapelekesha mchakamchaka UKAWA kuliko Jaji
[h=2]Re: Ukawa kila chama kitateuwa mgombea wake[/h]
 
Yerico umeongea vitu vya maana sana. Kama kweli sasa vita ni kati ya MAKO na Jaji, basi narudia rai yangu kwa watanganyika wenzangu. Nchi isiende Zanzibar hata kama JK anataka hivyo.

Wazanzibari wameshatutenga na wana dola yao na rais wao ambaye hupigiwa mizinga 21 kwenye sherehe za Taifa lao. Iweje leo aje mtu kutoka Zanzibar na kutaka mizinga 21 ya Tanganyika. Hii maana yake ni kwamba Zanzibar itakuwa inapigiwa jumla ya mizinga 42!

Sie tutakuwa tumejikunyata pembeni tukishuhudia moshi wa mizinga hiyo 42 ambayo haituhusu. Tusikubali kupokwa mizinga yetu 21 kighiliba jamani.

Naunga mkono hoja ya wengi. Wakimpa jaji kura yangu inakwenda UKAWA pasi na shaka yoyote, hata kama MAMVI atahamia huko!
 
Vita ya kugombea urais vimechukua sura mpya ndani ya genge la vibaka, majambazi liitwalo ccm, ambapo wale ma Godfather wa Lumumba waliokuwa wamemulika Makongoro pekee sasa atalazimika kuwashawishi kwa nguvu ya ziada nje ya "unyerere" na u battle kwa Lowasa ili ahalalishwe katika vikao vilivyoanza tangu jana jijini Dar.

Hii inafuatia uamzi wa ghafla dakika za mwisho wa Jaji Ramadhani wiki juzi baada ya kikao kizito kati yake na Jakaya Kikwete mjini Pretoria Afrika Kusini.

Sasa vita yaupande mmoja ni Makongoro na Jaji huku wakitegemea panga la ma godfather kumzima Lowasa ambae amaapa kufika ikulu hata akiwa kwenye jeneza.

Mapambano hayo kisayansi yanampa mlango wa nyuma Lowasa kwani Ma godfather hawa wanachembe za kugawanyika ama kumpa nguvu Jaji, ingawa Jaji anakumbana na upinzani toka kwa mkewe jijini Arusha ambae anaamini mumewe katika utakatifu wa kiroho na kimwili chini ya uvuli wa lumumba atageuzwa kuwa fubaa na atauawa, uoga wake unafanana kabisa na ule wa Bi Alma mke wa Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni Collins L. Powell alipoonekana kuhitajiwa na Republican kuwa rais badala ya George W. Bush. Pia Jaji anakumbana na upinzani toka kwa majaji nchini, na zaidi Tume ya Jaji warioba pia wamemwambia ataaibishwa akibebwa ataanguka

Maamuzi ya kikao kitakachomalizika kesho alfajiri ndio yatakayompata rais wa CCM na baada ya hapo wiki ijayo 13/07/2015 tathibitishwa kwa geresha ya kile kiitwacho kura za maoni za wajumbe wa cc na mkutano mkuu.
hebu nyoosha maelezo yako, mimi mzito kuelewa parables
 
siwezi mpa kura yangu makongoro kamwe kwasababu familia yao ilishawahi kutoa kiongozi sasa ni zamu ya familia zingine. pia siwezi mpa kura yangu mchungaji mzanzibar jaji agustino ramadhani kwa sababu zanzibar wana rais wao. watuachie watanganyika tuamue hatma yetu wenyewe.kura yangu ni UKAWA.
 
Wako wengi tu siyo Makongoro pekee, hivi UKAWA mna nani? Au bado mna ndoto na babu yenu Slaa? Kishajichokea yule.
Magamba yakikumbuka jina la Dr. Slaa presha zinapanda! Ni kweli kwamba ndiye atakayechuana na huyo wa CCM! Kazi kwenu!
 
Mkuu wame anza kukata majina?Maelezo yako yanaonyesha jk anamtaka JajiAugustino Ramadhani.hebu ni juze vizuri naona unanyeti za jikoni

Mkuu mchakato ndo ulivyo kwa mujibu wa mnyetishaji wangu Lowassa hana chake tena japo wazee na vijana - wachumia tumbo na njaa zao wanamtaka ili wapige mbesa!
Ukweli ni kwamba mpaka sasa mnyukano wa lowassa na kikwete mzani umelalia kwa kikwete!!! japo wafuasi wa mamvi wanatishia kupata ushindi ima fa ima ikibidi hata nje ya CCM.
Japo zee la mvi limewakamata senior TISS bado kuna mchwa wana strong influence chini kwa chini HAWAMTAKI.
Ngoma ndani ya CCM sio mbichi tena... ni kavu mithiri ya kamba ya myombo... ukiigusa tu, inakatika!!!
Zimewekwa mbinu nyingi za kumbinya mamvi asiweke chata ofsi kuu na option ya mwisho kabisa ni kum assassin!!
Mwambieni Lowassa asimwamini sana TB Joshua" atapotezwa mazima.
 
Ni dhahiri sasa wanaccm na watanzania wameanza kuumiza vichwa juu ya nani hasa anaweza kupeperusha bendera ya ccm kati ya wawili hawa kwa ukizingatia yafuatayo:

1 Uzoefu wa kisiasa

2 Kujulikana na wananchi

3 Uzoefu Kimataifa

4 VITA DHIDI YA MAFISADI

5 Kusikilizwa na kuheshimiwa na jamii iliyokosa ustaarabu.

6 Uwenyekiti wa CCM

7 Kukubalika na baadhi ya Ukawa

8 Fitina na hekaheka za kisiasa

9 Shutuma dhidi ya mfumo uliopo

10 Heshima ya Wazee wetu waasis wa Taifa.


kwangu mimi Makongoro atamzidi Ramadhan.

Ni kweli mako ni the right one ila issue iliyopo mijamaa ina kihoro once ikimpitisha isije ika backfire!! halafu kingine mako alikosea sana kuanza na ile mikwara yake!!! he failed from the very beginning.. he should have obeyed the rule " if you cant beat them join them" aling'aka sana huyu mjuba sasa mashetwani hofu kuu imewatanda mithiri ya panya aliye sikia harufu ya paka!!

Nawashauri CCM awamu hii ni bora wangefocus kwenye kumpata mwenyekiti makini atakaemudu kuwarudisha kwenye chaki kuliko kuelekeza nguvu nyingi kwa "the one and only contestant" mzani umelalia zaidi UKAWA japo michezo yao ovu tushaiona dhahiri hasa kwenye BVR zao!!
UKAWA should watch out on this coz CCM wana mbinu nyingi sana wanabinya uandikishaji wa wapiga kura ili wapate cream ndogo watakayomudu kuihonga!!!

Plz ukawa spread your watchdogs on BVR all over the country otherwise mtagalagazwa as usual!
 
Back
Top Bottom