Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

Sijawahi Kupiga Kura nina miaka 76.

Nyerere Junior ... Nampa Kura bila kupepesuka.
 
Mimi pia naungana na hoja!! Makongoro ndiyo chaguo sahihi na Ramadhani atakuwa makamu Raisi
 
Vita ya kugombea urais vimechukua sura mpya ndani ya genge la vibaka, majambazi liitwalo ccm, ambapo wale ma Godfather wa Lumumba waliokuwa wamemulika Makongoro pekee sasa atalazimika kuwashawishi kwa nguvu ya ziada nje ya "unyerere" na u battle kwa Lowasa ili ahalalishwe katika vikao vilivyoanza tangu jana jijini Dar.

Hii inafuatia uamzi wa ghafla dakika za mwisho wa Jaji Ramadhani wiki juzi baada ya kikao kizito kati yake na Jakaya Kikwete mjini Pretoria Afrika Kusini.

Sasa vita yaupande mmoja ni Makongoro na Jaji huku wakitegemea panga la ma godfather kumzima Lowasa ambae amaapa kufika ikulu hata akiwa kwenye jeneza.

Mapambano hayo kisayansi yanampa mlango wa nyuma Lowasa kwani Ma godfather hawa wanachembe za kugawanyika ama kumpa nguvu Jaji, ingawa Jaji anakumbana na upinzani toka kwa mkewe jijini Arusha ambae anaamini mumewe katika utakatifu wa kiroho na kimwili chini ya uvuli wa lumumba atageuzwa kuwa fubaa na atauawa, uoga wake unafanana kabisa na ule wa Bi Alma mke wa Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni Collins L. Powell alipoonekana kuhitajiwa na Republican kuwa rais badala ya George W. Bush. Pia Jaji anakumbana na upinzani toka kwa majaji nchini, na zaidi Tume ya Jaji warioba pia wamemwambia ataaibishwa akibebwa ataanguka

Maamuzi ya kikao kitakachomalizika kesho alfajiri ndio yatakayompata rais wa CCM na baada ya hapo wiki ijayo 13/07/2015 tathibitishwa kwa geresha ya kile kiitwacho kura za maoni za wajumbe wa cc na mkutano mkuu.

Inaonekana hujui hata kinachoendelea , Mzee Mkapa hata hayupo, Sijui Kikao gani unachosema labda tujibu hilo kwanza ndo tukuamini otherwise wewe ni muongo. Pia naomba angalia sana hii clip ya video itakufumbua macho:

[video]https://m.youtube.com/watch?v=zmE2wXaXUYs[/video]
 
Japokua mimi ni mwanasheria...kwkaweli Mh.Judge hapana aiseeeeee..siasa is too way far above his lane...

Kumbe ndo maana Liz 1 alishangilia sana jaji alipochukua fomu, nahisi dingi alimtaarifu kwamba jamaa kaingia king ili waendelee kutawala kupitia mlango wa nyuma! So why undumila kuwili? Coz naona mshua anawageuka tena hao wazee!
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Jaji has never been to politics kabisaaa
Jaji is completely new to wananchi
Jaji cannot bit ukawa under free and fair election
Jaji cannot bring the envisaged changes to ccm and the government at large - so expect business as usual from his leadership

If ccm really wants to win under free and fair election, then the right candidate is Makongoro Nyerere, it is much easier and cheaper to sell the guy than the rest of the candidates

We have talked much about edo, so have no further comments than saying NO TO FISADI

Can you sell Makongoro and ignore Magufuli? Are you serious ???
 
Jaji has never been to politics kabisaaa
Jaji is completely new to wananchi
Jaji cannot bit ukawa under free and fair election
Jaji cannot bring the envisaged changes to ccm and the government at large - so expect business as usual from his leadership

If ccm really wants to win under free and fair election, then the right candidate is Makongoro Nyerere, it is much easier and cheaper to sell the guy than the rest of the candidates

We have talked much about edo, so have no further comments than saying NO TO FISADI

I would like to issue with your first sentence, there is but one issue that seems to have escaped your attention, human being is a political being. Therefore it is necessarily that you practice politics in order to qualify as a politician. Its something far beyond, its natural and inborn.
 
Vita ya kugombea urais vimechukua sura mpya ndani ya genge la vibaka, majambazi liitwalo ccm, ambapo wale ma Godfather wa Lumumba waliokuwa wamemulika Makongoro pekee sasa atalazimika kuwashawishi kwa nguvu ya ziada nje ya "unyerere" na u battle kwa Lowasa ili ahalalishwe katika vikao vilivyoanza tangu jana jijini Dar.

Hii inafuatia uamzi wa ghafla dakika za mwisho wa Jaji Ramadhani wiki juzi baada ya kikao kizito kati yake na Jakaya Kikwete mjini Pretoria Afrika Kusini.

Sasa vita yaupande mmoja ni Makongoro na Jaji huku wakitegemea panga la ma godfather kumzima Lowasa ambae amaapa kufika ikulu hata akiwa kwenye jeneza.

Mapambano hayo kisayansi yanampa mlango wa nyuma Lowasa kwani Ma godfather hawa wanachembe za kugawanyika ama kumpa nguvu Jaji, ingawa Jaji anakumbana na upinzani toka kwa mkewe jijini Arusha ambae anaamini mumewe katika utakatifu wa kiroho na kimwili chini ya uvuli wa lumumba atageuzwa kuwa fubaa na atauawa, uoga wake unafanana kabisa na ule wa Bi Alma mke wa Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni Collins L. Powell alipoonekana kuhitajiwa na Republican kuwa rais badala ya George W. Bush. Pia Jaji anakumbana na upinzani toka kwa majaji nchini, na zaidi Tume ya Jaji warioba pia wamemwambia ataaibishwa akibebwa ataanguka

Maamuzi ya kikao kitakachomalizika kesho alfajiri ndio yatakayompata rais wa CCM na baada ya hapo wiki ijayo 13/07/2015 tathibitishwa kwa geresha ya kile kiitwacho kura za maoni za wajumbe wa cc na mkutano mkuu.
Wewe hili ndani ya nafsi yako..unalijua kabisa kuwa Mzee yule kiroho ni hekalu la Mungu huku ataumia na mlango aliochagua akisha umia Uzee wake utakuwa hauna maana kabisa.Manake kusimama na hawa Mafisadi bila kutoka KOO nzito itakuwa nihadidthi kwake na kwenye UKAWA wakina Tindu Lissu watamchana chana vipande kiasi kuwa akiludi kwenye membali za kiroho kila akishika Altale nafsi itakuwa inamwambia toka toka...tyari unavysema atakuwa amepoteza roho ya wito kwa mambo ya kidunia ambayo alikuwa amekwisha tumika kwayo miaka yake mingi ya ujana na mpaka uzee toshelezi.

Mzee huyu amekwisha vuna heshima nyingi sana katika utendaji wa kiserikali...lakini hakuna heshima bora kwa mtu wa umri wake kama FIKRA za kumtumikia MUNGU wake manake makumi saba kwake yalishagota eti...sasa vulugu na mikiki ya wanadamu watukutu anaitakia nini?kuna nini alicho acha nyuma katika utu uzima wote ambao leo anaitwa Mwadilfu..size ya Mzee Judge Warioba.

Sipati picha nini kimemsukuma na kufkilia kuchukua form...hata kama amerubuniwa..na kama kuna mtu amemshwaishi ili afaidike na heshima ya Mzee huyo hakika kwa faida yake na kizazi chake na zaidi Mungu wake afanye maajabu kuwa roho wa Mungu kamwandaa akatumike kufikisha Unabii unapotakiwa..Manake anaweza kuwa ni YOHANA mbatizaji...ishara ya kusema jamani nimeshukuru mpaka hapa mnavyotuona wawili mimi na mdogo wangu Makongoro..hivyo msiangaike tena na kupiga kura MUNGU ameshayatimiza mpeni KURA hizo Mdogo wangu Makongoro ...Kama Mzee Msuya alivyofanya kwa BM.

Akifanya hilo atakuwa bonge ya hero...na heshima yake itapanda JUU MBAYA..na akiludi kwenye ALTARE yake na vyetezo hakika UZEE wa FURAHA kuona wahumini wakija kutubia yanayowatesa mioyoni mwao.Kwa umri ule kuchunga kondoa wa Bwana ni raha sana ukiona mtu mmoja mmoja akija kwenye madhabahu ameelemewa na mawazo na shida za Duniani nasi wanadamu tumenyima kumsikiliza na yuko pekee yake kwenye mapito yake..lakni akiingia kwenye nyumba ya MUNGU na kumkuta Mzee Agustino Ramadhani akampokea kiroho na kumpa AFYA ya kiroho kisha mtu huyo akatoka kanisani akiwa na matarajio na matumaini mapya..basi thawabu za uzee wa Judge Agustino Ramadhani kwa mja wake zitaishi nae milele na milele.

Lakini kuingia kwenye sakata hili ili akakae pale NO Thank you ni kutafuta mlango wa shetani...Kama ni Utume twende lakini tukifika mbili 2 utume ukabidhiwe kwa mwenyewe..udi kanisani kwa heshima.
 
I would like to issue with your first sentence, there is but one issue that seems to have escaped your attention, human being is a political being. Therefore it is necessarily that you practice politics in order to qualify as a politician. Its something far beyond, its natural and inborn.
Kwikwikwi, hivo nyie mmekula maharage ya wapi ninyi?
 
Kumbe ndo maana Liz 1 alishangilia sana jaji alipochukua fomu, nahisi dingi alimtaarifu kwamba jamaa kaingia king ili waendelee kutawala kupitia mlango wa nyuma! So why undumila kuwili? Coz naona mshua anawageuka tena hao wazee!

Ah..Mwanasheria..Jaji..ngaz kubwa za uongozi aisee..hasa upande wa siasa...a big NO..si umeona hata Obama alivo haribu haribu uchumi wa USA..lawyers ni complicators..panapotufaa sisi ni kwenye fani yetu TU..na utawala...but politics napinga apo.

Ovias..Judge akichukua..Lizi mlango mweupeee..maana mule mule...halafu Mh.alishawah kufundisha law pale Udsm..miaka ya 2000's..lizi kamaliza 2005 so ovias alimfundisha...lazma apige debe
 
mnataka kusema magufuli,sitta na mwakwembe wote hao wameonekana hawafai wala hawawezi kulingana na makongoro au huyo jaji au lowasa?

Kiongozi, naona watu wanalazimisha kutoyaona hayo majina Kama mateja ya Kinondoni, ngoja wanaume waje kutengeneza kolabo ndani ya CCM ili watie akili!
 
I would like to issue with your first sentence, there is but one issue that seems to have escaped your attention, human being is a political being. Therefore it is necessarily that you practice politics in order to qualify as a politician. Its something far beyond, its natural and inborn.

Mwingine huyu, sijui lugha gani hii
 
Sijawahi Kupiga Kura nina miaka 76.

Nyerere Junior ... Nampa Kura bila kupepesuka.
Najua kwa nini!

Kuna mwanga kuwa sasa chama na serikali vitarudi kwa waanzilishi.ninaamanisha kuwa heshima ya mkulima(70%) na mfanyakazi watamiliki chama chao kilichopo kwenye hatari ya kiporwa na vibaka.kilicholeta hasira kwa makundi haya ni upuuzi uliofanywa na vibakabikla ridhaa ya wenye chama.
 
(Genge la vibaka Majambazi) hii ni lugha ya hovyo siyo ya Mwanasiasa Jenga hoja Yericko Nyerere utaeleweka tu huna haja ya kupayuka. Nachukia sipendi hata wale waliomwita Majina mabaya Mwenyekiti alipobadili Katiba ili aendelee kutawala milele. Matusi yana akisi Maarifa ya anayeyatoa tafakari..
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Mimi kama CCM watamsimamisha Makongoro nyerere nitawapa kura kinyume na hapo...UKAWA wana kura yangu.
OVER

alishindwa mwasisi wa Taifa kuwazuia boys 2 men ataweza makongoro,cha msingi vote for system change angalau 5 years tuangalie kama kutakuwa na mabadiliko.ni rahis kubadilisha mfumo mzimo kuliko kutegemea mabadiliko ndani ya mfumo uliopo.if there altenartive way kwa nini uendelee na njia hyo hyo.
 
Back
Top Bottom