Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,513
Kwa wanaCCM ambao hawalijui hili ni kuwa wiki moja kabla ya CC kule Zanzibar, vigogo wa CCM na wazee mashuhuri walimfuata Jaji Ramadhani hapa Dar na kule Zanzibar kwa ndugu zake wakamsihi achukue fomu zoezi likianza, lakini amewakatalia katakata.
Juhudi za kila aina za ushawishi zimekwama. Sasa timu hiyo imehamia kwa Prof Mahiga ambaye nae amekataa katika vikao vya awali.
Kikao kingine kitakalika wiki ijayo baada ya timu hiyo kwenda kijijini kwa familia ya Mahiga kuwaomba wamruhusu agombee.
Hali hiyo inatoa mwanya kwa Makongoro Nyerere na Magufuli kuwa ndio watu wanaoikubali ofa hiyo ya kufa na jini hili liitwalo CCM.