Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
Vita ya kugombea urais vimechukua sura mpya ndani ya genge la vibaka, majambazi liitwalo ccm, ambapo wale ma Godfather wa Lumumba waliokuwa wamemulika Makongoro pekee sasa atalazimika kuwashawishi kwa nguvu ya ziada nje ya "unyerere" na u battle kwa Lowasa ili ahalalishwe katika vikao vilivyoanza tangu jana jijini Dar.
Hii inafuatia uamzi wa ghafla dakika za mwisho wa Jaji Ramadhani wiki juzi baada ya kikao kizito kati yake na Jakaya Kikwete mjini Pretoria Afrika Kusini.
Sasa vita yaupande mmoja ni Makongoro na Jaji huku wakitegemea panga la ma godfather kumzima Lowasa ambae amaapa kufika ikulu hata akiwa kwenye jeneza.
Mapambano hayo kisayansi yanampa mlango wa nyuma Lowasa kwani Ma godfather hawa wanachembe za kugawanyika ama kumpa nguvu Jaji, ingawa Jaji anakumbana na upinzani toka kwa mkewe jijini Arusha ambae anaamini mumewe katika utakatifu wa kiroho na kimwili chini ya uvuli wa lumumba atageuzwa kuwa fubaa na atauawa, uoga wake unafanana kabisa na ule wa Bi Alma mke wa Waziri wa zamani wa Mashauri ya Kigeni Collins L. Powell alipoonekana kuhitajiwa na Republican kuwa rais badala ya George W. Bush. Pia Jaji anakumbana na upinzani toka kwa majaji nchini, na zaidi Tume ya Jaji warioba pia wamemwambia ataaibishwa akibebwa ataanguka
Maamuzi ya kikao kitakachomalizika kesho alfajiri ndio yatakayompata rais wa CCM na baada ya hapo wiki ijayo 13/07/2015 tathibitishwa kwa geresha ya kile kiitwacho kura za maoni za wajumbe wa cc na mkutano mkuu.