Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha na kusababisha aga la jiji hilo kujaa vumbi


Tupeane updates jamani kwa mliopo Arusha, huu upepo ni wa aina gani?
Hali si hali hapa
Hii ni hali ya kawaida kabisa na hutokea kila baada ya miaka 70 ardhi ya mkoa wa arusha kujisafisha na kupeleka vumbi lake misitu ya congo.
 
Watu wa Arusha kumbe ni waoga kiasi hiki?
 
Huyo upepo sio arusha tu umepita huku mererani, kia ndo ukamalizikia huko arusha mjini maana hapo kia hali ilikua mbaya sana.
 
Nilikua namalizia kiporo changu cha wali nilikihifadhi

isije ikawa mwisho wa dunia nikajikuta wali wangu nimeubakiza

Nimeula hivyo hivyo na vumbi

Eti saivi pashapoa nimevimbiwa,najuta kula wali wangu wote
 
Watu wa chuga mna dhambi sana.
Mvua ya mawe..
Kimbunga..
 
Back
Top Bottom