kimberlite
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 323
- 211
Kwahiyo tanesco wameona tunafaidi sana wakakata na umeme
Ahaa, Kama ni Natural Disaster hiyo Tunaombea Kheri tu!Utafikiri ni mvua, lakini hamna vua. Naona tanesco wamekataummeme kwani kuna upepo mkali sana.
We jamaa [emoji1][emoji1][emoji1]Mataa ya Barabarani yamejua ni usiku yakawaka
Mzee baba kuna uwezekana uko karbu sana na eneo nililopoAisee mtu aliye umbali wa mita mia huwezi muona... Hayo ni maeneo ya Kaloleni..
Yaani hapa siwezi pumuaView attachment 1220569View attachment 1220570
Hata kutoa tahadhari... Kwa hili wanapaswa kuamkaWao utabiri wao ni mkoa wa dar es salaam tuu zile rada zao mikoa mingine hazifikagi[emoji23][emoji23]
NakaziaTanesco rudisheni umeme kimbunga kimeisha
Tafadhali tusionaneMzee baba kuna uwezekana uko karbu sana na eneo nililopo
Hao huwa wanatabiri baada ya hali kutokea. Hata hiyo ya Arusha, wiki hii haitapita bila ya kuitabiri.Kwa hali inayoendelea Arusha, kutanda kwa vumbi na upepo, inamaana mamlaka ya hali ya hewa wamelala hata kushindwa kutabiri kuhusu hili
😂😂😂 pole sanaWorse. Imenikatikia wakati nakausha rangi ya gel [emoji1784]
Tupia hata video clip kiongozi ili tujue tupige maombi ya rashia rashia au ya makombora ya kuangamiza.
Mi mpaka nikaanza kutubu dhambi na kuomba toba... Inatisha ndo kwa mara ya kwanza naona hiviToka nimezaliwa sijawahi kuona aiseee,hamuonani giza, kama mvua inanyesha daaaah