Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

IMG_8171.JPG
 
Naona nyama Leo inaisha mapema kwenye majiko ya baa Leo sipati picha jamaa wa Toyo na k vant zinamiminikaje leo haka mvua leo
Mkuu nikweli niko bar moja hapa sanawari Osaka bar nyama tayar imeisha nimekosa.
 
Daah nlihisi mt. Meru inataka kutema vitu na vile hii mitaa nipo karibu nikaenda kabisa kujiboost na nyagi baridi....
 
Back
Top Bottom