Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,904
- 8,990
Nikajua kiama ndo kimetufikia... Bado nimejifungia ndani nasali kimoyo moyo hapaHiyo hali ni ya kawaida sana kule kwenye bonde la ufa.
Pale Mto wa Mbu hiyo hali ni ya kawaida sana. Nadhani upepo umebadili mwelekeo kutoka kufuatisha binde la ufa na sasa umekuja mjini na vumbi lake.
poleni sana wakuu natumaini hakuna madhara
my home land
kwenda wapi sasa 😂 😂 😂 😂Arusha wananyakuliwa
Kimbunga chenye dalili za tetemekoTupeane updates jamani kwa mliopo Arusha, huu upepo ni wa aina gani?
Hali si hali hapa
Ufo wameshuka madukani kukwapua vituNi Mimi Tu nimeona UFO inashuka .....au mlikuwa busy kwenye kujificha
Walisema kutakuwa na mvua za hapa na pale na anga litakuwa kavu na jeupeMamlaka ya hali hewa waliwatahadharisha au ndio kama kawaida yao
Usiongee hivyo. Hapa nilipo bado kujikojolea tuArusha wananyakuliwa
Vumbi gani tena hilo? Kama Vipi Wakinukishe tu!
naomba nikuanzishie sala ya kukurudisha kundini mapemaUsiongee hivyo. Hapa nilipo bado kujikojolea tu
Hapana! Wamechukua tahadhari.tehteh Tanesco waoga Sana,wameona Giza Tu ,wamekata