Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Nyie vijana Mbona ni wa hovyo? Serkali ndio imepeleka vumbi?

Mamlaka za Kutathimi NA Kupima mienendo ya Hali ya Hewa wamezembea ktk hili, nchini Japan, China India NA Marekani wananchi wangekuwa tayari wamepewa tahadhari kubwa kabla ya tukio kama hili kutokea. Wakati mwingine Serikali huwa inawahamisha kwa muda wananchi wake wote kwenye maeneo ambayo yamebainika kukumbwa na matukio kama haya.Tena zoezi LA kuhamisha huwa linafanywa ktk mpango WA dharula within 24 hours.
 
mkuu nakula vyote tena loshoro na ngararumu ndo vimenilea shida tu naongea kimasai kwa shida kama hii lugha ya watu weupe ilivyo ngumu
😂😂😂😂
Ukikazania utaijua tu! Kwa sababu lugha zinafundishika.

Ila nimecheka sana! Ulivyojibu 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom