Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Ila nimeamini watu ni waoga Sana,,
Kila MTU alikuwa anaomba Kwa lugha yake
Tuombe Mungu tuendelee kuwa na amani na utulivu tulionao tusije kupigana siku moja.

Hii nchi ina raia waoga hamna mfano, ukipiga bomu wanakufa watu 100 kwanza kwa woga tu,hapo bomu halijawafikia hata.

😂😂😂
​
 
Hiyo hali ni ya kawaida sana kule kwenye bonde la ufa.
Pale Mto wa Mbu hiyo hali ni ya kawaida sana. Nadhani upepo umebadili mwelekeo kutoka kufuatisha binde la ufa na sasa umekuja mjini na vumbi lake.
Kwa hiyo upepo uliamua kutalii mjini siyo
 
Nairobi
BEE63902-C600-4BC9-8FCD-D46EEEA01117.jpeg
423BA3E4-8F4C-4D58-ABA1-73515366D532.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom