Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,905
Reaction score
19,734
Upepo mkali watokea jijini Arusha na kusababisha aga la jiji hilo kujaa vumbi

92654C7C-17D4-4E0C-89CF-A5E914CB33D0.jpeg


Tupeane updates jamani kwa mliopo Arusha, huu upepo ni wa aina gani?
Hali si hali hapa
 
Hatari sana kiza ketapanda maeneo mengi na vumbi la kutosha
 
Fanya hivi: Tusaidie hata video clip angalau..
 
Back
Top Bottom