Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Kwa wakazi wa Mirerani na KIA wamezoea hiyo hali wala si ngeni kwao kwa kipindi hichi cha kiangazi.. bora hata hilo unaona mtu akiwa mbele ako, kuna lile jeusi yaani hata kuona mguu wako huoni

Itakuwa upepo huo wa vumbi imeelekea upande wa Arusha kwani Arusha imezungukwa na sehemu zenye ukame mwingi ukichanganya na overgrazing za wa masai
sisi wamasai tunacomment wapi 😂 😂 😂 😂 😂
 
Nasikia Kuna vumbi limejitokeza katika jiji la Arusha, na haijafahamika limetokana na nini.

Mlioko huko tujuzeni
Labda ya kumuaga Dr Mahera kuwa mkurugenzi hapo jiji na kumtakia kila la kheri kwenda Mkurugenzi TEC
 
Tanesco wame take advantage. Hali imetulia hawaturudishii umeme
Ila Tanesco nao ni wa ajabu sana! Wanaweza wakatoa ripoti ya kuezuliwa na kuangushwa kwa baadhi ya nguzo mahali ambapo hata wenyeji hawapajui.

Baada ya hapo mtaambiwa muwe wavumulivu kwani matengenezo yanaendelea.
 
Yaani upepo tuu taharuki hivyo je ingekuwa tena kama yale mbagala ingekuwaje
 
Back
Top Bottom