Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Upepo mkali watokea jijini Arusha, anga lajaa vumbi...

Mimi padre niambie dhambi zako nikupe malipizi!!!! Hahaha natania hiyo itakuwa tornado imepita ila ilibidi watu wa hali ya hewa waone mapema.
Naona wamelala

ITV jana nikadhani wangetafuta wataalam kutoa ufafanuzi tukaeleweshwa matokeo yake wamereport kikawaida sana...

Sio kwa taharuki... Tukaanza kusali kila mtu kwa lugha yake ha haaa
 
IMG-20191002-WA0015.jpg
 
Da natamani ningekuwa huko na upepo huu sketi zinavyofunuka yaani mpaka raha na arusha kulivyo na wanawake weupee yaani raha sana
 
Back
Top Bottom