Wameshakata kitamboUpepo mkali na giza Tanesco kateni umeme
Afu simu haina chaji 😂😂😂Umeme umekatika huku
Vumbi gani tena hilo? Kama Vipi Wakinukishe tu!
Vumbi gani tena hilo? Kama Vipi Wakinukishe tu!
Vumbi gani tena hilo? Kama Vipi Wakinukishe tu!
Hiyo hali ni ya kawaida sana kule kwenye bonde la ufa.Utafikiri ni mvua, lakini hamna vua. Naona tanesco wamekataummeme kwani kuna upepo mkali sana.
Nimepiga simu Bomang'ombe Wilaya ya Hai pia nasikia kuna UPEPO MKALI SANATupeane updates jamani kwa mliopo arusha, huu upepo. Ni WA Aina gani?
Hali si Hali hapa
Afu simu haina chaji [emoji23][emoji23][emoji23]