TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Kinamama wenye roho nyepesi wasiona uelewa wa onyo la siku za mwisho wanafunga biashara zao na kukimbilia kanisani.
Hali hii inatokana na kimbunga kilichopiga muda si mrefu jijini Arusha ambacho kimeanzia maeneo ya Atomic, mpaka Oljoro jkt na kuja mpaka maeneo ya mjini kuelekea upande wa kaskazini.
Hizi ni video fupi kwa kilichotokea jijini Arusha majira ya saa 14:32 mpaka 14:55