sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,746
- 4,350
Nisije nikajiponza mwenyewe, lolKweli eeh
Nisije nikajiponza mwenyewe, lolKweli eeh
Isee huu uanasheria pori utaimaliza tanzania aisee.Hakuna kitu kama hicho...hawezi kuzimahata simu feki zina IMei feki pia, wakiamua kuzima basi jue hata original zinaweza kuzimika na kuleta madai ya kibiashara...ukizima simu ya mtu mfanya biashara ana haki kudai fidia kubwa tu
Mlimani City ndo wapi mkuu!Kasimu ka msichana wetu wa kazi chalii..hakana network nilikanunua pale tigo mlimani city
Teena!!!!!Wanasema wanazima kwa awamu.
Mlimani City ndo wapi mkuu!
Ni jiji flani linalokuwa kwa kasi pembezeno mwa jiji la DarMlimani City ndo wapi mkuu!
mkuu ni shida sana...... unaona simu kama hiii .....
Ndio mi ni kiraka napita pande zote kasoro lile jukwaa la kule bondeni.Jaluo nyeupe unatembelea na pande hizi.....