Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Hapa mtaani watu washaanza kuisoma namba, zinazimwa kila mda yaani unashangaa net imekata na hamna tena ..wengine zimezimwa jioni hii
 
Hapa mtaani watu washaanza kuisoma namba, zinazimwa kila mda yaani unashangaa net imekata na hamna tena ..wengine zimezimwa jioni hii
Okeii..... Thats pretty good.
 
Hizi ziitwazo simu feki ziliingia vipi nchini?zililipiwa kodi?serikali ilikuwa inatambua hilo? kama ilitambua kwann haikuzuia ili kuwaepushia wananchi wake hasara?
 
Hadi muda huu kamchina kangu bado kanapiga kazi. Nasubiri kuona kama kweli wanazijua simu feki.
 
he wiki iliuozimwa na TCRA now yanchi unaweza kutumia?
 
je simu iliyozimwa na TCRA ukienda nayo nje yanchi inatumika?
 
Back
Top Bottom