mkuu ni shida sana...... unaona simu kama hiii .....simu fake zinaongea![]()
![]()
![]()
Kwa hiyo still loading....Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)

Kama tarehe Tu hujui sitegemei "uone" chochote haposioni hata ulicho ongea![]()
.................![]()
![]()
![]()
unajifagilia kujua tarehe
Sidhani kama ni fake ndio maana INAGANYA KAZINimejaribu simu yake fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaiada
Nawasiwasi na vitisho vya tcra, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao .
Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiamvia ni fake.
Duh nilijua zoezi limefeliHata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)

No, bado mdaDuh nilijua zoezi limefeli![]()
![]()
![]()
Kaka asante umewajibu.. Ndio hawa wanaambiwa jibu swali moja yeye anajibu yote.Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
hahahahaa ukiona manyoya ujue keshachinjwaukiona sija leta mrejesho ujue mambo ni shwari