Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,706
- Thread starter
- #301
mkuu simu zote zina imei,ila tcra hawana imei zote fake na pia wasiwasi mwingine ni kuwa tcra hawakufanya test za kueleweka , na leo aibu hii hawawezi ikwepa.Unajua hata simu fake faida yake ni kua haziko kwenye mitambo yao. Yaani kama simu haina hata hiyo IMEI basi wao kule TCRA hawawezi kuiona, hivyo kuzimia mawasiliano napo ni ngumu pia.