Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Nimejaribu simu yangu fake hapa naona bado inafanya kazi na network inasoma kama kawaida. Nina wasiwasi na vitisho vya TCRA, inaonekana hawakukagua vizuri mitambo yao. Hii simu ni fake kweli na ninajua, hata nikitest kwa 15090 wananiambia ni fake.
MREJESHO
Leo tarehe 17 June 2016 simu yangu bado inashika network. Nimejaribu kupiga simu inafanya kazi vizuri kabisa.
Wengine tupeni mrejesho maana mimi huku nimeshaanza kusherekea.
UPDATES (BAD NEWS)
Ile sherehe yangu nimesimamisha baada ya kusikia kuwa ule mtambo bado una process simu fake. Kwa hiyo kama simu yako haijazima ukweli ni kwamba bado haijawa processed. Kwahiyo baada ya muda simu zote fake wanasema zitakosa mawasiliano.
Kuna watu ambao hadi sasa simu zao hazina kazi zaidi ya kusikiliza music na kupiga picha na matumizi mengine kama tochi etc.
Sherehe nitafanya wiki ijayo baada ya kujihakikishia kuwa simu yangu fake imekwepa mitambo ya TCRA.