Updates zoezi la kuzima simu bandia

Updates zoezi la kuzima simu bandia

Sio kila simu ambayo ukitafuta imei number yake na kuifanyia imei verification then ikaleta nt original bas n fake inategemea kama brand iyo ipo kwenye database
 
Zile simu ambazo zilikuwa hazionyeshi IMEI namba tuliambiwa ni feki kikiwemo kisimu changu kimojawapo. Nimeuliza watu kadhaa hadi hivi sasa wanasema pamoja na simu zao kutoonyesha namba hiyo hazikuzimwa.

Sasa najiuliza yalikuwa maigizo? Au ilikuwa kuzima mjadala wa sukari na bunge live? Tuombe majibu toka TCRA maana walishatutisha kwamba kukaa na simu hizi ni hatari kwa afya na mazingira
Nilikwisha wajuza hii ni sanaa.
Ref.Y2K
 
Sio kila simu ambayo ukitafuta imei number yake na kuifanyia imei verification then ikaleta nt original bas n fake inategemea kama brand iyo ipo kwenye database
Kwa uhalisia, watu wengi ambao walisema IMEI zao zinaleta majibu kuwa ni fake,bado simu zao ziko hewani. Jana usiku kama sikosei nilisikia TCRA wakisema so far simu 630,000 zimeshazimwa. Nilichojiuliza hiyo idadi ni ndogo sana kulingana na ukweli wa soko la Simu Fake Tanzania.

Labda kama kuna phase za uzimaji. Tusibiri, lakini wangefanikiwa kuziondoa ingesaidia sana, vitu fake vinaumiza sana!
 
Hii tz imejaa wasanii tu! Hivi hawajui wanawaharibia wauza simu soko?watu wanasubiri hayo mamitambo yao yazime wakanunue simu wanaleta mizaha! pambaff kabisa! hawa ni jipu!
 
Serekali ya ccm imeshindwa kutekeleza hata Ahadi ya kuzima simu fake aisee!
 
Simu yangu imefugiwa mawasiliano ya kawaida ila naendelea kupata Huduma ya internet. Sielewi imekuaje yaani in full data
 
Siyo kibarua tu mkuu, huyu Nyani Ngabu huwa anaosha mbupuma za vibabu vya kimarekani! Bpra nibaki kwetu nile vumbi kuliko aibu hii! Na vibabu vya kizungu vinavyonuka sasa mmmhhhhh!!
Tunaendaga huko na mission zetu za kiserikali ukikutana nao ni wanyonge kweli.. Pesa za kununua makoti na raba mpya mpya utawakoma simu zenyewe wananunua ebay second hand au hizi za mikataba. Kuna mmoja alikuja na iphone bongo namwambia niuzie utaenda kununua nyingine oooh, iphone za us hazishiki huku.....hahaha What a dope!
 
Kweli kabisa hakuna lolote mikwala tu isiyokuwa na maana tangu lin watanzania tumepata hiyo technologia ya kufunga sim feki? Ilikuwa ni kutisha tu watu
 
Uzimaji unaendelea
nina kisimu kidogo
kilikuwa bado hewani mpaka saa 1 asubuhi
sasa hivi kimezimwa
BAD NEWS
kumbe mtambi bado upo kazini hadi sasa unazima simu mija baada ya nyingine.

kama simu yako bado ipo hewani ni issue ya myda tuu, ikifika zamu yake nayo itaondoshwa hewani.

Too sad..
 
Back
Top Bottom