kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,257
- 13,264
Tunaongea Kwa maandishihivi humu tunaongea au tunaandika....
Tunaongea Kwa maandishihivi humu tunaongea au tunaandika....
iko wapi mbona siioniYangu ni Fake,nimeweka line ya Tigo, imekataa, nikaweka ya Hallotel imo! na ndio hii ninayotumia!!..
Ah wapi hakuna iliyozima mzee labda uwe mkoa mwingine sio TZ
HahhahahaaaaTCRA
Wapendwa wateja wa mitandao mbalimbali ya simu za mkononi,kwa sasa tumezima baadhi ya simu tu kwa awamu ya kwanza jumla ya simu 673,890.
#Awamu ya pili tunatarajia kuzima simu 4,945,641.
#TAFADHALI ENDELEA KUHAKIKI SIMU YAKO NA PIA USINUNUE SIMU KIHOLELA.
TCRA TCRA TCRA TCRA TCRA
Kwani mimi nina mbwembwe Nifa?Na mbwembwe zote humu kumbe unatumia mchina?
Mtatumis sana JF kwa hoja zetu kuntu.ccm UVCCM ndio watakuwa wameumia maana walipewa simu za mchina ili watumie jf na kwingineko.tumchek lizabon FaizaFoxy na tata madiba kama wako heawani.
swissme
Hivi kinacho zimwa ni simu ama mtambo uliokuwa unaruhusu simu feki kutumika?TCRA
Wapendwa wateja wa mitandao mbalimbali ya simu za mkononi,kwa sasa tumezima baadhi ya simu tu kwa awamu ya kwanza jumla ya simu 673,890.
#Awamu ya pili tunatarajia kuzima simu 4,945,641.
#TAFADHALI ENDELEA KUHAKIKI SIMU YAKO NA PIA USINUNUE SIMU KIHOLELA.
TCRA TCRA TCRA TCRA TCRA
Ni huduma mkuu , sio gadget , hiyo utazima mwenyeweHivi kinacho zimwa ni simu ama mtambo uliokuwa unaruhusu simu feki kutumika?
Munguu anakuona, kwanini izime simu ya dada wako wa kazi yako isizime..acha ubaguzi..ni hapahapa dar, dada wangu wa kazi imezima yake
Munguu anakuona, kwanini izime simu ya dada wako wa kazi yako isizime..acha ubaguzi..
Mnunulie samsang Galaxy, halafu useme Amen, Mungu atakubariki.hahahahahahahahaha sawa ntaacha ubaguzi
Mnunulie samsang Galaxy, halafu useme Amen, Mungu atakubariki.