ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,117
kuwa na subra tu itazima Mkuu!!
Kama imezimwa itakuwa imeishiwa chajiUzimaji unaendelea
nina kisimu kidogo
kilikuwa bado hewani mpaka saa 1 asubuhi
sasa hivi kimezimwa
kesho jumamosi nawadamkia..Tigo huwa wanatoa guarantee warudishie
Mbona nchi nyingi ikiwemo China yenyewe walishafanya hili zoezi?Hata jirani zetu Kenya walishafanya..hakuna cha kudai fidia kubwa wala nini..Wafanyabiashara wa simu walifaidika sana na ulaghai wao wa kununua simu vichochoroni then wanatupiga kwa bei kubwa acha ile kwao nao maana mzigo umedoda mnoHakuna kitu kama hicho...hawezi kuzimahata simu feki zina IMei feki pia, wakiamua kuzima basi jue hata original zinaweza kuzimika na kuleta madai ya kibiashara...ukizima simu ya mtu mfanya biashara ana haki kudai fidia kubwa tu
almuradi uoneshe kwamba hili suala ni uwongo..wabongo kwa kupinga hamjambo,mpe hongera ambaye simu yake feki haijafungiwaMbona kuna mtu hapa simu yake ni feki kabisa na TCRA walimtumia sms mara kadhaa kwamba abadili simu kabla ya June 16 lakini hadi muda huu anaendelea na matumizi kama kawaida.Sio mmoja tu wapo wengi au ndo kusema zoezi limeshindikana?
Habari wana jf,
Jana ndio ilikuwa mwisho wa hizi simu zetu zakimagumashi, lakini nashangaa bado kuna simu yangu nayo ni cheche lakini inaendelea kupiga mzigo kama kawaida, sasa hebu tu juzane kama mpango umehairishwa au mpango ume feli?
Kweli eehView attachment 357280 Mkuu tulia na wala usiwe na presha watakufikia